Je, Tanzania kuna wanawake wanaolenga wanaume kwa ajili ya kuzaa nao watoto?

Eagle J

Member
Jan 30, 2020
27
51
Nilipata simuliwa kuwa wanawake wa kizungu wana tabia ya kwenda sehemu za mbali na kum target mtu kwa ajli ya kuzaa nae kisha kupotea/kupoteza mawasiliano nae...

Je Tanzania kuna wanawake wa namna hiyo?
 
Target tunazo za mwanaume tunayetaka kuzaa nae...lakini sio kwa lengo la kupata mimba tu na kupoteza mawasiliano na baba wa mtoto

Ni sisi wanawake wa kiTanzania tunaopotezewa mawasiliano baada ya mzigo kuingia
 
Kindotondoto watakuwepo wengi kimaisha halisi tuwaachie wale kwa msaada wa marekani!!
 
Target tunazo za mwanaume tunayetaka kuzaa nae...lakini sio kwa lengo la kupata mimba tu na kupoteza mawasiliano na baba wa mtoto

Ni sisi wanawake wa kiTanzania tunaopotezewa mawasiliano baada ya mzigo kuingia
Na mkishapotezewa mawasiliano mnafanya nini..? Au ndio mnageuka kuwa wale "Hiyo hela tuma kwenye namba hii"
 
Wanawake ambao umri umeenda na wana KIPATO wanafanya sana hivyo hata bongo; kuna nyuzi kadhaa hata humu jukwwani hasa kule kwenye jukwaa la mmu
 
Nilipata simuliwa kuwa wanawake wa kizungu wana tabia ya kwenda sehemu za mbali na kum target mtu kwa ajli ya kuzaa nae kisha kupotea/kupoteza mawasiliano nae...

Je Tanzania kuna wanawake wa namna hiyo?
Hali yenyewe ngumu unadhani kuna boya anayeweza kufanya ivo subutu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipata simuliwa kuwa wanawake wa kizungu wana tabia ya kwenda sehemu za mbali na kum target mtu kwa ajli ya kuzaa nae kisha kupotea/kupoteza mawasiliano nae...

Je Tanzania kuna wanawake wa namna hiyo?

Wapo lakini siyo kwa huo mtazamo wako au jinsi ulivyoiwakilisha mada...

Wengi hususani wale wa kwenye 30s ndo michezo yao...huwa wanajua ndoa ndo basi tena...hivyo hujilengesha na kuwatia wanaume mimba kibabe (kujibebesha mimba)...halafu wanakaza...

Nimekoswa koswa mara kadhaa...kaa nao mbali mamanzi wa umri huo...ni pasua kichwa..
 
Wadada wabongo siku izi Wanapenda watoto sana kiasi kwamba hata ndoa hawaifikilii. So kutegeshewa mimba nijambo jema kwao, ili mradi keshachora uchumi upo.

BTW wadada, ndoa ukoswe . .hata kuzaa napo jaman??
 
Back
Top Bottom