Tanzania has the lowest IQ in East Africa

Teargass

JF-Expert Member
Apr 23, 2018
19,160
15,428
The recent statistics released by World Population Review has placed Tanzania as the country with the lowest IQ in East Africa. Position one was handled by Uganda which had an average IQ of 84, Kenya followed it closely with an IQ of 80 while Tanzania had an IQ of 72.

IQ which is a shortened term for intelligence quotient is a measure of human intelligence. A high IQ indicates that a person is intelligent. A low IQ indicates that a person is of lower intelligence and that person can usually be identified by how they approach discussions or arguments.

An IQ score refers to a value that measures intelligence levels. Shorthand for intelligence quotient, IQ scores typically reflect the quality of education in certain parts of the world, as well as the accessibility and resources available to people in those geographic regions. When looking at the average IQ scores of each country, you will notice that areas of the world with lower IQ scores are less developed and poorer than countries with higher IQ scores.

The IQ map shown shades each country depending on the how high the average IQ score is. A higher IQ score is indicated by a darker shade of violet.

There is a range of average IQ scores across the globe. All of the countries have been divided into ranked categories based on their average IQ scores. The lowest IQ on average in the world is 59, while the highest is 108.

The country with the lowest IQ score, on average, is the Equatorial Guinea in Africa. Those who reside in The Equatorial Guinea have an average IQ of 59, which is 49 points lower than the average IQ of Singapore and Hong Kong.

IQ testing takes place around the world, and this data has been compiled to rank the most intelligent nations based solely on IQ. According to the most recent data, Singapore and Hong Kong have the the highest IQ scores in 2019 of 108. South Korea has the second-highest IQ score of 106, followed by Japan and China with an average of 105.

However, it’s important to remember that IQ isn’t the only measure of intelligence. Nations can also be ranked based on factors such as school test rankings or the number of Nobel Prizes won throughout the years. For example, Singapore has the highest IQ but is not considered the smartest nation in the world. That honor goes to Japan, which is ranked more highly in school test rankings and the number of past Nobel Prizes awarded
 
IMG_20200901_023303_548.JPG
 
Your research lacks both merits and facts.

Dig a bit deeper to recognize who are the so called Lb7 from the rest of the Tanzanians?

All of the shit you see in social media emanating from this side is accredited to them.

They receive no support nor recognition from the elite!
 
Hii huwa hata hainishangazi, mara nyingi huwa nasema haiwezekani ukapewa vyote, aidha upewe raslimali ila unyimwe ubongo au ubarikiwe uwezo wa kutumia akili lakini unyimwe raslimali.

Watanzania wamepewa raslimali nyingi lakini huu utafiti unadhihirisha walinyimwa IQ na ndio maana wao ni maskini kwa kipindi kirefu licha ya kuwa na kila kitu.

Huwa wamejenga uadui na Wakenya kwa ajili ya wivu lakini ukweli ni kwamba sio sisi tuliwanyima ubongo.
 
Usi generalize. Tanzania ni nchi kubwa yenye watu 60m +.

Kelele za vyura zisikufanye ku 'jump' kwenye 'such a conclusion, so prematurely.'
 
Usi generalize. Tanzania ni nchi kubwa yenye watu 60m +.

Kelele za vyura zisikufanye ku 'jump' kwenye 'such a conclusion, so prematurely.'

Huu ni utafiti wa kisayansi...haujawahi kukosea.
 
Hautoki kwa Mungu huo sheikh.

Hata dunia ilizaniwa kuwa ni 'flat' kama meza hapo awali. Kumbe ni mviringo kama tufe.

Wonders (including of discovery) shall never end.

Sema kuna kaukweli, wewe waza nchi kama Tanzania yenye raslimali za kila aina, madini ya kumwaga, ardhi kubwa yenye rotuba kila sehemu, vivutio bora vya utalii kuzidi mataifa yote Afrika, maziwa, gesi ya kumwaga na kila ktiu lakini bado mnatajwa maskini wa kutupwa. Yaani kuna mataifa yanatoka kwa kutumia tu mojawapo wa hizo raslimali.

Hupewi vyote....uchague kimoja kati ya raslimali na akili.
 
Nchi yetu ni ya maziwa na asali, hatuitaji IQ nyingi ili tu survive. Tumeishinda corona kwa application ya IQ zetu ndogo na maisha yanaendelea. Kwa IQ zetu ndogo tumeleta social justice kwa kiasi kwamba karibu kila mtanzania ni land owner na sehemu kubwa ya private sector inamilikiwa na wazawa. Tumekataa kutumia lugha za wakoloni na kukataa tamaduni zao. Wenye iQ kubwa wamejifungia ndani wanaogopa corona huku sehemu kubwa ya jamii yao ikiwa haimiliki ardhi (wanaishi Kibera) huku ardhi yote ikimilikiwa na Malkia Elizabeth na vibaraka wake na wao wakiwa watumishi na wapiga mapambio wa mabeberu (foreign investors). Taifa lao linatumia lugha ya wakoloni huku wananchi wao wakijinasibu kwa kufuata tamaduni za colonial masters. Kibaya zaidi wanaaminishwa kwa tafiti za uchochoroni kwamba wao wana IQ kubwa zaidi ili wazidi kuwa submissive to their colonial masters. Africa bado tuna safari ndefu, upumbavu ni kipaji
 
