tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

    Salaam Mkuu, leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam. Tundu Lissu ndiye anayepeperusha bendera ya Chadema kwenye nafasi ya urais na Salumu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Msaki anayemiliki mjengo wa Kibo Complex anaweza akawa kwenye top 10 ya matajiri weusi Tanzania

    Ule mjengo wa Kibo Complex dooh si mchezo, shule ya Wazo Hill, wakala wa cement etc nahisi jamaa biashara zake zinaingiza hata bilioni 1 kwa mwezi hata kama kajenga kwa kuchukua mkopo benki, jamaa ana mafanikio sana. Halafu nasikia alipataga Div. 0 Form Six, maisha haya.
  3. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya benki ya Dunia inaonesha Zimbabwe ina nafasi nzuri kwa mazingira ya uwekezaji kuliko Tanzania

  4. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nasimama na Dkt. John Pombe Magufuli, Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM

    Nilitabiri humu na ikawa kweli kuwa Wagombea wakuu wa uchaguzi mkuu wa Rais mwaka huu ni Wakili Msomi mwenzangu Tundu Lissu (Upinzani/CHADEMA) na Dr. John Pombe Magufuli (CCM). Ni katika andiko langu hili: Uchaguzi 2020 - Utabiri wangu 2020: Ni Dr. John Pombe Magufuli (CCM) na Wakili Msomi Tundu...
  5. Mbasembase1970

    JamiiForums Tanzania Kwa vijana wa leo ijue historia ya vyama vingi awamu ya pili baada ya uhuru

    Ni vizuri kwa vijana ambao hawakuwepo mwaka 1991 wakati wa kongamano la mageuzi Diamond Jubilee wakasoma hii habari na kugundua kwanini upinzani hauna nguvu kwa Tanzania ukilinganisha na nchi nyingine. Kama tulisambaratika baada ya miezi tu je tutafika kweli tulikodhamiria kufika pale...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama tu Trump na Biden wameshaanza 'Kushutumiana' Mmoja anatumia 'Unga' nina uhakika huku Tanzania 'Bange' zitaonekana 'Vichwani' mwa Wagombea Urais

    Rais wa Marekani Donald Trump atoa pendekezo la yeye na mpinzani wake wa Democratic Joe Biden wote wafanyiwe vipimo vya uchunguzi kama wanatumia dawa kabla ya mjadala wao mwezi ujao, akidai amegundua mabadiliko makubwa ya Biden katika kujieleza kwenye mijadala. ITV Tanzania Kipaumbele changu...
  7. IAfrika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vita vya GDP Afrika Mashariki ni Kati ya Kenya, Ethiopia na Tanzania tangu 1980. Nafasi ya kwanza inaeza nyakuliwa na nchi hizi tatu

    Mabadiliko haya ya kiuchumi yakitazamwa na mabadiliko ya kihistoria na uongozi yanaweza kutuonyesha ni kitu gani kinaweza kusababisha uchumi kuimarika au kusambaratika.
  8. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Mpaka Mwalimu Nyerere anaondoka madarakani, uchumi wa Tanzania ulikuwa ni mkubwa kuliko wa Kenya. Marais waliomfuatia walikwama wapi?

    Kuna shida mahali. Pamoja na watu kumnanga (very incorrectly and unfairly) Mwalimu Nyerere (RIP mzee wetu) kuhusu sera zake za uchumi, inaonekana dhahiri kuwa alikuwa akifanya vizuri zaidi kiuchumi kwa kuchukulia nchi ya Kenya kama benchmark. Nimeichukulia Kenya kama benchmark kwa vile ndiye...
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vyombo vya Habari vya Tanzania vimeshindwa kuandika na kuripoti pingamizi, badala yake wameripoti matokeo ya pingamizi

    Media zetu zina kazi kubwa sana safari hii, wakati mapingamizi yaliyowekwa na wakasomewa content na context ya hayo mapingamizi walirekodi na wakawa wanafurahi jinsi hoja zilivyopangwa Baada ya kurekodi na kuandika, hakuna chombo chochote kilichoripoti Kama habari kubwa kuwa Lipumba na Mzee...
  10. Walnut Creek

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna Bodi ya Kusimamia Hospitali?

