kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Mbatia alienda ikulu akatoka na ahadi ya wabunge 20 akapita mikoa miwili mitatu kuvuna Wanachama wa Chadema na ACT Wazalendo, mara paap Lissu karejea nchini kaaribu mpango mzima.
Waliomtuma Mbatia wakajitafakari wakaona kazi si ndogo na wao tu inawashinda, wakapiga chini Mbatia bila hata pesa ya mafuta ya kampeni. Leo hata kutoka hadharani na mama Tanzania hatoki amebaki ndani.
Wale wanachama aliovuna Mbeya na Mara sijui hata kama wanakumbuka mama Tanzania.
Ukiwa msaliti kubali kusalitiwa, amwone Lipumba alivyoachwa solemba. Kila mtu ashinde mechi yake, ukiwekeza kwa wananchi utavuna kura ila ukiwekeza kwa watawala utavuna kutawaliwa.