Sema kuna kaukweli, wewe waza nchi kama Tanzania yenye raslimali za kila aina, madini ya kumwaga, ardhi kubwa yenye rotuba kila sehemu, vivutio bora vya utalii kuzidi mataifa yote Afrika, maziwa, gesi ya kumwaga na kila ktiu lakini bado mnatajwa maskini wa kutupwa. Yaani kuna mataifa yanatoka kwa kutumia tu mojawapo wa hizo raslimali.

Hupewi vyote....uchague kimoja kati ya raslimali na akili.

Pana bandiko comment #5 sijui kama uliliona pale. Mengine nilikuandikia wewe moja kwa moja haiyumkiniki hujaruka mahali na umeona kimoja kimoja, vyote kabisa katika nilivyoandika kwenye uzi huu.

Ni muhimu kutambua nchi hii imetoka mbali na bado haijafika mwisho. Kutokea hapo tu, suala unalongelea la kuchagua sijui kimoja linakuwa halipo kabisa yaani "immediately it becomes null and void."

Sina hakika na philosophy ya Kenya kama taifa. Ila labda nikudokeze ya Tanzania ilivyo.

Kitanzania tunaamini maendeleo yanategemea vitu vinne: Watu, Ardhi, Siasa safi na uongozi bora. Hakuna kitu kama chagua moja kati ya mawili kama unavyojaribu ku "beat around the bush."

Nini kifanyike sasa au lini, kinafahamika na si kutokea leo.

Pamoja na kuvijua vyote hivi kwa watanzania "utu kwanza" ni priority kabla ya mali. "This explains the peace and tranquility you see around."

Kitanzania umimi kwanza hauna nafasi. Ndiyo maana ilikuwa muhimu kutumia muda na raslimali zetu nyingi kuona ndugu zetu waafrika wenzetu waliokuwa bado wako chini ya wakoloni wanakuwa huru na salama.

Uliza Mozambique, Zimbabwe, Namibia, Africa Kusini, na wengi wengine ambako watanzania wenzetu wamekufa wakiwapigania.

Tanzania haiendekezi faida ya mali peke yake. Bali hata ile salama ya ndugu zetu wakiwamo wakenya, waganda, wacongo, warundi, wanyarwanda nk. ni muhimu kwetu kama binadamu. Hii ni hata kama "some ignorant fools somewhere may not have even the courtesy to say thank you."

Umenisoma mkuu?
 
Sema kuna kaukweli, wewe waza nchi kama Tanzania yenye raslimali za kila aina, madini ya kumwaga, ardhi kubwa yenye rotuba kila sehemu, vivutio bora vya utalii kuzidi mataifa yote Afrika, maziwa, gesi ya kumwaga na kila ktiu lakini bado mnatajwa maskini wa kutupwa. Yaani kuna mataifa yanatoka kwa kutumia tu mojawapo wa hizo raslimali.

Hupewi vyote....uchague kimoja kati ya raslimali na akili.
Rasilimali ni zetu, nchi ni yetu, kama hatuna uwezo wa kuzitumia kwasasa, watazitumia watoto na wajukuu zetu, hatuna haraka. Mdogo mdogo mtaelewa tu kwamba sisi ndiyo Super power
 
Nchi yetu ni ya maziwa na asali, hatuitaji IQ nyingi ili tu survive. Tumeishinda corona kwa application ya IQ zetu ndogo na maisha yanaendelea. Kwa IQ zetu ndogo tumeleta social justice kwa kiasi kwamba karibu kila mtanzania ni land owner na sehemu kubwa ya private sector inamilikiwa na wazawa. Tumekataa kutumia lugha za wakoloni na kukataa tamaduni zao. Wenye iQ kubwa wamejifungia ndani wanaogopa corona huku sehemu kubwa ya jamii yao ikiwa haimiliki ardhi (wanaishi Kibera) huku ardhi yote ikimilikiwa na Malkia Elizabeth na vibaraka wao na wao wakiwa watumishi na wapiga mapambio wa mabeberu (foreign investors). Taifa lao linatumia lugha ya wakoloni huku wananchi wao wakijinasibu kwa kufuata tamaduni za colonial masters. Kibaya zaidi wanaaminishwa kwa tafiti za uchochoroni kwamba wao wana IQ kubwa zaidi ili wazidi kuwa submissive to their colonial masters. Africa bado tuna safari ndefu, upumbavu ni kipaji
Si wanaaminishwa ivyo na mkoloni wao ili waendelee kujiona ni smarter.
 
Pana bandiko comment #5 sijui kama uliliona pale. Mengine nilikuandikia wewe moja kwa moja haiyumkiniki hujaruka mahali na umeona kimoja kimoja, vyote kabisa katika nilivyoandika kwenye uzi huu.

