tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    "Kuishi na Corona" kunavyopotoshwa Tanzania

    Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada. Itifaki yote imezingatiwa. Shirika la afya Ulimwenguni (WHO), limekuwa likitoa tathmini, mapendekezo na kauli mbalimbali likionya na kushauri kwenye jitihada za kukabiliana na ugonjwa huu hatari. Kwa bahati mbaya sana hapa nchini kwetu kumekuwa na...
  2. African Arguments on Tanzania: How long can its COVID-19 strategy hold? (by Evarist Chahali)

    With neighbours tightening their borders and internal criticism growing, President Magufuli’s government finds itself increasingly isolated. Before the coronavirus reached Tanzania, things were arguably going according to plan for President John Magufuli. Since taking office in November 2015...
  3. K

    Ubunge Tanzania ni ulaji tu hakuna faida kwa nchi

    Watanzania tunadanganya na wabunge kwa kujifanya kama vile wanatusaidia. Bunge kwa mfumo wa sasa ndiyo sehemu ya matumizi bila faida yeyote kwa taifa 1. Kwanza Budget ambazo wanatumia muda kujadili na kuchukua pesa nyingi serikali kwenye utekelezaji hawatumii pesa kama walivyopanga. Hivyo...
  4. W

    Tanzania First Country to Welcome all Tourists again with open arms, Visitors welcome without condition.

    Enjoy a normal holiday or vacation in Tanzania is now a presidential message and the message the Tanzania Tourism Board made their policy. Warnings and information about COVID-19 vanished from the official travel and tourism portal for Tanzania. Is Tanzania ready to welcome tourists from all...
  5. Udhibiti wa covid-19 waimarika tanzania

    Vijijini maisha hayajabidilika. Wanavijiji wameendelea na shughuli zao za kilimo, uvuvi na ufugaji. Mijini maisha mitaani na hata Uswahilini kwenye makazi ya watu wengi, mambo ni powaaa. Waliobashiri kutakuwepo na vifo vingi wanatamani na kuendelea kuomba iwe hivyo, ubashiri wao utimie...
  6. Nafasi za kazi Ubalozi wa Marekani Tanzania

    U.S. MISSION DAR ES SALAAM VACANCY ANNOUNCEMENT The U.S. Mission in Dar es Salaam is seeking eligible and qualified applicants for the positions below (Kusoma Maelzo Kamili, Click links ya Job Title Unayotaka Hapa Chini): READ MORE AND APPLY HERE! Position Title: Shipping Assistant (Internal...
  7. Njia ya kuwapa wanafunzi mitihani wakiwa nyumbani

    Kwa wadau wote wa elimu,mimi ni msimamizi ya taasisi ya elimu ya TANZANIA INTER-DEPENDENCE PRIMARY SCHOOLS EXAMINATION UNION Tumeweza kubuni mbinu ya kuwasaidia watoto kipindi hiki cha corona, ambyo sasa wanafunzi nchi nzima watafanya mitihani kupitia link za mfumo bila kutoa copy,halafu matokeo...
  8. Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

    Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Balozi Kazungu amezungumza na vyombo vya habari ili kuweka mambo sawa. Balozi kazungu amesema... Rais Kenyatta amenituma hapa, anasema Kenya haiiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu, sisi sio maadui, adui yetu ni corona, ndio maana alikuwa Rais wa kwanza...
  9. Tetesi: Kuna tetesi kwamba Kiwanda cha cement CIMERWA huko Rwanda hatarini kufungwa kwa kukosa makaa ya mawe kutoka nchini Tanzania

    Hali ni mbaya! Kiwanda hicho kipo Bugarama nchini Rwanda.Inasemekana mda si mrefu kitafungwa kwa kukosa malighafi ya makaa ya mawe ambayo kwalo huwa yanatoka upande wa Tz. Ikumbukwe leo ni takribani siku ya 18 mpaka baina ya Tanzania na Rwanda haufanyi kazi kwasababu ya madereva wa Tanzania...
  10. B

    Tanzania hakuna chama cha upinzani chenye sifa za kuwa chama cha upinzani

    ACT chama cha Zito, CUF chama Lipumba, CHADEMA chama cha Mbowe, NCCR chama cha Mbatia nk. sioni chama cha upinzani hata akichaguliwa rais anaweza kupigwa makofi na mwenyekiti au kufukuzwa chama. Mtazamo wangu baada ya uchaguzi 2020 kiongozi na mmiliki wa chama kimoja wapo aachie chama kiwe cha...
  11. M

    Masikini Tanzania yangu

    Asalaam!. Msingi mkubwa wa maendeleo katika Taifa ni siasa safi,,. Cha kusikitisha hapa kwetu hakuna,,, sio CHADEMA sio CCM wote wale wale tu wapiga dili wa the all time,,,hawa wengine wenye wabunge 2 ndo hata hawafai kuzungumziwa,,, watanzania tuendelee kuvumilia mabadiliko watayaona vitukuu...
  12. Rais Magufuli anatarajiwa kufunga Bunge Juni 19, 2020

