tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Ku renew line Tanzania ni kama kusajili kiwanda: Mamlaka chukueni ushauri huu

    Hivi majuzi nilipoteza simu iliyokuwa na line ya mtandao fulani (sitautaja) kwakuwa ni line inayofahamika zaidi nilitembelea duka la mtandao husika ili wanisaidie kurudisha, baada ya maelekezo mafupi walinielekeza kwenda kituo cha polisi cha kati, polisi nao walinipokea na kuniuliza tarehe ya...
  2. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi kutoka Kituo cha Ufundishaji Data cha Afrika Mashariki, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na Ofisi ya Mwanasheria ya Serikali

    UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/K/154 11th February 2020 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of The Open University of Tanzania (OUT), The Eastern Africa Statistical Training Centre (EASTC) and The Office of the Solicitor...
  3. JamiiForums Tanzania TMA waeleza uwezekano mdogo nzige kuingia Tanzania

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa mwenendo wa hali ya hewa kwa Mikoa ya Kaskazini inayopakana na nchi ya Kenya, ikieleza kuwa kiwango hafifu cha upepo hakiwezi kuhamisha nzige kutoka nchi hiyo kuingia Tanzania. Hayo yameelezwa leo Jumanne Februari 11, 2020 na meneja wa...
  4. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi kutoka Tanzania Postal Bank | Deadline 23rd February, 2020

    TPB Bank PLC is a Bank that provides competitive financial services to our customers and creates value for our stakeholders through innovative products. TPB Bank PLC is a Bank, whose vision is “to be the leading bank in Tanzania in the provision of affordable, accessible and convenient...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi Marekani akiiwekea vikwazo Tanzania ndio upinzani unaingia Ikulu? Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini chama ni kile kile ZANU PF

    Ukimwangalia ZITO tabia ya usaliti alianza nayo toka zamani tangu enzi akiwa CHADEMA mabeberu wake walikuwa ni Serikali ya Kikwete iliyokuwa inamtumia kula hela zaidi Alipoingia Magufuli alijua kuwa utaratibu ule wa awali utaendelea kwamba Magufuli ataendelea kumtumia Zito kudhoofisha Upinzani...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni ukiukwaji upi wa Haki za Binadamu unaofanyika Tanzania?

    Ninauliza hili swali ili ndugu zangu kama Watanzania tupate kufahamu hawa jamaa wamarekani ambao huiona nchi yao kama paradiso wametuwekea zuio la kutusua kuingia nchini kwao. Hapa Tanzania kuna ukiukwaji wa haki za binadamu? Na kama upo ni zipi? Kwa mujibu wa Serikali ya US ni kwamba pamekuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kiukweli Rais Magufuli ndio mwanasiasa pekee Tanzania aliyeanza moto na anamaliza miaka mitano moto bila kupoa

    Moto alioanza nao ndio anamaliza nao. Kuna watu tulidhani pumzi itakata katikati ya safari ila hilo halijaonekana. Ameanza kwa kuogopwa na anamaliza kwa kuogopwa. Hili nililithibitisha siku amezushiwa kufariki mitandani, Kuna jamaa mmoja mtumishi wa Umma alishukuru akasema afadhali aondoke...
  8. JamiiForums Tanzania Wizara ya Kilimo: Tanzania haijavamiwa na Nzige

    Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet N.Hasunga (MB) jana Jumapili anawafahamisha wakulima na wananchi kwa ujumla kuwa taarifa zinazoenea kwenye baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu uwepo wa nzige wa Jangwani nchini hususan mkoa wa Kilimanjaro siyo za kweli. Mhe.Hasunga amesema...
  9. JamiiForums Tanzania Wapinzani watambue kuwa Uchaguzi Mkuu utafanyika Tanzania na sio nje

    UCHAGUZI MKUU UTAFANYIKA TANZANIA NA SIO NJE! Ukitizama vyama vya CHADEMA na ACT unaweza kudhani uchaguzi mkuu utafanyika Ulaya na Marekani! Utadhani watakaopiga kura ni wazungu, benki ya dunia, BBC, VOA, DW, Amnesty International, n.k. Yaani wamewekeza nje! Wanafanya kampeni nje! Na huu ndio...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanajeshi wa Marekani ana hadhi sawa na mwanajeshi wa Tanzania? Kuanzia kipato/ mshahara, mafunzo?

