Ndugu zangu naomba nitoea pongezi kwa kampuni ya mabasi Ester Express kwa kusikia kilio cha wasafiri hapa nchini.
Kampuni hii imeingiza mabasi mapya ili kurahisisha usafiri hasa mikoani. Hongereni sana.
heshima kwenu Wana JF wote
Nipo Songea kwa matembezi kidogo,nimekuja kwa ajiri ya mazao kipindi hichChcha maharage,na wilaya hii nishawahi kuishi Sana miaka hiyo mzee alikuwa anafanya kazi hapa Songea.
Kwa kiasi chake Songea imebadirika lakini sio Sana ni baadhi ya maeneo. hasa pale mjini...
Sakho asipoangalia ataozea kwenye benchi la simba. Anapenda sana kucheza na jukwaa kwa hiyo mara nyingi hupoteza mpira akiwa kwenye harakati zake za kucheza na jukwaa!!! Uwezo wake wa kupaka rangi mpira ni mdogo.
Tatizo la ushoga ni kwamba mashoga wakiwa wengi sana, inakuwa vigumu kuwathibiti, kwa hiyo sheria inabidi zibadilishwe. Kwa sababu unamtuma polisi akamkamate shoga kumbe polisi mwenyewe ni shoga. Unamwamuru hakimu amhukumu shoga, kumbe hakimu mwenyewe ni shoga. Basi ndio unashindwa, inabidi...
Matumizi ya Card kwenye vivuko ni mazuri lakini yamekuja na changamoto ya kuibia wananchi pesa zao kielektronikia!
Nauli ya kivuko ni tsh 200 kwa watembea kwa miguu, na elfu 1500 au 2000 hata zaidi kwa magari!
Pesa hiyo hukatwa unapochanja (scan)!
ZIFUATZO NI BAADHI YA CHANGAMOTO
1. Yapo...
Natamani Waziri Mkuu atangaze kila wilaya/Mkoa umalize hii kero ya upungufu wa madawati; Watoto wanateseka jamani.....
Wiki iliyopita nikiwa Kisaki/Kilosa, nilipita shule inaitwa Kichangani shule ya msingi, yenye wanafunzi takribani 850 huku ikiwa na madawati kama 40hivi tu pengine niseme ya...
Mimi ni mtu mwenye kinyongo kikali na mtu akinitendea ubaya nina tatizo la kumuweka moyoni miaka hata ipite miaka kumi.
Baba yangu ni mtu mwenye imani sana ya dini na huwa ananishauri sana kuwa niwe mtu wa kusamehe lakini mimi huwa nashindwa kusamehe yaani mpaka nihakikishe nimelipa kisasi au...
Mtoto mwenye tatizo la #AfyaYaAkili anaweza kuwa na changamoto mbalimbali zinazomfanya awe na Tabia zisizo za kawaida au hali ya kutokuelewana na wengine katika jamii yake.
Baadhi ya matatizo ya Afya ya Akili yanayoweza kuathiri Watoto ni pamoja na kuvurugika Kihisia kama vile kuongezeka kwa...
Habari za asubuhi wana JF,
Kuna wimbi kubwa mtaani la wazee na wanawake kujiingiza kwenye kamari (kubeti), tatizo umasikini au ndio maendeleo ya soka nchini?
Nakumbuka World Cup last year kila mtu ni kubeti tu, ukikutana na wazee, wanawake wa mtaani wanataka uwafundishe kubeti na wakisikia...
Umeme unapokosekana tambua pia maji yanakosa, maana hawa jamaa DAWASCO na TANESCO baba mmoja.
Tunaomba mrejeshe umeme Vingunguti, mnakataje umeme siku 3 bila taarifa?
Mnatukosea sana.
Mimi ni kijana umri miaka 28 ni mtoto wa kwanza kwenye familia ya watoto 6, naishi Dar es Salaam, elimu yangu ya diploma zaidi ni jobless pia muumini wa dini ya kiislamu.
Kimsingi nimeandika uzi huu kutaka kujua situation ninayoipitia ipo based kwa ulimwengu mzima au mimi pekee!
Binafsi...
Mwanangu wa kike anaogopa sana wafu.
Hufikia mpaka kuwalazimisha marafiki zake nao waogope wafu.
Huyu Binti huwatishia kuwanyima peremende ikiwa rafiki zake hawataogopa mfu.
Kuna mfu Mmoja mashuhuri sana. Kila tulianza kumzungumzia basi Binti huyu kukimbilia kubadili mada au kwenda kwa jirani...
Habari wakuu.
Nina tatizo la kutokwa sana machozi nikiwa sehemu za baridi, na pia pua zangu zina tatizo la kitaalamu linaitwa Rhinorrhea (runny nose) pua zinakua zinatoa makamasi mepesi nikiwa sehemu za baridi.
Tatizo la kutokwa na machozi na makamasi pia hunipata nikiwa nakula chakula...
Ndugu zangu madaktari, nyama Ina tatizo gani? Sijawahi kusikia daktari akimshauri mgonjwa ale nyama kwa wingi.
Huwa wanatuambia kula mboga nyingi, au kunywa maji mengi au matunda mengi. Wengine wanaendaga mbele zaidi na kutuambia tusile nyama badala yake tule maharagwe.
Hivi utamu wa nyama...
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Mamelodi Sundowns Khayelihle Shozi kwa sasa anapitia tatizo la ugonjwa wa akili.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alipitia Katika timu za vijana ya Mamelod Sundowns na kupandishwa hadi timu ya wakubwa, Khayelihle alipotea kwa mara ya kwanza mwishoni mwa...
Salaam waungwana!
Nina kamchepuko kangu ambako tunapendana vizuri tu (kwa hali zetu, ananivumilia, namvumilia). Huu mchepuko ni mmoja kati ya wale wa kina dada wa kileo wanaoamini katika ufinyiaji kisawasawa wa ndani ili kumsatisha mwenza.
Tukikutana, ndani ya dakika tatu zangu za kulast (rejea...
DC Sumbawanga ametumbuliwa Jana Bila Sababu yakumbuliwa kwake kuwekwa wazi. Mitandao ya kijamii imeandika kwamba zoezi la utayari lililoandaliwa na Askari WA kike ndicho chanzo cha kutumbuliwa kwake.
Wakati vyanzo vikinyetisha kwamba zoezi la utayari Ndilo lililomtumbua naomba tutumie Sababu...
Isaya 10:27 maandiko matakatifu yanasema mungu ataondoa mzigo na nira mabegani mwetu lakini nimetafakari sana nira na mzigo ambao nchi yetu imeubeba nimegundua ni uzinzi.
Nchi hii watu wanazini kupitiliza na Sasa ushoga umepamba moto !watu wanaumizana ndoa zinavunjika kwa sababu ya uzinzi...
Mjadala uliofanyika Machi 3, 2023, katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania (MEWATA) kuhusu afya ya akili baada ya kujifungua, umenikumbusha mbali.
Siku moja napita pita katika wodi ya watoto wachanga nawahimiza akina mama kunyonyesha watoto, mama mmoja aliniita, “Dokta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.