    Wadau, ningeomba kupata jibu kama Tanzania kama Regulatory Board ya Hospitali zetu. Nimegundua hospitali nyingi nchini zinatoa huduma chini ya viwango na kama wananchi tunahitaji bodi ya kupeleka malalamiko. Na hiyo bodi iwe pro active kuhakikisha hizi hospitali zinatoa huduma nzuri kwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mwakasaka Boaz: Takataka zinaweza kuleta Maendeleo makubwa nchini Tanzania

    Mwakasaka Boaz ni Msomi na Mtaalamu wa masuala ya Uchumi na maendeleo ya kijamii, Nishati Mbadala na Mtafiti wa kujitegemea Anajua kwamba katika dunia hii sababu kubwa na kikwazo kikubwa cha maendeleo ya kiuchumi na kijamii ni kushindwa kufikiri kwa ufasaha (Accurate Thinking). Leo Tuangazie...
  12. BAK

    JamiiForums Tanzania Mandatory quarantine for tourist returning from Tanzania hurting tourism

    Mandatory quarantine for tourist returning from Tanzania hurting tourism The Citizen Wednesday August 26 2020 In Summary Whereas Tanzania has lifted restrictions on tourists, in some countries tourists returning from Tanzania are required to undergo a mandatory 14-day quarantine in...
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania COVID-19 yaendelea kuleta kizaazaa: Tanzania yazuia kampuni tatu nyingine za ndege kutoka Kenya kutua nchini

    Mgogoro wa majirani unazidi kupamba moto, Covid19 inaendelea kudhihirisha nyufa nyingi zilizokuwepo kwenye ukuta wetu. Leo mamlaka ya anga imeshusha rungu jingine Kenya kwa kuzuia kampuni tatu zaidi baada ya Kenya Airways ya awali. ======== Kampuni tatu zaidi za ndege kutoka Kenya zimezuiwa...
  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matumizi ya Bandari ya Kisumu yaongezeka kwa 62% shukrani DRC, Uganda, Tanzania, Rwanda n.k.

    Huu ndio mwendo wenyewe, pale ziwa Victoria mambo yanazidi kunoga, Kenya inapepea kwenye pembe zote za nchi. Kisumu port on August 13,2019. FILE PHOTO | NMG The refurbished Port of Kisumu handled 62 per cent more cargo in 2019 due to improved efficiency and a surge in trade, new statistics...
  15. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya kidijitali inavyoweza kuboresha Elimu Tanzania

    Wiki hii serikali imetangaza mpango wa kutekeleza mkakati mpya unaolenga kuboresha elimu ya sekondari nchini Tanzania. Akizungumza katika mkutano wa wadau wa elimu jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo alieleza dhamira ya serikali wa...
  16. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni miongoni mwa nchi 6 za mwanzo kutoka Afrika Raia wake kuruhusiwa kuingia China kuanzia Septemba

    Kiambatanisho hapo chini kinajieleza. Sijui ndugu zetu Kenya, Uganda na Rwanda watasemaje sasa. Maana wamekuwa wanatunanga sana sisi na Burundi, Burundi nao wamo. Picha iliyotolewa hapa ni kwamba kuiga western countries kwa kila kitu sio dili tena kwa sasa. Wale waliosema Tanzania itatengwa...
  17. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Pigia kura vivutio vya utalii Tanzania, ili kuongeza idadi ya watalii

    Onyesha uzalendo pigia vivutio mbalimbali vya utalii vya Tanzania kwenye link hiyo hapo chini tusaidie kuvutia watalii nchini kwetu. Ni rahisi tu. Wakenya huwa wanatupiga bado eneo hili. Tupende vyetu. Vote – World Travel Awards
  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Job Opportunities at Medical Teams International Tanzania

    1. OFFICE ASSISTANT (1) POSITION Medical Teams International Tanzania Department Operations Reports to Snr Human Resources Technical: NA Location DAR ES SALAAM Work Days & Hours Monday-Friday, 40-48 hours/week Supervises Direct: NA Technical: NA MTI Calling Daring to love like Jesus, we boldly...
  19. Informer

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tanzania: The National Elections Regulations(2020) - Mambo muhimu ya kuzingatia

    Tuangalie kwa karibu vipengele vya kuzingatia: Kwanza, kwa wote wanaojaribu kutoa elimu kwa wapiga kura waelewe kuna kifungu hiki 4.-(1) A person shall not provide voters’ education without prior approval of the Commission (2) Any person who intends to conduct voters’ education using material...
  20. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania: Ruling party plans to lock out opposition candidates as they did in local elections

    The country’s main opposition party CHADEMA’s candidate, Tundu Lissu, and other opposition leaders have repeatedly claimed that there’s a likelihood that they’ll be blocked from running in this year’s general elections in October. “The biggest date now is August 25th and 26th when we submit our...
Back
Top Bottom