Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) lawataka viongozi wake kujiweka kando na Siasa

M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,203
23,020
Hawa sasa ndiyo viongozi wa kiroho wa ukweli na wanaojitambua na kujua nafasi yao katika Taifa, siyo kama wale wengine wajasiriadini na wasaka tonge.

Kongole kwenu KKKT chini ya Baba Askofu Fredrick Shoo.

Natamani sana kanisa langu RC waje na tamko zito kama hili au zaidi ya hapa.

 
Malasusa, Shoo na Bagonza huwezi kuwatenganisha na siasa. Labda kwa kuwa nwaka huu hakuna Mgombea Urais mwenye Mvuto ambaye anasali KKKT.

Ikumbukwe kuwa Wagombea wetu watatu wa vyama vyenye ushindani Mkubwa, wote ni wakatoliki Safi. Nashaur na viongoz wetu wa Katoliki, wafuate nyayo za KKKT ili wasionekane kumuunga mkono muumini mmoja na kumtenga mwingine.
 
Malasusa, Shoo na Bagonza huwezi kuwatenganisha na siasa. Labda kwa kuwa nwaka huu hakuna Mgombea Urais mwenye Mvuto ambaye anasali KKKT. Ikumbukwe kuwa Wagombea wetu watatu wa vyama vyenye ushindani Mkubwa, wote ni wakatoliki Safi. Nashaur na viongoz wetu wa Katoliki, wafuate nyayo za KKKT ili wasionekane kumuunga mkono muumini mmoja na kumtenga mwingine.
Kamanda show

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
Wamepaona wamefanya vizuri Sana kutoa hiyo tahadhari ,maana wachumia dini hawachelewi kuunga mkono juhudi.
 
Wewe huwajui Walutheri, wakati wa Mrema 2005 kabisa lilimuunga mkono hadharani mchana kweupe .. Jana hapa 2015 wakati wa Lowassa walimujnga mkono Lowassa mluteri mwenzao Kama ilipokuwa kwa Mrema.

JPM, LISSU MEMBE, LIPUMBA hakuna mlutheri hawana mtu wao
 
Kwani wao kwenye ile kampeni ya Jpm na viongozi wa dini juzi hawakwenda? Hawaogopi viongozi wao kuambiwa wakathibitishe uraia wao?
 
makanisa yote yanayoweza futwa na msajili kwa maagizo na yenye usajili wa wino wa pencil ni lazima yaunge juhudi ili yaendelee kuwepo
 
Kamanda Shoo kwa hiyo saivi amewatosa CDM, Shoo ni kiongozi wa dini mbinafsi, mnafiki, mbaguzi na ana roho mbaya, ndio maana sura lake linafanana na roho yake.
 
Wewe huwajui Walutheri, wakati wa Mrema 2005 kabisa lilimuunga mkono hadharani mchana kweupe .. Jana hapa 2015 wakati wa Lowassa walimujnga mkono Lowassa mluteri mwenzao Kama ilipokuwa kwa Mrema..
JPM, LISSU MEMBE, LIPUMBA hakuna mlutheri hawana mtu wao
tamko la mwaka huu kuwa hawataki kujihusisha na siasa ndilo lipo valid kwa sasa!
 
Hawa sasa ndiyo viongozi wa kiroho wa ukweli na wanaojitambua na kujua nafasi yao katika taifa, siyo kama wale wengine wajasiriadini na wasaka tonge.

Kongole kwenu KKKT chini ya Baba Askofu Fredrick Shoo.

Natamani sana kanisa langu RC waje na tamko zito kama hili au zaidi ya hapa.

Acheni kuhadaa watu

KKKT hii ni 95% Chadema wazi wazi,hayo maneno yalitoka kujikosha au kukosa cha kusema

KKKT inaasisiwa na watu wa kaskazini,vivyo hivyo Chadema ni ya huko na ndiyo maana taswira ya wazi bila kujificha huonekana tu
 
Back
Top Bottom