    Wakuu, mliotembea na kuyajua mambo mbalimbali hasa ya kijeshi nijulisheni, maana kuna mjeshi mmoja toka Marekani anamwaga misaada hapa wilayani mpaka najiuliza katakatisha fedha huko kwao au nini. Hivi mishahara ya wajeda marekani ni mikubwa kiasi cha kupata hadi hela ya kutoa misaada? Vipi...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya Nzige kutesa Kenya, wanaelezwa wapo Km 50 kufikia mpaka wa Tanzania na Kenya

    Afisa Kilimo wa Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro, Erick Kaaya amesema wamepokea taarifa kuwa Nzige wapo Kilometa 50 kutoka ulipo mpaka wa Kenya na Tanzania Katika taarifa iliyotolewa na Afisa huyu wa Wilaya, amewaomba Wananchi watakapoona Wadudu jamii ya Panzi kutoa taarifa mapema kwenye...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Fahamu Aina ya nafasi za kazi na ajira zinazopatikana Airport Tanzania

    CLOSED
  13. JamiiForums Tanzania Je, Air Tanzania walishaita watu wa ajili ya usaili?

    Naomba mwenye kufahamu kama Air Tanzani walishaita Interview ya Cargo Officer na Sales. Walitangaza October 2019. Nikaona Nina sifa walizotaka Hadi leo sijapata Jibu.
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wajuvi: Ipi logic ya msiba wa Hayati Arap Moi huko Kenya kuagwa bila kuwekwa kwenye jeneza?

    Je; Ni mila na desturi au ni Itifaki Au ni WOSIA wake uliopelekea Moi kuagwa bila kuwekwa kwenye jeneza?
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na miradi mingi ya ujenzi na yenye thamani kubwa sana. Kenya yafuata

    Wakati serikali ikiendelea kuwekeza katika miradi mikubwa ya maendeleo hasa katika sekta ya miundombinu, ripoti ya ujenzi ya The Africa Construction Trends Report (2019) iliyoandaliwa na Kampuni ya Deloitte kutoka nchini Uingereza inaonesha kuwa Tanzania inaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi elimu ya tanzania inavyofuta ujinga bila kuongeza maarifa

    Kalamu ya Baba Askofu Bagonza (PhD) . ELIMU YETU Inafuta Ujinga, Haiongezi Maarifa Duh!! Tanzania yetu inaumwa. Pole sana. Habari mbaya kila wakati. Taifa linaumwa sana. Tuliona Samunge. Walikwenda madaktari, Maaskofu, Mitume, Wanajimu, Maprofesa, na wengine wasiotajwa kirahisi. Mzee wa...
  17. JamiiForums Tanzania The Message; Ministry of Natural Resources & Tourism

    By: Eric Allard I’ve been in Tanzania for 30 years now and i'm proud of where this nation is at when compared to what it was when I first arrived. It was a good decision to move here then and I’ve experienced the country’s economic and infrastructure growth over the 30 years. I’ve also run my...
  18. JamiiForums Tanzania Kuporomoka Hadhi ya Tanzania kwenye Diplomasia ya Kimataifa: Awamu ya 5 Imetuangusha

    Haya matukio yanaonyesha kuporomoka kwa hadhi ya Ki-diplomasia kwa Tanzania. 1. Tanzania imekaa bila Balozi kamili wa USA kuanzia Oktoba 2016 alipoondoka Mark Bradley hadi Novemba 2019 alipoteuliwa Dr Don Wright. Kwa miaka 3 tulikuwa unafanya kazi na Inmi Patterson ambaye kicheo ni Charge...
  19. JamiiForums Tanzania Kama Kutoa mimba ni kosa nchini Tanzania basi Wema Sepetu akamatwe

    Wema Sepetu ametangaza mwenyewe mitaani na mitandaoni kwamba aliwahi kutoa mimba mbili za Marehemu Kanumba, kwamba " alivinyongelea " mbali vitoto vya Kanumba (bado haijafahamika sababu ya kufanya unyama huo) Bali kinachofahamika ni kwamba Nchini Tanzania ni kosa kisheria kutoa mimba , na yuko...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Sasa Bangi kuwa zao rasmi la biashara Tanzania

    Spika aongoza wabunge kuunga mkono. Mabeberu wanahitaji zaidi hili zao,hasa CANADA. Uganda wapewa USD500M kutoka EU kuendeleza zao la bangi. Angalizo. Tusiwaamini sana mabeberu kwa uhitaji wa hili zao la bangi. Kama vp walime wao maana wanayo ardhi. Siku wakigoma kuinunua bangi na kauli za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…