    Spika wa Bunge Job Ndugai ametangaza mabadiliko ya ratiba ya shughuli za Bunge ambapo Bajeti Kuu ya Serikali itasomwa June 11, 2020 na shughuli za Bunge zitamalizika June 19, 2020 . "Tunamaliza shughuli za Bunge June 19,2020 ambapo panapo majaliwa Rais anaweza kuja kutufungia Bunge la 11...
  13. S

    Ninachoshindwa kuelewa ni kwamba Tanzania wanataka madereva wa Tanzania wasipimwe wanapoingia Kenya au hata wakiwa positive waingie?

    Hizi bifu na Kenya sasa naona kama ni utoto na nashangaa inafikia hata viongozi wetu wa ngazi ya mkoa wanahemuka na maamuzi bila kufikiria kumaliza mambo kidiplomasia. Hawa viongozi wanadhani wanamfurahisha Magufuli lakini ukweli ni kwamba wanamdhalilsha Magufuli na Tanzania kwa ujumla. Ona...
  14. Kenya na Tanzania sasa zimefika pabaya. Nani anatia ngumu? Leo madereva 51 kati ya 53 waliokutwa na Corona mpakani na Kenya ni watanzania!

    Hizi nchi kwa huu utawala hazitakuwa na mwisho mzuri. Ukiona hadi Raila analalamika basi shida ni lazima ipo kwa Rais wetu. Tumwambie ukweli. Kwa takwimu hizi za madereva 51 kati 53 waliokutwa na Corona kwenye mpaka kati ya Kenya na Tanzania kuwa watanzania basi ni lazima jambo lifanyike. Na...
  15. W

    Barua ya wazi kwa Uhuru Kenyatta: Ungetatua kwanza mgogoro na Wananchi wako si Tanzania

    Ndugu yangu Uhuru aka Kamwana, Kuna mambo umeyafanya ambayo yameleta ghadhabu wa wakenya sasa unataka kutupia lawama mataifa jirani kama ambavyo Trump anavyolaumu China kwa matatizo yake ya ndani. Ushauri wangu tulia jifunze kutatua matatizo wa wanakenya kwa kutumia mikakati ya kimagharibi...
  16. Pamoja na makubaliano ya awali, ngoma bado nzito! Madereva wa Tanzania wamegoma kupeleka mizigo Rwanda

    Hali ya ubabe inaendelea mpaka wa Rwanda na Tanzania huku madereva wa Tanzania wakigomea kuingia Rwanda kwa sababu ya kunyanyapaliwa. Pamoja na jitihada za kuwabembeleza zinazofanywa na maafisa wa Rwanda kwa kuwaahidi hali itakuwa tofauti na awali lakini bado madereva wamesimamia kile...
  17. S

    Tunaweza kuona tuna msimamo imara suala la Corona lakini mwishoni gharama yake inaweza kuwa Tanzania kukosa heshima na kupoteza urafiki na nchi jirani

    Sikatai kwa nchi hata Tanzania kutokuwa na msimamo na kukubali kuyumbishwa ndani na nje ya nchi. Ninachowaambia ni kwamba katika masuala ya mahusiano, ndani na nje ya nchi, tunapaswa tujue namna ya ku balance kati ya kuwa na msimamo, kutoyumbishwa na udiplomasia. Kuwa na msimamo haina maana...
  18. Uturuki yarudisha raia wake nyumbani kutoka mataifa mbalimbali ikiwemo Tanzania kutokana na maambukizi ya Corona

    Raia wa Uturuki wamehamishwa kutoka Ujerumani na Tanzania mapema Jumapili na kuwekwa chini ya kizuizi(karantin) cha siku 14 ili kupunguza kuenea kwa virusi vya corona. Jumla ya Waturuki 157 kutoka Ujerumani wamepelekwa mkoa wa Kayseri na baadaye kupelekwa katika mabweni ya wanafunzi kwa ajili...
  19. C

    Tanzania na Mungu wetu, dunia na taharuki zake

    Wananzengo uzi huu ni maalumu kwa maelezo ya picha bila maneno mengi. Kama una habari yoyote katika picha, tupia hapa bila kuandika maneno mengi. Comments ziwe fupi kama za Bujibuji
  20. Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

    HOTUBA YA MBUNGE FREEMAN MBOWE KWA UFUPI Nimezungumza na Rais kwenye simu nimemuambia tafadhali shirikisha Jamii pana ya Watanzania ili jambo tulibebe wote, huu ni msiba na msiba haachiwi Mtu mmoja, kwa nia njema kabisa, tushirikiane kwa pamoja kwenye mapambano haya dhidi ya virusi vya corona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…