tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Mei Mosi: Wafanyakazi wa Tanzania Tutafakari Kama Tunayosababu ya Kusherehekea

    Nakumbuka hata Rashid Kawawa alikuwa ni Secretary General wa Tanzania Federation of Labour wakati wa Ukoloni miaka ya mwisho mwisho kabla ya uhuru. Hata JK Nyerere alitumia platform ya Rashid Kawawa kwenye vyama vya wafanyakazi kuweza kuijenga TANU. Mkoloni alitambua haki za vyama vya...
  2. JamiiForums Tanzania Vifo vya watu mashuhuri Tanzania, chanzo ni huduma mbovu za afya

    Safari za nje ya nchi kufungwa tutegemee kupoteza watu mashuhuri wengi, kwani wengi wao walikuwa wakitegemea kliniki za nje ya nchi, sipati picha kama kipindi hichi Mbunge Tundu Lissu, angepata matatizo muda huu tungempoteza. Wangonjwa wa Pumu sasa wanakufa kwa kukosa msaada zamani akianguka...
  3. W

    JamiiForums Tanzania COVID19 Tanzania: Mambo ambayo Wizara ya Afya inapaswa kufanya

    Si jambo jipya tena, maambukizi ya corona Tanzania yapo kwa kasi kubwa sana kwenye jamii, pia tumeendelea kuona vifo vikiongezeka siku hadi siku. Tuna maswali mengi sana kama watanzania juu ya mikakati ya wizara ya Afya ya Tanzania kukabiliana na Tatizo la Corona. Je sekta ya Afya imejiandaa...
  4. JamiiForums Tanzania Kilio changu kwa DSTV Tanzania

    Mnajua fika nyie ni kampuni pendwa lakini mmekalia ukoloni na unyonyaji kwa Watanzania. Hivi kinachowafanya msiweke local chanels zote za Tanzania ni nini? Kama ITV, CLOUDS, STAR TV n.k mbona hazipo? Nimejaribu kuweka na redio za tanzania tena Nikiwa nimelipia dstv compact Hakuna Redio station...
  5. JamiiForums Tanzania Wataalam wetu wamefikia hatua gani kuhusu kinga ama tiba ya Corona?

    Wakati wataalamu na watabe katika kada ya afya kutoka mataifa mbalimbali duniani wakipambana kutafuta dawa ama kinga dhidi ya kirusi Corona, nataka kufahamu kuhusu hawa madaktari bingwa tena watabe kwelikweli kutoka Tanzania wao wamefikia hatua gani ya kiutafiti? Je, tutegemee lolote kutoka...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea huko nyumbani Tanzania, Nashawishika kuchuku uraia wa huku niliko kwa wazungu

    Pamoja na kwamba niko nje na Tanzania, nafuatilia sana taarifa muhimu zinazohusu nchi yangu, Kutokana na hili janga la corona na kwa jinsi linavyoshughulikiwa Sikuwahi kujua viongozi wa nchi yangu hawana uthamani kwa watu wao kwa kiasi ninachokisikia, BBC Swahili jana wamenifanya nifikiri...
  7. JamiiForums Tanzania COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametangaza Ongezeko la Wagonjwa Wapya wa Corona Nchini 196. Tanzania Bara Wagonjwa 174 na Zanzibar 22. Amesema kuwa visa vya maambukizi ya Virusi vya Corona nchini Tanzania vimeongezeka na kufikia 480. Vifo vingine 6 vya wagonjwa COVID-19 vimeongezeka na kufanya...
  8. JamiiForums Tanzania Hii hali ya corona Tanzania tumejifunza

    Hatuko huru kuchagua viongozi tunaowapenda. Mfano tu uchaguzi wa marudio wa Mbunge wa Kinondoni. Uchakachuaji ulikuwa dhahiri. Ilipelekea maandamano yaliyofanywa na raia kuonyesha jinsi ambavyo hawakubaliani na matokeo. Polisi walivamia maandamano yale na kifo cha Akwilina kilitokea...
  9. JamiiForums Tanzania Mazingira ya kazi kwa wanaharakati Tanzania ni magumu, HRW

    Mtandao wa watetezi wa haki za binaadamu nchini Tanzania umesema katika mwaka 2019, watetezi wa haki za binadamu nchini humo walifanya kazi za utetezi katika mazingira magumu zaidi. Kulingana na ripoti wa shirika la Human Rights Watch kuhusu hali ya haki za binadamu mwaka uliopita, miongoni...
  10. JamiiForums Tanzania Je, kama Taifa, ikigundulika kwamba ama tunaficha au tunatoa takwimu zisizo sahihi kuhusu janga la COVID-19, tunaweza kuwajibishwa kimataifa?

