Nina tatizo la mwili kuchoma ninapo pata joto

Dec 26, 2015
50
33
Habari wakuu nina tatizo la mwili kuchoma choma kuanzia kichwani mpaka maeneo ya kifuani pale ninapopata joto, tatizo hili nilishawahi kuwa nalo kabla nlipewaga ushauri na daktari ambaye siwezi kumpata tena aliniambia ni minyoo akanipatia dawa za minyoo sizikumbuki ni aina gani nlipona kabisa tatizo hilo. Kwa sasa lilimejirudia nimejaribu dawa za minyoo dozi mbili tofauti lakini tatizo halijaisha. Sasa sijajua kama nimetumia dawa tofauti na zile kwa yoyote mwenye ujuzi na hili naomba anisaidie.
 
Na mimi nasubiri ushauri/uponyanyi

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu nina tatizo la mwili kuchoma choma kuanzia kichwani mpaka maeneo ya kifuani pale ninapopata joto, tatizo hili nilishawahi kuwa nalo kabla nlipewaga ushauri na daktari ambaye siwezi kumpata tena aliniambia ni minyoo akanipatia dawa za minyoo sizikumbuki ni aina gani nlipona kabisa tatizo hilo. Kwa sasa lilimejirudia nimejaribu dawa za minyoo dozi mbili tofauti lakini tatizo halijaisha. Sasa sijajua kama nimetumia dawa tofauti na zile kwa yoyote mwenye ujuzi na hili naomba anisaidie.
Kama umetumia dawa za minyoo na hazija kusaidia kitu itabidi ujaribu dawa zetu za asili za kutibu minyoo ukitumia utapona nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako uguwa pole Mkuu.
 
Habari wakuu nina tatizo la mwili kuchoma choma kuanzia kichwani mpaka maeneo ya kifuani pale ninapopata joto, tatizo hili nilishawahi kuwa nalo kabla nlipewaga ushauri na daktari ambaye siwezi kumpata tena aliniambia ni minyoo akanipatia dawa za minyoo sizikumbuki ni aina gani nlipona kabisa tatizo hilo. Kwa sasa lilimejirudia nimejaribu dawa za minyoo dozi mbili tofauti lakini tatizo halijaisha. Sasa sijajua kama nimetumia dawa tofauti na zile kwa yoyote mwenye ujuzi na hili naomba anisaidie.
Hii hali iliwahi kunitokea, ilikuwa nikitembea juani nilikuwa nawashwa mpaka natoka viupele vidogo, ila ilikuwa nikitulia vinaisha vyenyewe. Ulifika muda vikaisha vyenyewe bila hata dawa na wala haikuwa minyoo.
 
Hii hali ilinipata miaka ya nyuma nikiwa mbeya. Nilitumia dawa za kila aina bila nafuu yoyote.
Ilikuja kuanza kupungua taratibu nilipoondoka mbeya mpaka ikaacha kabisa. Nafikiri ni hali ya hewa inachangia.
Jitahidi sana kunywa maji, kula matikiti maji na matango maana kama tiba naweza kusema hvo vitu ndo nilitumia baada ya dawa zote kugonga mwamba, kuna daktari alinishauri nitumie hvo vitanisaidia
 
Back
Top Bottom