tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yachelewesha tena kuipa Tanzania mkopo wa Dola 500M

    Bank ya Dunia imeahirisha kupiga kura ya kuikopesha Tanzania mkopo wenye masharti nafuu wa Dola za kimarekani milioni 500 sawa na shilingi trillioni 1.3 za kitanzania kwa ajili ya kufadhili elimu. Kama mnakumbuka Benki ya Dunia ilikuwa ipige kura wiki hii kuamua kama iikopeshe Tanzania au la...
  2. Tembosa

    JamiiForums Tanzania Dalili za mlipuko wa nzige mkoa wa Kilimanjaro

    Kuna kila dalili ya kutokea kwa nzige wanaoisumbua Kenya kwa sasa kuhamia Tanzania. Mkoa wa Kilimanjaro haswa wilaya za Moshi (V), Siha na Hai. Nzige ni wengi kwa sasa, nimewaona Siha na Moshi V. Ni vema Serikali ikachukua tahadhari kabla ya tatizo kuwa kubwa zaidi. Pia soma i. Waziri Kenya...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania yazidi kusiginwa , 8 waliojiuzulu udiwani Cuf Tanga na kujiunga na CCM wahudhuria kikao cha bajeti na kulipwa posho

    Kiukweli watu hawa ambao si madiwani tena baada ya wao wenyewe kutangaza hadharani na kuandika barua za kujivua udiwani na uanachama wa CUF na kuhamia CCM hawakupaswa kuendelea kuhudhuria vikao vya baraza la madiwani. Mkurugenzi wa Jiji la Tanga kaamua kujitoa akili na kueleza kwamba hana...
  4. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Kongole nyingi sana Uhamiaji Tanzania. Mmetupa heshima Watanzania

    Huduma za uhamiaji Tanzania zimenikosha nikawiwa kuwapongeza. Sina uhakika kama Watanzania wenzangu wanawaona kama nilivyowaona. Nawapongeza kwa yafuatayo: 1. Mmejenga mifumo very smart hasa ya malipo ya pesa ya serikali. hai attempt watumishi na ni rahsi, online applications is just fantastic...
  5. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Tanzania ya viwanda yenye uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025

    Mwanzo wa mwaka huu ni kengele ya miaka mitano kuelekea 2025 mwaka ambao Tanzania ilipanga kuwa imefikia lengo lake la kuwa nchi ya uchumi wa kati, ya viwanda.Dira hii ambayo Tanzania ilianza nayo mwanzoni mwa karne hii ya 21 inatambulika kuwa ni moja ya malengo makubwa ya Rais Dkt John...
  6. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania wamkamata Profesa Lipumba

    Handeni. Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania cha CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amekamatwa na Jeshi la Polisi wilayani Handeni Mkoa wa Tanga akidaiwa kufanya ziara bila kupewa kibali. Profesa Lipumba amekamatwa leo Jumapili Januari 26, 2020 Kijiji cha Segera wilayani Handeni na...
  7. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaweza kukosa Mkopo wa Dola Milioni 500 kutoka Benki ya Dunia

    Bank ya Dunia wiki hii mwishoni itakutana kujadiliana na kuamua kama wataikopesha Tanzania au kuipa mkopo nafuu wa kuboresha elimu wa Dollar Millioni Mia Tano ($500M) ambayo ni sawa na Shilingi za Kitanzania Trillioni 1.3. Mwaka 2018 bank ya Dunia ilisitisha mkopo nafuu kwa Tanzania wa Dollar...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania ACT - WAZALENDO kuanza ziara nje ya nchi ili kuihami demokrasia ya Tanzania

    Viongozi wa ziara hiyo inayoanza mara moja ni Zitto Kabwe na Nassor Mazrui , ambao wamepanga kuonana na watanzania walio nje ya nchi pamoja Mabeberu ili kuzuia ukandamizaji wa demokrasia nchini Tanzania ambao umefikia kiwango cha kutisha . Watanzania wote makini wako tayari kuthamini mchango wa...
  9. technically

    JamiiForums Tanzania Barrick vs Tanzania: Tukubali tu kwamba tumezidiwa ujanja na Wazungu

    1. Hakuna kubadili sheria ya madini mpaka Barrick waondoke nchini. 2. Hakuna kuishtaki Barrick mahakama za ndani. 3. Barrick haitajisajili ndani ya DSE. 4. Hakuna Mtanzania atakayeweza kununua hisa kwenye kampuni. 5. Serikali itapata share ya net profit na net loss kwa 50%. Kwa mkataba huu...
  10. malisoka

    JamiiForums Tanzania Funzo kwa Tanzania: Shirika la ndege la South Africa limefilisika

    Shirika kongwe la ndege la Afrika Kusini, limetangaza kufuta safari zake za nje ya nchi na baadhi ya safari za ndani, kutokana na kuishiwa fedha za uendesheji shirika linalozalisha hasara kwa miaka 9 mfululizo hadi sasa. Shrika hili liliopata tuzo mbalimbali kwa ubora na huduma nzuri afrika na...
  11. OLS