    Ziko taarifa kuwa upo uchunguzi unaoendelea kuhusu tuhuma kuwa China kwa makusudi ama ilizembea au ilizuia utoaji wa taarifa sahihi kuhusu chanzo na kuenea kwa coronavirus pamoja na idadi ya vifo vilivyotokana na janga hilo. Ikiwa tuhuma hii itathibitishwa, kuna uwezekano wa China kuchukuliwa...
  11. JamiiForums Tanzania Expressions of Interest – Technical Leads for Tanzania

    About the role Education Development Trust is inviting expressions of interest from experienced technical experts to join the implementation team of an anticipated six-year programme, Shule Bora, to improve quality, inclusivity, and safety of learning for all 11.5 million children in government...
  12. JamiiForums Tanzania Ukiona mpaka huyu Gwiji la Burudani nchini Tanzania analalamika hadi kutia Huruma hivi basi jua kwa wengine hali ni mbaya zaidi

    " Sasa hivi kumbi na baa zimefungwa hatupigi muziki kwa sababu ya Corona, nimewasaidia kuwalipa mshahara wanamuziki wangu kwa mwezi mmoja na mimi nimeishiwa nina wasanii zaidi ya 40, wengine wameuza simu ili wajikimu kimaisha " Asha Baraka, Mkurugenzi Bendi ya Twanga Pepeta. Mateso yote haya...
  13. JamiiForums Tanzania Face Masks (Barakoa) ziwe lazima kwa watu wote

    Nchini singapore ni kosa mtu kutoka bila kuvaa barakoa/ mask ! endapo hili litakiukwa mtu atalipishwa faini ya $300 na akirudia atalipishwa $1,000 Czech republic na slovakia ni nchi nyingine ambazo zimepitisha sheria ya kila mtu lazima avae barakoa ili kupambana na ugomnjwa huu wa COVID19...
  14. JamiiForums Tanzania Katika awamu zote za Utawala hapa Tanzania, Utawala upi kwako ni bora. Wa kwanza, pili, tatu, nne...

    Kwangu, orodha yangu napanga kama hivi: Wa kwanza: - Rais Ali Hassan Mwinyi. Huyu jamaa ni mwana sana, ndio maana bado anaishi hadi sasa sababu hakuwa na madhambi ya kijinga! Kwa mtazamo wangu huyu ndie aliyetoa nchi kwenye lock down ya kiuchumi. Wananchi walikuwa na mawe balaa enzi zake! Wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini IMF na Benki ya Dunia wameitenga Tanzania katika mgao wa fedha za Corona? Au ule utani kwamba sisi matajiri, wao wametuibia, uliwachukiza?

    Nashangaa,nchi zote zinazopakana na sisi zimepewa msaada wa haraka na benki ya dunia,IMF,na kuweka kidonda chumvi. Trump kaongea na marais wa nchi tunazopakana nazo na kuahidi misaada kedekede. Je ule utani wa kuwaita mabeberu wao walijua tunawachukia?sisi watanzania ni watu wa utani...
  16. JamiiForums Tanzania Kujiandaa kupeleka bidhaa nje, unahitaji kujua mambo haya

    Watu wengi wamekuwa wakisikia nje ya mipaka ya Tanzania kuna soko kubwa la bidhaa mbali mbali zinazozalishwa nchini Tanzania lakini hawajui nini cha kufanya ili kupata wanunuzi walio nje ya Tanzania na ni hatua gani zinatakiwa kufatwa ili kuweza kuuza bidhaa nje ya nchi. Kujiandaa kupeleka...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

    Nauliza hili swali sababu kama wananchi tunataka kufahamu ukweli juu ya hili janga. Tunataka waziri wa afya, au msemaji mkuu wa serikali kila siku awe anatoa taarifa zilizo rasmi. Mbona nchi za wenzetu ambazo zimekumbwa na hili janga kila siku lazima watoe taarifa rasmi kuhusu...
  18. JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Mabohora Tanzania wamkabidhi RC Makonda vifaa vya kujikinga na Corona

    Jumuiya ya Dawoodi Bohora Tanzania leo imekabidhi vifaa mbalimbali vya kujikinga na corona vyenye thamani ya Shilingi Milioni 27 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda kwa lengo la kuwakinga wananchi wa Mkoa huo. Akipokea Vifaa hivyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa, Mganga Mkuu wa Mkoa...
  20. JamiiForums Tanzania Twitter siku hizi imevamiwa na 'wapwa' na 'mabloo', imekuwa ya hovyo sijawahi kuona

    Mimi niko kwenye mitandao ya kijamii kadhaa kkiwemo Twitter kwa muda mrefu kidogo. Hivyo kwa muda nilikua nikifurahia michango ya watanzania wenzangu ya kisomi kabisa Twitter na JF ila sasa Twitter imekua ya hovyo sijawahi kuona. Twitter ya sasa imevamiwa na makundi ya wavuta bangi wanajiita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…