Tanzania kuna Bodi ya Kusimamia Hospitali?

Tanzania kuna Bodi ya Kusimamia Hospitali?

Walnut Creek

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Posts
5,812
Reaction score
6,327
Wadau, ningeomba kupata jibu kama Tanzania kama Regulatory Board ya Hospitali zetu. Nimegundua hospitali nyingi nchini zinatoa huduma chini ya viwango na kama wananchi tunahitaji bodi ya kupeleka malalamiko.

Na hiyo bodi iwe pro active kuhakikisha hizi hospitali zinatoa huduma nzuri kwa wagonjwa bila kulimbiliza bills na kuhakikisha wanachukua wagonjwa wenye uwezo wa kuwahudumia badala ya kucheza na maisha ya watu.

Nawasilisha.
 
Nafahamu ipo ya private inaitwa phab sijui kama ipo pia kwa ajili ya hospital za serikali
 
Huduma chini ya kiwango, ukilinganisha na wapi mlamu!
 
Hospitali kubwa karibia zote zina Board.

Kitu pekee nnachoweza kukwambia mkuu ni kuwa achana na pesa kwa mwafrika.

Akishajiona ameshiba hatoweza kukujali wewe wala mzazi wako mkiwa mnahangaika kunusuru afya zenu.

Narudia tena, mwafrika akisharidhika anakuwa ni kama mnyama.
 
Back
Top Bottom