    JamiiForums Tanzania Wavuvi wa samaki Tanzania wajifunze kwa waturuki

    Uturuki yaingiza dola milioni 9.7 sawa na Tsh bilioni 22.3 katika biashara ya dagaa mwaka 2019. Mauzo ya nje ya dagaa kutoka nchini Uturuki yameongezeka kwa asilimia 1 ikilinganishwa na mwaka uliopita kwa kuuza tani 1996. Mwaka 2019 tani takribani 1973 za dagaa zimeuzwa kutoka Uturuki na...
  12. Parabora

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Kujuana, kupeana updates kuhusiana na wale Tuliomba nafasi za kazi TANZANIA RED CROSS SOCIETIE (TRCS)

    Kwa wale wote mlioomba kazi katika shirika la msalaba mwekundu huu ndo uwanja wenu wa kupeana taarifa zozote zinahusu shirika hili,na kwa wale ambao hawajaomba niwakumbushe tu leo ndio mwisho.nataka nione ufanisi wa saili kwa mashirika ya huko nyumbani Haijalishi umeomba kitengo gani, Tupeane...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Makame Mbarawa: Wizara ya Maji hakuna uadilifu na hatuwapendi Watanzania

    January 23, 2020 Profesa Makame Mbarawa - ''Wizara ya Maji Hakuna Uadilifu na Hatuwapendi Watanzania, Changamoto za Maji Tanzania wizarani Wakurugenzi, ma-Consultant, Wahandisi hawazijui' Prof. Makame Mbarawa amesema watalaamu wake walioko wizarani hawajui miradi iliyopo bali wanakaa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Kinyarwanda akiolewa na Mtanzania anakuwa raia wa Tanzania?

    Naomba wataalam mnifahamishe.
  15. G Sam

    JamiiForums Tanzania Laiti kama Rais wa Tanzania angekuwa anasemwa na anaowatumbua!...

    Naomba tu niseme, kama Rais wa Tanzania angekuwa anasemwa na anaowatumbua basi tungeona maajabu. Naandika tu mistari michache. "Asikudanganye mtu, hakuna jambo lolote lile analofanya mteule wa Rais bila kuwa na idhini ya Rais" Aisee acheni tu watu waendelee kuilinda heshima ya Rais wa nchi...
  16. malisoka

    JamiiForums Tanzania Huu pia ni udhalilishaji, na hapo ndipo Tanzania inapokuwa " Nchi ya kushangaza"

    Tanzania kwa miaka mingi imekuwa ni nchi inayo boresha elimu kwanza na baadaye yanafiata mambo mengine ya barabara, lilimo viwanda na nk. Cha kuchangaza ni kwamba awamu hii imesahau lkabisa kuboresha elimu hasa ya msingi. Wengi watanishanga kwamba mbona sijaona elimu bure inatolea nk. Kutoa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tuweke utamaduni wa kusikilizana ili tusaidie nchi yetu

    Watanzania tumefikia wakati sisi wenyewe kwa wenyewe hatuwezi kusikilizana au kuheshimiana. Watanzani wengi siku hizi wamekuwa wakiangaliwa kibinafsi wakitoa hoja kuliko kusikiliza hoja za wanaotoa. Mara nyingi sana tumekuwa hata hatusikilizani kwa sababu ya woga au kujijengea fikra za uongo...
  18. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kinachoiponza Tanzania ni mashitaka dhidi ya mwana habari Erick Kabendera, ni kama marehemu Jamal Khashoggi (Mwanahabari)

    Na huo ndiyo ukweli wenyewe. Mwana habari Erick Kabendera nje ya Tanzania ni mwana habari mwenye nguvu na mwenye uzani sawa na kina Jamal Khashoggi. Hayo mengine yalitokea yakapita kimya bila madhara makubwa. Wapo waliotekwa, wapo waliopotea, wapo walionusurika kuuawa, wapo waliouawa na wapo...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania inalipwa mabilioni ya fedha toka nje ambazo zimefanywa siri na serikali hazina rekodi, tumenunulia ndege, na kujenga SGR na Stiegler nk

    Tetesi zlizopo ni kwamba serikali ya Tanzania imekuwa ikilipwa mabilioni ya fedha na kampuni za nje lakini fedha hizi zimefanywa siri bila kuingizwa katika kasri za serikali, na hivyo kuwa nje ya wigo wa ukaguzi wa serikali kutia na CAG. Hili ndilo simulizi lililopo. Nitawawapa dondoo za...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania TMA yatabiri mvua kubwa mikoa minne Tanzania

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania ( TMA) imetoa tahadhali ya mvua kubwa itakayonyesha katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na kusini mwa Morogoro leo Jumatano Januari 22, 2020. Pia, TMA imetoa tahadhali ya upepo mkali na mawimbi makubwa katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani, Dar es Salaam...
Back
Top Bottom