Kiukweli Marais wastaafu wa Tanzania ni wanyonge wenzetu, utajiri aliouacha Moi Kenya unadhihirisha ubepari wa nchi hiyo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,914
141,864
Nafuatilia shughuli ya mazishi ya mwenda zake Rais mstaafu Moi wa Kenya mubashara kupitia Citizen Tv.

Kiukweli mwendazake Moi alikuwa ni tajiri wa kutosha, sasa nimewaelewa mabepari wa Tanzania Chadema wanaoamini kuwa Umaskini ni laana.

Ila CCM ni Chama cha kistaarabu sana marais na mawaziri wakuu wastaafu wanaishi maisha ya kijamaa kabisa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Jo naona unatafuta uteuzi wa lala salama kwa nguvu sana
Nafuatilia shughuli ya mazishi ya mwenda zake Rais mstaafu Moi wa Kenya mubashara kupitia Citizen Tv.

Kiukweli mwendazake Moi alikuwa ni tajiri wa kutosha, sasa nimewaelewa mabepari wa Tanzania Chadema wanaoamini kuwa Umaskini ni laana.

Ila CCM ni Chama cha kistaarabu sana marais na mawaziri wakuu wastaafu wanaishi maisha ya kijamaa kabisa.

Maendeleo hayana vyama!
sasquatch19.jpeg

Jr
 
Kwani kenya na tz wapi kuna masikin wengi we mnyampala?

Sent using Jamii Forums mobile app

..waTz hatustahili kuwa ktk hali hii kiuchumi, kisiasa, na kijamii.

..viongozi wetu na ccm wameshindwa ku-deliver na kutoa majibu ya changamoto zinazowakabili waTz.

..utajiri wa viongozi wa Kenya na umasikini wa wananchi wake ni mambo yao wenyewe. Na hayana uhusiano au hayabadilishi hali halisi ya mTz.
 
Nafuatilia shughuli ya mazishi ya mwenda zake Rais mstaafu Moi wa Kenya mubashara kupitia Citizen Tv.

Kiukweli mwendazake Moi alikuwa ni tajiri wa kutosha, sasa nimewaelewa mabepari wa Tanzania Chadema wanaoamini kuwa Umaskini ni laana.

Ila CCM ni Chama cha kistaarabu sana marais na mawaziri wakuu wastaafu wanaishi maisha ya kijamaa kabisa.

Maendeleo hayana vyama!
Hujui lolote kuhusu ukwasi walionao hao wastaafu wako! Laiti ingekuwa accounts zao huko uswiss, America na ulaya Zina salio la kiasi gani usingeandika mashudu yako hayo!
Magu aliwahi toa Rai kuwa wenye mapesa yao nje wayalete nchini ili kuuboost uchumi na kusaidia kutoa ajira! Sina uhakika Kama ulimwelewa na au alikuwa anawaambia kina nani! Kama hata joka la makengeza Lina mabilioni huko nje je, wao wanashindwa Nini. Kina Jamal walikataa kurudi kuzikwa nchini na alizikwa Canada Kama raia wa Canada ilihali alikuwa waziri wa fedha wa Tanzania! Unaijua sababu? Waliwekeza mapesa mengi huko waliyoyakwapua na familia yake inaishi huko ikila nchi!
 
Ukimwondoa Mwl. Nyerere pengine na Mh. Mwinyi. Wengine ni matajiri wa kutupwa ila hawana uthubutu wa kuonyesha mali na fedha walizojilimbikizia kwa njia za ufisadi mkubwa sehemu mbalimbali ulimwenguni. Ukiona Trump anaziita nchi za Afrika kama "shithole" kupitia viongozi wake, basi tambua kuwa wanajifanya kuwa ni wenye maisha ya kawaida kumbe nyuma ya pazia ni kinyume chake kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ccm kuwadanganya watanzania eti inawapenda wanyonge na masikini huo ndio uhai wake, maana hakuna mwenye uwezo wake anaweza kuipenda ccm
Nafuatilia shughuli ya mazishi ya mwenda zake Rais mstaafu Moi wa Kenya mubashara kupitia Citizen Tv.

Kiukweli mwendazake Moi alikuwa ni tajiri wa kutosha, sasa nimewaelewa mabepari wa Tanzania Chadema wanaoamini kuwa Umaskini ni laana.

Ila CCM ni Chama cha kistaarabu sana marais na mawaziri wakuu wastaafu wanaishi maisha ya kijamaa kabisa.

Maendeleo hayana vyama!

In God we Trust
 
Back
Top Bottom