Wakuu, mliotembea na kuyajua mambo mbalimbali hasa ya kijeshi nijulisheni, maana kuna mjeshi mmoja toka Marekani anamwaga misaada hapa wilayani mpaka najiuliza katakatisha fedha huko kwao au nini.
Hivi mishahara ya wajeda marekani ni mikubwa kiasi cha kupata hadi hela ya kutoa misaada? Vipi mwanajeshi wetu Tanzania wana uwezo huo pia?
Pia nimeona anapiga tizi kwenye uwanja wa shule hapa aisee jamaa yuko fit ile mbaya sasa najiuliza hawa wajeda wetu wameiva kama huyu, nanyemelea nipate kuwa mkalimani wake hapa.