Tunaona kabisa mizaha mizaha na siasa kwenye mambo serious kama corona virus, tunaona viongozi wa siasa wanapinga mikusanyiko angali wao wamekusanyika na wamekusanya watu, kwa mitazamo yetu watanzania vile tusivyo penda kujifunza kutoka italia na china, hili gonjwa kama litadhibiwa kisiasa basi...