Tanzania hakuna chama cha upinzani chenye sifa za kuwa chama cha upinzani

Big Eagle

JF-Expert Member
May 3, 2020
592
625
ACT chama cha Zito, CUF chama Lipumba, CHADEMA chama cha Mbowe, NCCR chama cha Mbatia nk. sioni chama cha upinzani hata akichaguliwa rais anaweza kupigwa makofi na mwenyekiti au kufukuzwa chama.

Mtazamo wangu baada ya uchaguzi 2020 kiongozi na mmiliki wa chama kimoja wapo aachie chama kiwe cha wananchi, chama kijengwe na mfumo kama ilivyo CCM, mtanzania mwenyewe sifa aweze kuwa mwenyekiti.

Watanzania niwapole na wastaarabu sana siasa za kibabe zitupiliwe mbali zifanywe siasa za kistaarabu kwa kutumia akili nyingi kuliko ubabe maana kukunja ngumi kwa panga atakae umia ni alokunja ngumi.

Nimtazamo wangu tu.
 
Nccr mageuzi wapo tofauti wanaweza kuwa chama cha upinzani

Ila hao wengine hakuna kitu
 
Wenye uwezo wa kuamua hivyo ni WAPIGA kura kwenye Uchaguzi huru na wa haki chini ya tume huru ya Uchaguzi. Kama Watanzania wanaona kwamba hakuna chama cha upinzani chenye kustahili kukabidhiwa nchi basi wataamua hivyo.
 
Watanzania wengi wanaishi kwa matukio.Hawana akili ya kujitegemea na ndio maana hata mtoa mada leo kwa tulio la leo amepata mada.Lisingekuwa tukio angekaa kimya.Kuna shida kwenye mfumo wa elimu yetu.Tuna vilaza wengi kuliko tunavyodhani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ni nywele kila mtu anazake, zako zinakutuma kupinga hata jabo zuri ni zako tu
 
Wenye uwezo wa kuamua hivyo ni WAPIGA kura kwenye Uchaguzi huru na wa haki chini ya tume huru ya Uchaguzi. Kama Watanzania wanaona kwamba hakuna chama cha upinzani chenye kustahili kukabidhiwa nchi basi wataamua hivyo.
Kama wewe ndo Rais akatokea muhuni akawadanganya wananchi wakampigia kura na kwa uwezo wako unafaham kabisa wananchi watajuta badae hili jamaa ni jizi, vipi utalikabidhi nchi?
 
Inawezekana ndiyo maana hatupati dawa ya corona
ACT chama cha Zito, CUF chama Lipumba, CHADEMA chama cha Mbowe, NCCR chama cha Mbatia nk. sioni chama cha upinzani hata akichaguliwa rais anaweza kupigwa makofi na mwenyekiti au kufukuzwa chama.

Mtazamo wangu baada ya uchaguzi 2020 kiongozi na mmiliki wa chama kimoja wapo aachie chama kiwe cha wananchi, chama kijengwe na mfumo kama ilivyo CCM, mtanzania mwenyewe sifa aweze kuwa mwenyekiti.

Watanzania niwapole na wastaarabu sana siasa za kibabe zitupiliwe mbali zifanywe siasa za kistaarabu kwa kutumia akili nyingi kuliko ubabe maana kukunja ngumi kwa panga atakae umia ni alokunja ngumi.

Nimtazamo wangu tu.

In God we Trust
 
Akili ni nywele kila mtu anazake, zako zinakutuma kupinga hata jabo zuri ni zako tu

Kama mambo mazuri ndio yanakuweka madarakani, basi weupe wa Afrika kusini walipaswa kuwa madarakani mpaka leo.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kamatunavyo juta
Kama wewe ndo Rais akatokea muhuni akawadanganya wananchi wakampigia kura na kwa uwezo wako unafaham kabisa wananchi watajuta badae hili jamaa ni jizi, vipi utalikabidhi nchi?

In God we Trust
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
When the citizens have VOTED you out of office then you must LEAVE the office IMMEDIATELY.

Kama wewe ndo Rais akatokea muhuni akawadanganya wananchi wakampigia kura na kwa uwezo wako unafaham kabisa wananchi watajuta badae hili jamaa ni jizi, vipi utalikabidhi nchi?
 
ACT chama cha Zito, CUF chama Lipumba, CHADEMA chama cha Mbowe, NCCR chama cha Mbatia nk. sioni chama cha upinzani hata akichaguliwa rais anaweza kupigwa makofi na mwenyekiti au kufukuzwa chama.

Mtazamo wangu baada ya uchaguzi 2020 kiongozi na mmiliki wa chama kimoja wapo aachie chama kiwe cha wananchi, chama kijengwe na mfumo kama ilivyo CCM, mtanzania mwenyewe sifa aweze kuwa mwenyekiti.

Watanzania niwapole na wastaarabu sana siasa za kibabe zitupiliwe mbali zifanywe siasa za kistaarabu kwa kutumia akili nyingi kuliko ubabe maana kukunja ngumi kwa panga atakae umia ni alokunja ngumi.

Nimtazamo wangu tu.
TLP cha Mrema, UDP cha Cheyo, UPDP cha Dovutwa, CHAUMA cha Rungwe,
 
ACT chama cha Zito, CUF chama Lipumba, CHADEMA chama cha Mbowe, NCCR chama cha Mbatia nk. sioni chama cha upinzani hata akichaguliwa rais anaweza kupigwa makofi na mwenyekiti au kufukuzwa chama.

Mtazamo wangu baada ya uchaguzi 2020 kiongozi na mmiliki wa chama kimoja wapo aachie chama kiwe cha wananchi, chama kijengwe na mfumo kama ilivyo CCM, mtanzania mwenyewe sifa aweze kuwa mwenyekiti.

Watanzania niwapole na wastaarabu sana siasa za kibabe zitupiliwe mbali zifanywe siasa za kistaarabu kwa kutumia akili nyingi kuliko ubabe maana kukunja ngumi kwa panga atakae umia ni alokunja ngumi.

Nimtazamo wangu tu.
Mkuu Kiki Kileo, naunga mkono hoja,
Ingawa watu watakubeza, huu ndio ukweli wenyewe, Tanzania hatuna credible opposition, upinzani uliopo ni upinzani uchwala, JPM amekuja kufunga kazi

Upinzani wa Tanzania ni Upinzani Makini wa Kweli, au ni Upinzani Uchwala?. Kasi ya JPM Itaua Upinzani Uchwala na Kuibua Upinzani Makini wa Kweli Au..? - JamiiForums

Kwa Tanzania bara, chama tegemewa ni Chadema lakini angalia

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?!. - JamiiForums
P
 
Back
Top Bottom