Tutafikishaje Miss Tanzania Miss World2020 nakuchukua Taji la Dunia (Steps to do)

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
Naitwa Don Nalimison, Mwanamziki na Mtetezi wa Haki za Binadamu na Mshauri wa Mambo ya Kiusalama Duniani.

MBINU AMBAZO MISS TANZANIA ANAWEZA KUSHINDA TAJI LA MISS WORLD 2020.

1.Warembo wote wanapaswa kuangalia clip video za Missworld top 10 na kuona Nancy Sumari kwanini alifika namba 10 Miss World wakati wake

2.Warembo wote wanapaswa kuangalia Clip video za Missworld2016 namba3 Miss Njambi kutoka Kenya, alifanya njia zipi mpaka akafika top3

3.Warembo wote wanapaswa kuangalia MBINU AMBAZO zilimsababisha Miss world2019 KUSHINDA TAJI LA Dunia.

4.Warembo wote wanapaswa kuangalia clip video mashindano ya miaka mitatu ya miss World zilizopita ili kujifunza madhaifu ya wengine.

5.Warembo wote wanapaswa kuondoa nidhamu ya uoga kipindi chore Cha Pageant ili kufanya vizuri zaidi.

6.Kamati isiangalie upendeleo au agizo la Kiongozi fulani kutaka apitishwe mrembo fulani kwa masilahi yao Bali apitishwe anayestahili ili kuwakilisha Taifa.

7.Miss Universe waaangaliwe vizuri Sana maana Wana nafasi kubwa ya kufanya vizuri kutokana na interaction ya vyuo na Wana vyuo ambapo huwa wanapata ubunifu kutokana na Wasomi wenye weledi.

8.Kufunga na kuomba kabla ya mashindano ni Jambo zuri Sana maana wazungu na wafilipino wao huwa Wana fanya Fast and Prayer kwa siku tatu ili kupata mvuto kwa Majani na Mashabiki. Japo ni Jambo la kiroho.

9.Warembo hawatakiwi kujidharau au hawatakiwi kuogopa kuchekwa Bali kuwa wakakamavu.

10. Warembo wote wanatakiwa kuachana na Mambo ya mahusiano ya mapenzi kipindi hiki Cha Pageant ili kulinda miili yao iwe Safi na yenye Baraka, ku fall in love Mara kwa Mara kipindi Cha mashindano kunachafua hekalu(mwili) kumbuka kuwa mwili unatakasika pale unapokuwa hajaguswa na inakuwa rahisi KUSHINDA. Najua taama ya kimahaba inasumbua wengi.

11. Warembo wasitoe namba zao za mawasiliano hivyo mpaka mashindano yaishe maana Kuna wengine wanaweza kuwa frustrate/stressed kwa Mambo ya kijinga au kukatisha tamaa.

12.Kila mrembo awe hiari na pia apate kibali Cha wazazi ili iwe rahisi kukubalika kwa jamii maana Kama wazazi wanapinga na kibali kinapotea.

13.Warembo watiwe Moyo hata pasipiwezekana ili wawe majasiri.

14. Warembo watafutiwe exposure hasa wale top ten ili wawe na matumaini kwa maisha yao kwani tumeona Baadhi ya Warembo wakikosa mataji na maisha yao yanagoma.

15.Wadhamini wawape kipa umbele Warembo ikiwemo kuongea na washiriki ili kuwapa matumaini.

Kwa Leo naomba kuishia hapa. DON Nalimison nipo Dodoma kesho natarajia kuwa hapo mjini Dar Kama tapata nafasi tawaona hata kwa kubadilishana mawazo ana kwa ana. Nawatumia track yangu moja kwa mazoezi "Congratulation"

Kutoka Account ya FB:

"Mshindi wa mwaka 2020 atakuwa vizuri zaidi na huenda akafanya vizuri zaidi kuliko miaka yote Kama KAMATI itajipanga vizuri. Mara nyingi tunaanguka Miss World kwa changamoto ambazo hatutaki kuzirekebisha kutokana na Wivu na Ujinga wa kimazingira yaani Ushamba. Don Nalimison nawatakia safari njema Warembo wote 2020, msisahau kunichumbia maana Niko Lonely by Fact."

DON NALIMISON
O'CLOCK MUSIC PRESS
+255 682 94 29 01.
E-mail: donnalimison70@gmail.com
Screenshot_20200819-113452.png
 
Tz tunawarembo ni hatari ila wanaoshinda siku hizi hata hawaeleweki kabisa. Sijuii wanahonga nini kwa majudge
 
Back
Top Bottom