Ni muhimu kutambua nchi hii imetoka mbali na bado haijafika mwisho. Kutokea hapo tu, suala unalongelea la kuchagua sijui kimoja linakuwa halipo kabisa yaani "immediately it becomes null and void."

Sina hakika na philosophy ya Kenya kama taifa. Ila labda nikudokeze ya Tanzania ilivyo.

Kitanzania tunaamini maendeleo yanategemea vitu vinne: Watu, Ardhi, Siasa safi na uongozi bora. Hakuna kitu kama chagua moja kati ya mawili kama unavyojaribu ku "beat around the bush."

Nini kifanyike sasa au lini, inafahamika na si kutokea leo.

Pamoja na kuvijua vyote hivi kwa watanzania "utu kwanza" ni priority kabla ya mali. "This explains the peace and tranquility you see around."

Kitanzania umimi kwanza hauna nafasi. Ndiyo maana ilikuwa muhimu kutumia muda na raslimali zetu nyingi kuona ndugu zetu waafrika wenzetu waliokuwa bado wako chini ya wakoloni wanakuwa huru na salama.

Uliza Mozambique, Zimbabwe, Namibia, Africa Kusini, na wengi wengine ambako watanzania wenzetu wamekufa wakiwapigania.

Tanzania haiendekezi faida ya mali peke yake. Bali hata ile salama ya ndugu zetu wakiwamo wakenya, waganda, wacongo, warundi, wanyarwanda nk. ni muhimu kwetu kama binadamu. Hii ni hata kama "some ignorant fools somewhere may not have even the courtesy to say thank you."

Umenisoma mkuu?
Huyo hawezi kukusoma, unatwanga maji kwa kinu.
 
Nchi yetu ni ya maziwa na asali, hatuitaji IQ nyingi ili tu survive. Tumeishinda corona kwa application ya IQ zetu ndogo na maisha yanaendelea. Kwa IQ zetu ndogo tumeleta social justice kwa kiasi kwamba karibu kila mtanzania ni land owner na sehemu kubwa ya private sector inamilikiwa na wazawa. Tumekataa kutumia lugha za wakoloni na kukataa tamaduni zao. Wenye iQ kubwa wamejifungia ndani wanaogopa corona huku sehemu kubwa ya jamii yao ikiwa haimiliki ardhi (wanaishi Kibera) huku ardhi yote ikimilikiwa na Malkia Elizabeth na vibaraka wao na wao wakiwa watumishi na wapiga mapambio wa mabeberu (foreign investors). Taifa lao linatumia lugha ya wakoloni huku wananchi wao wakijinasibu kwa kufuata tamaduni za colonial masters. Kibaya zaidi wanaaminishwa kwa tafiti za uchochoroni kwamba wao wana IQ kubwa zaidi ili wazidi kuwa submissive to their colonial masters. Africa bado tuna safari ndefu, upumbavu ni kipaji
Siku wakenya wakijitambua they have to struggle for their own future watakuwa washachelewa .

Akili za kunyenyekewa wazungu ona Sasa wanadharaulika

Leo nasikia kenyetta anakubali Kenya kuwa dampo la bidhaa za plastick za USA serious nyie watu wapumbavu tu
 
Najisikia aibu sana kuwekwa kundi moja na Kenya ikiwa Wakenya wenyewe wanashindwa hata kujua wapi wanaweza kutoa data badala ya kuishia kuokoteza kila kilichopo online!!

Mtoa mada ambae inaonesha ni Mkenya ambae hatimae anathibitisha kwamba Wakenya wana Low IQ possibly in realiity wapo below the average, ameshindwa hata kufuatilia links alizowekewa ili ku-verify alichoandika!!

Na endapo angetumia dakika chache tu, angefahamu kwamba actual data ni:-

Full IQ.png

Kiumbe huyu kutoka taifa ambalo inaelekea hata hiyo 72 hawastahili, ametumia data kutoka mtandao ambao ukiufanyia web analysis, unagundua tovuti yenyewe is just piece of trash, manake hata Alexa Ranking ya mtandao husika ni 1.02M kuonesha mtandao husika unafahamika na wamiliki tu labda na mademu zao!

Alexa.png

Na raia kutoka mataifa yenye raia waliojaa maarifa kichwani waliwahi kuufanyia review huo mtandao wa Brainstats ambao umetumika kama source na kiumbe kutoka nchi ambayo inaonesha its IQ Average is even lower that it's thought!

Review ya mtandao husika ni hii hapa chini:-

Review.png

Yaani trust ya hiyo source from 51 Reviews is ONLY 1.4/5 ambayo ni 28%!!!!!

Hivi nyie viumbe kutoka Kenya huwa mnafundishwa nini darasani ikiwa mnashindwa kufahamu hata vitu vidogo namna hii ambavyo wala havihitaji kwenda darasani kuvifahamu?!
 
Back
Top Bottom