Sera za Bima zina tija Tanzania?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Watu walikuwa wamekopa bank halafu biashara zao zimeanguka je wanaweza kulipiwa mikopo yao na bima?

Watu walikuwa na ajira na wakapoteza ajira kisa corona je kuna makampuni ya bima yana bima ya ajira Tanzania?

Je, bima zetu zinaendana na uhalisia tunaopitia kwenye nchi zinazoendelea au ni porojo za kukusanya pesa za watu?

Wajuzi wa sector ya bima waje wanambie je bima zetu za kibongo zina tija kama kwa wenzetu Ulaya na Marekani? Je kama hakuna nini kifanyike? Je, kama zinatija ni elimu kiasi gani utolewa kwa watu ili waweze kukata bima hizo?
 
Back
Top Bottom