tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania: The Soul of a New Africa - Full Documentary

    March 1, 2020 Tanzania's Vision year 2025 Massive investment in Infrastructure, Industrialization, Energy, SGR Railway network, Reforming Mining Sector and Geopolitics in East, Central and Southern Africa Tanzania is an unforgettable destination. The land of the Kilimanjaro, the Serengeti...
  2. OLS

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya hali ya usawa kijinsia Tanzania

    Huu ni mwezi wa Wanawake duniani, basi na mimi nimeona niweke hoja za kuwasaidia kwenye kutimiza malengo yao ya usawa (Theoretically) Takwimu zinaonyesha umasikini kuwa mwingi kwa jinsia ya kike, hii ni kutokana na wao kuwa wachache kwenye shughuli za kiuchumi Sera ya elimu ya mwaka 2014...
  3. Paa

    JamiiForums Tanzania Hali ikoje kwenye kozi za Masters in Computer na Data Science katika vyuo vyetu hapa Tanzania?

    UDSM hizi kozi mbili zote zipo, sijafuatilia kwa UDOM na vyuo vingine. Hali ikoje wadau? Maana stori za mitaani zinasema kuwa waalimu wengi hawajali wanafunzi, hawana muda na wanafunzi ila mambo yao tu na wengi hawana moyo wa kumsaidia mtu amalize fresh. Hali ikoje?
  4. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

    Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akiagana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam. My take,hizi ndo siasa safi. ===== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Barabara za Tanzania zinajengwaje, mbona kama udongo mtupu?

    Ukiangalia kwa makini sana hii barabara ya Morogoro - Dodoma, hasa eneo ambalo daraja limeng'olewa ni lazima upigwe na bumbuwazi! Hakuna hata mawe wala kingo za maana, ujazo wa lami uliowekwa ndio kituko kabisa , unaweza kuichimbua hata kwa jembe la mkono, Tatizo liko wapi? Hivi ndivyo nchi za...
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Baylor Tanzania

    Watoa Huwanyu (HBCs) (3) Posted by: Baylor Tanzania Location: Mbeya Baylor College of Medicine Childrens Foundation – Tanzania ni shirika lisilo la Kiserikali (NGO) maalum kwa kusaidia kutoa huduma zenye ubora wa hali ya juu, huduma fahamishi za maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (HIV/AIDS) na...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Tanzania wasusa na kutoka nje Bunge la Afrika Mashariki wakipinga kupitisha mswada wa Forodha

    Wabunge wa Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki wamesusia kikao na kutoka nje ya ukumbi wakipinga kupitisha muswada wa forodha. Spika wa bunge hilo aliahirisha kikao kwa akidi kutotimia. Source ITV habari!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kufikia mwaka 2100 Tanzania itakuwa miongoni mwa nchi zenye watu wengi duniani

    Kufikia 2100 Tanzania itakuwa kati ya nchi 10 duniani zenye watu wengi zaidi. Viongozi wetu wanatakiwa wawe wanaweka malengo ya maendeleo ya miaka 100 mbele. Pongezi kwa JPM kwa kuliona hilo na kuanzisha ujenzi wa SGR na bwawa la umeme la Rufiji.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuchukue tahadhari kubwa, Wakenya mbioni kutuletea Coronavirus Tanzania!

    Serikali ya Kenya, japo imesimamisha ndege zake za KQ kwenda China, imekuwa ikiruhusu abiria kutoka China kungia nchini humo bila kuwa na tahadhari zozote zaidi ya kuwapima joto wanapowasili uwanja wa Jomo Kenyatta au kuwadhibiti katika kile kipindi cha siku 14. Hii imezua taharuki kwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Bila kuchelewa, Serikali ya Tanzania ijipambanue kupata uchaguzi huru na haki ili kuondoa upotoshaji

    Kwanza naomba Mods, uzi huu usiunganishwe na nyengine. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na kauli mbali mbali kuhusu Madai ya tume huru ya uchaguzi Tanzania. Si vyama vya upinzani tu lakini hata wadau wa maendeleo na demokrasia wamesikika wakihimiza kwa serikali kuleta tume huru ya uchaguzi...
  11. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumepewa bahari, tuitumie kuongeza pato la taifa

