Tanzania yashika nafasi ya 109 kwa nguvu ya kijeshi duniani

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
TANZANIA NI NCHI YA 109 KWA UBORA WA KIJESHI DUNIANI

Jarida la kimataifa la 'Firepower' ambalo linalinganisha uwezo wa vikosi vya majeshi duniani kila mwaka, limetoa orodha ya mataifa 138 pamoja nguvu walizo nazo

Ripoti hiyo imeangalia idadi ya silaha, jeshi na rasilimali fedha ambazo nchi hizi hutumia katika operesheni za kijeshi

Kwa ripoti ya mwaka 2020 Tanzania imekuwa ni ya 109. Uganda ni ya 86 na Kenya ni ya 84. Baadhi ya nchi huwa zina uwezo tofauti kila mwaka

Aidha Marekani, Urusi na China ni nchi tatu bora. Na nchi tatu za mwisho ni Somali ikifuatiwa na Liberia na ya 138 ni Bhutan
2020 Military Strength Ranking
 
Tunaomba kura zenu. Tumenunua ndege. Hizo zana za Vita tutaongeza baadaye.
 
Back
Top Bottom