Wanajeshi wa jeshi la ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi ya Tanzania wana tatizo la nidhamu na hawapendi kukosolewa pale wanapokosea.
Tatizo ni kwamba hawa vijana wetu na kaka zetu na dada zetu na wadogo zetu,pale wanapovaa mavazi yenye nembo ya taifa wanajiona wapo juu ya sheria.
Matukio ni...
Inshort' Nilinunua flash yangu GB 16 imation nikaweka file zangu important ila finally hii flash Ikawa haisomi Tena Baada ya kuitumia kwa mienzi kadhaa.
Baadae nikanunua nyingne ya GB 8 ila kampuni ni Disk, sasa na yenyewe haisomi tena baada ya kuitumia kwa mienzi kadhaa.
Changamoto hizi...
Nimejaribu kutafuta uzi unaongelea sex prombems hapa jukwaani sijapata majibu ya kuridhisho hivyo basi.
Moja kwa moja nigusie mada yenyewe kuna jambo linalitatizo pindi niwapo faragha na mwenza hasa napofika mshindo nikiangalia mbegu zangu huwa nyingi zinatoka nje y 'K hivi nauliza ni jambo la...
Hiki Chuo Kikuu ni kikubwa, sasa unapoingia kwenye Website yao huoni huo ukubwa!
Website imekaa ki- utumbo utumbo tu!
Mtu unajaribu ku- access information , mfano: UDSM selection list 2023/2024 pdf.
Hiyo pdf yenyewe uki - click huioni! Ni utumbo mtupu!
Kumekuwa na malalamiko hata baada ya kufanyika marekebisho ya mikataba ya HGA na IGA .na wengine wakifikia Kuilaumu TEC kwa kutokuwa na msimamo.
Bila kujua kuwa TEC walisema kuwa kama mkataba utaendelea kuwa hivyo ni bora kufutwa na Serikali iwasikilize wananchi.
Wananchi walitaka maboresho ya...
Amani iwe kwenu,
Nina ndugu yangu amepatwa na tatizo la kuweweseka, kuona vitu visivyo na uhalisia (hallucinations). Kuna muda anakakamaa mwili hadi inapelekea kuanguka kama mgonjwa wa kifafa.
Tafadhali mwenye kujua sababu na aidha matibabu yake anaweza kushare hapa. Tatizo limemuanza juzi...
Takribani miezi sasa tunasika tatizo la umeme ama mgao au upungufu Kwa neno jingine, sasa tunaomba kujua Hilo tatizo limebadikika maana mfano Mwanza wilay nyamagana hususani nyegezi hili eneo la stendi ni takribani wiki ya pili sasa umeme unakatwa kila siku asubuhi na kurejeshwa jioni Sana...
Wachina wana wazo moja kwamba ukitaka kuendelea na kukuza uchumi wa nchi basi lazima kuwe na miundo mbinu mizuri na imara. Wazo hili ndilo lililopelekea China kuziacha nyuma nchi nyingi ambazo hapo awali zilikuwa zinaonekana ziko sambamba na nchi hii katika umasikini. Kupitia ujenzi na...
Habari wana jukwaa, moja kwa moja kwenye mada.
Kuna aina hii ya magari yanaitwa TOYOTA FIELDER naona kwa hapa bongo ni machache sana na ukikaa barabarani kuyaonayanapita ni nadra sana. Shida ni nini? Pia nimefatilia yanapouzwa yanakuwa na kilometer nyingi sana, mengi siyo chini ya 100,000km...
Naona sasa hili tatizo la kuwaonea huruma wala rushwa hata serikali imeanza kuliona
1. Badala kuwafukuza viongozi wanaofuja wamekuwa wakihamishwa
2. Rushwa kama hizi za Polisi barabarani kuonekana sio rushwa!
3. Kesi kuchukuwa muda mrefu bila sababu za msingi
4. Madaktari na manesi kushinda...
95% ya Watoto wa Kitanzania hasa waliozaliwa kuanzia mwaka 1990 hadi leo (sasa) wanapenda zaidi Kula Ubwabwa (Wali) na Kuuchukia kabisa Ugali (GENTAMYCINE ninaoupenda) uliotukuza Kaka na Dada zao Geniuses tuliozaliwa kuanzia 1989 kurudi nyuma.
Wazazi wa sasa nawashaurini kwa nia njema tu...
Mchangamoto tunaopitia wakati wa kujaza gesi kwenye magari ni kero kubwa ya foleni inayotokana na wingi wa wenye uhitaji huku sehemu za kujazia zikiwa chache.
Hicho ni kikwazo kikubwa pia kwa madereva hasa wale ndugu zangu wa Taksi Mtandao kwa kuwa wanatumia muda mwingi kwenye foleni ya gesi...
Mwanamke ana kifua kizuri lakini hana chuchu.... yaani ni kama zimeingia kwa ndani. Mmoja alishawahi kuzaa sielewi sasa why awe hivyo.
Mwingine hajawahi zaa. Ana kifua kimesimama na kujaa vyema. Ila chuchu hazijajitokeza. Inanikata stim kiukweli.
Mimi nikiwa kama mpenzi na shabiki wa Simba sports club sifurahishwi na mwenendo wa timu pamoja na matokeo mazuri ya uwanjani. Timu haiko vizuri hatuna beki ukuta unavujisha na upande wa ushambuliaji ni butu.
Wapenzi wa mpira wa miguu karibuni nanyi mseme chochote maana mwenzenu nina wasiwasi...
Sawa bei zimepanda soko la Dunia na mambo kama hayo ila ni muda wa kuweka ruzuku.
Bora kuvuruga Mpango wa miradi 2 au 1 Tupate pesa ya ruzuku kuliko kuua uchumi mzima Kwa kuachia bei ziendelee kuwa Juu kiasi hiki.
Yaani Lita Moja kufikia elfu 4-6 Mikoani huko Vijijini haikubaliki.Mwaka.juzi...
Hakuna kipindi ambacho jamii yetu inahitaji elimu ya kujifahamu "consciousness education"kama sasa. Tunapita kwenye kipindi chenye upotofu mwingi juu ya "mtu ni nani " kuliko kipindi chochote kile.
Taasisi za misingi ya jamii kama familia, shule na maeneo ya ibada leo kwa kiasi kikubwa...
Kama kwa siku kadhaa hatuna Msemaji wa Serikali baada ya Gerson Msigwa kupelekwa Wizarani , na hakuna kilichobadilika , basi ni dhahiri kwamba Cheo hiki hakina haja ya kuwepo ili kupunguza matumizi ya serikali .
Napendekeza Waziri wa Habari ndiye awe Msemaji wa Serikali .
Mathalani, ufisadi na ubadhirifu wa kukwapua bila aibu. Mifano ipo mingi tu.
Umeme kukatika kanakwamba tupo jangwa la Sahara wakati vyanzo vipo vingi tu.
Kukosekana mafuta ya magari ya uhakika.
Haya mambo yalishamiri sana 2005 mpaka 2015. Ila kwa sasa yamerudi kwa mtindo uleule? Why?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.