    Tanzania tumepewa eneo kubwa sana la bahari ya Hindi ambapo tumejaliwa kuwa na bandari, fukwe, visiwa na hifadhi za asili. Bahari tuliyonayo inatosha kuzalisha mapato kuzidi hata sekta ya madini ambayo sisi tunaitolea macho. Zifuatazo ni shughuli ambazo zikifanyika kwa ustadi zitazalisha...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Polisi wakihakikisha Usalama wa katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara

    Polisi wakihakikisha Usalama wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara mapema leo hii. Je, inawezekana kwa Katibu Mkuu wa chama cha upinzani mathalani CHADEMA, John Mnyika kusindikizwa hivi?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna Kiongozi anayekumbuka kama mpaka wa Tanzania na Malawi umehamishwa?

    Wanajamvi kwa kumbukumbu zangu ni mwaka wa nne sasa tangu uzi wa namna hii uletwe hapa jamvini kama nitakosea mnirekebishe lakini jambo muhimu ni maudhui ya uzi huu. Mpaka wetu ulioachwa na Hayati Baba wa Taifa umehamishwa kinyamela na viongozi woote hasa Mawaziri wamelala bila kushughulikia...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki katika maonesho ya kimataifa ya paris 2020, Ufaransa

    February 24, 2020 Paris, Ufaransa TANZANIA YASHIRIKI KWA MARA KWANZA KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIDHAA ZA KILIMO YA PARIS 2020, UFARANSA Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Samwel Shelukindo (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Tanzania unaoshiriki Tanzania...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Vyama vya wafanyakazi Tanzania vinakwama wapi?

    Kwanza nitangaze wazi kwamba Mimi ni Kiongizi Mwandamizi wa Chama cha wafanyakazi sekta ya Nishati na Madini (Sekta ya Uziduaji) Tanzania, kinaitwa kwa ufupi NUMET. Pamoja na kwamba hatuhusiki sana na wafanyakazi wa sekta ya umma ambayo inalalamika sana kwasababu za kutoongezwa mishahara, na...
  16. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Video: Kwanini Wamarekani hawawalilii shida watawala kama hapa kwetu Tanzania?

  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa kuwa demokrasia inapigwa vita Tanzania

    “Mnazunguka huko duniani, mnaenda ulaya mnacheka cheka mnapewa na vitiketi vya uwongo unakuja hapa mnakuja kukuta maendeleo ya nchi, baadhi ya mataifa mengi yaliyokuwa yakiendelea yameuawa na neno Demokrasia,”- RC, Paul Makonda.
  18. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya mazungumzo na msomi Prof Patrick Loch Otieno Lumumba, msomi huyu ammwagia sifa lukuki Dr Magufuli

    Rais Magufuli leo amekutana na msomi mbobezi duniani Prof Patrick Lumumba Ikulu jijini Dsm. Rais Magufuli amempongeza Prof Lumumba kwa namna anavyojitahidi kuwashauri viongozi wa Afrika namna ya kuzifanya nchi zao zijitegemee. Nay Lumumba amempongeza Dr Magufuli kwa jinsi alivyoibadilisha...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania New Job Opportunity at Pathfinder International Tanzania - SVAC Prevention Consultant

    Job Title: TORs for the SVAC Prevention Consultant Introduction Since 2014, Pathfinder in collaboration with ActionAid Tanzania and C-Sema have been implementing the KUWAZA (Kuzuia Unyanyasaji wa Watoto Zanzibar) project which is aimed at supporting the Government of Zanzibar’s efforts in...
  20. G Sam

    JamiiForums Tanzania DPP wa Tanzania amepora uhuru wa mahakama, Mahakama nayo imeridhia

    DPP wa Tanzania amepora uhuru wa mahakama, mahakama nayo imeridhia. Ni jambo la aibu kuwa DPP anamkamata mtu anamfungulia mashtaka yasiyo na dhamana kisha kila mshtakiwa akipelekwa mahakamani DPP anaiambia mahakama kuwa upelelezi haujakamilika. Aibu yako kubwa wewe DPP usiye hata na chembe ya...
Back
Top Bottom