Mapambano ya Corona: Amnesty International yasema Serikali ya Tanzania inaminya habari

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,796
71,214
Kwa nini serikali yetu kila siku inapenda iwe inakosolewa tuu kwa mambo ambayo inaweza kutumia weledi na kuepusha migongano na jumuia za kimataifa?
Nini kiini hiki cha jeuri hii?

--
Tanzanian authorities on 20 April suspended Talib Ussi Hamad, a journalist with the Tanzania Daima daily newspaper, for six months simply for reporting on COVID-19, the latest in a string of attacks on the right to freedom of expression, access to information and media freedom during the pandemic.

Talib Hamad’s suspension comes just days after the Mwananchi daily newspaper had its online license suspended after it posted a photo of President John Pombe Magufuli out shopping surrounded by a crowd of people, eliciting online discussion on the country’s approach to addressing COVID-19.

Access to information is an essential part of the fight against COVID-19, yet the Tanzanian government is choosing to censor journalists and media outlets who report on the disease.

“Access to information is an essential part of the fight against COVID-19, yet the Tanzanian government is choosing to censor journalists and media outlets who report on the disease. These recent reprisals are clearly politically motivated - the Tanzanian government’s sensitivity to criticism is costing journalists their rights and livelihoods,” said Deprose Muchena, Amnesty International’s Director for East and Southern Africa.

In recent years Tanzania has increasingly used repressive laws to silence and punish journalists for doing their jobs. We are calling on the authorities to end this crackdown on media freedom and stop using the law as a tool of censorship and repression.

These recent reprisals are clearly politically motivated - the Tanzanian government’s sensitivity to criticism is costing journalists their rights and livelihoods.

The authorities cited provisions of the restrictive Media Services Act in issuing both suspensions. Talib Hamad was suspended for allegedly reporting about a COVID-19 patient without the patient’s consent. Mwananchi newspaper was suspended and fined five million Tanzanian shillings (about USD 2200) for publishing a photo of the president buying fish in his home village of Chato, in northwestern Tanzania, on 13 April, apparently breaching global social distancing guidelines. Authorities said the photo was not recent.

Three other media organizations - Star Media Tanzania Ltd, Multichoice Tanzania Ltd and Azam Digital Broadcast Ltd – were on 2 April each fined the same amount and ordered to apologize for “transmission of false and misleading information” on the country’s approach to managing COVID-19.

The authorities must immediately lift the suspension of the journalist and the media house. They must not be penalized or sanctioned for doing their job.

“The authorities must immediately lift the suspension of the journalist and the media house. They must not be penalized or sanctioned for doing their job,” said Deprose Muchena.

The media plays a crucial role in informing the public about the factual situation and measures taken by governments in response to COVID-19. Its capacity to operate freely should not be unduly restricted.

Some of the laws that have been used in recent years to stifle the right to freedom of expression, access to information and media freedom and silence critical voices are the Media Services Act, the Electronic and Postal Communications (Digital and Other Broadcasting Networks and Services) Regulations, Electronic and Postal Communications (Radio and Television Content) Regulations, and Electronic and Postal Communications (Online Content) Regulations.

Source: Tanzania suspends journalist and media house for reporting on COVID-19
 
Wasome Uhuru hapa, Hongera sana Tanzania kwa kudhibiti Corona. Hongera sana

IMG-20200421-WA0031.jpg
 
Hii inatufanya nchi yetu iwe sidelined na jamii ya kimataifa. Sijui kwa nini tunakumbatia primitivity badala ya kutafuta ustaarabu. Dunia ilikwishaondoka kwenye ujinga huu wa kuminya mawazo ya watu.

Kuwazuia watu kufikiri na kunena kunadumaza akili za watu. Angalia mataifa kama China ambayo yanaminya uhuru na fikra za watu. Hakuna ugunduzi unaofanyika China zaidi ya ku-copy kwa kununua teknolojia au kuiba.
 
Kwenye swala la Corona, nasimama na Tanzania, Washenzi Tu hao, wameshindwa kuwakoromea waliotengeneza virusi halafu wanakuja kuanza kuropokea nchi ambazo tatizo limezikuta.

Kwa hiyo wao wametengeneza virusi ili waje kuona ni wapi hawatoi tarifa sahihi siyo? Shenzi kabisa hii mizungu.

Naanza rasimi kuwachukia hawa ngozi nyeupe, China kule kuna waafrica wananyanyapaliwa hawalioni hili.

Corona Kula vichwa hivyo!!

Pambafu kabisa, sja mquote mtu yeyote, mawazo ya kila mtu yaheshimiwe tafadhari, na huu ndio Uhuru wenyewe
 
Chakaza,
Vipi kuhusu yule captain wa Aircraft carrier -aliyesimamishwa kazi kuhusiana na. taarifa yake ya wanamaji wake wapatao 100 wenye virusi...je USA imeshutumiwa pia na Hawa AI?
 
Umaskini ndio chanzo cha kila kitu, ukiwa mwanaume ukaoa mwanamke mwenye pawer ya Fedha, unaweza ambiwa simamisha Kwanza Gari niingie gesti nikadai pesa yangu, kunajamaa juzi aliondoka na pesa yangu kaniahidi tukutane leo anilipe, maana tulifanya naye biashara,na wewe usiulize chochote hata kama unahaki ya kuuliza, lakini ukifikiria uwezo wako unajiinamia tu moyoni ukisema yatakwisha Tu, maana unajua ukifanya nyoko, ya vocha hupati,

Hivyo, kuna mambo mengi Sana hasa nchi hizo zetu weusi huwa tunaonewa Sana, sababu ya mkate, Haiingii akirini, Ripoti zote za maongezeko ya maambukizi na vifo duniani, vinatolewa na serikali husika, Sio mwingine yeyote, takwimu zote utazikuta kwenye taarifa za serikali na si ambavyo Amnesty international wanavyotaka kulazimisha
 
Back
Top Bottom