tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) watoa msaada wa bilioni 84 kwa Tanzania kuisaidia kusambaza umeme Vijijini na kwenda Zambia

    Umoja wa Ulaya (EU) kupitia Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD), umeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 30 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 84 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kujenga miundombinu ya kusafirisha umeme kati ya Tanzania na Zambia. Sehemu ya fedha hizo, kiasi cha Euro...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Tanzania hatunaga Postal Codes?

    Wakuu hivi kwanini Tanzania hatunaga anuani za uhakika za miji yetu na majumbani mwetu zaidi ya namba za simu tu? Hivi Serikali haioni kama inatucheleweshea maendeleo na kutupa ugumu wa kufanya biashara kimataifa? Wanatuzidi hadi Uganda jamani. Kama nchi ifike kipindi tubadilike, kununua kitu...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Mpango umenena kuhusu Mamlaka ya Mapato Tanzania

    Nimemsikiliza Waziri Mpango wakati akiongea na maafisa wa TRA nchini kuhusu kukusanya kodi na kufikia lengo la tr.2. Nimependa na kuafiki kwa vile miradi mingi itakamilika kwa fedha ya ndani. Kitu ambacho amewaasa maafisa hao wazingatie ni kukusanya kodi kwa weledi, uaminifu na kwa hekima na...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EAC countries except Tanzania posted increased FDI inflows during the year

    Foreign Direct Investments (FDIs) into East Africa surged in 2019 to hit $11.5 billion, up from $5.7 billion in 2018. This was mainly due to China’s increased interest in East Africa’s construction, manufacturing, and services sector. According to EAC’s Trade and Investment Report (2019), all...
  5. JamiiForums Tanzania COVID-19: Tanzania yakataa chanjo ya kigeni, yalenga tiba ya kiasili

    Na Berna Namata Dodoma, Tanzania Tanzania haitaagiza kinga ya kuzuia maambukizi ya virusi vya corona, Wizara ya Afya imesema. Badala yake, msemaji wa Wizara ya Afya Gerald Chami alisema, serikali inaendelea na shughuli ya kufanyia majaribio tiba za kiasili. “Hakuna mipango ya kuagiza chanjo...
  6. JamiiForums Tanzania Somalia ilivyoziokoa Tanzania na Uganda kutoka kwenye vita

    SOMALIA YAOKOA UGANDA NA TANZANIA KUTOKA KWENYE VITA KWA UFUPI Kukomesha mvutano. Kufuatia mvutano kati ya Uganda na Tanzania 1972, katibu mkuu wa OAU aliwasiliana na Kenya kupatanisha. Hata hivyo serikali ya Jomo Kenyatta ilikataa. Huku Kenya ikikataa kupatanisha, wakuu wengine wa nchi...
  7. JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Mkongwe Mohammed Fungafunga (Mzee Jengua) afariki Dunia

    MKONGWE wa Tasnia ya Maigizo nchini Mohammed Fungafunga maarufu Kama Mzee Jengua amefariki dunia asubuhi ya Disemba 15 huko Mkuranga, mkoani Pwani. Marehemu alikua akisumbuliwa na Maradhi ya Kiharusi. Enzi za uhai wake, Mzee Jengua alikua akiigiza Maigizo kama vile Kidedea, Handsome wa...
  8. JamiiForums Tanzania DJ Baffy mkali wa Amapiano Tanzania

    Leta DJs wote bongo, ila ikija kwenye mixxin za Amapiano hakuna kama DJ Baffy. Kifupi ndio DJ namba moja wa kutwanga amapiano. Dondosha amapiano yako uliyoielewa baada ya kuisikia kwa Dj Baffy.
  9. JamiiForums Tanzania Air Tanzania yaipiku Turkish Airlines

    Katika utoaji wa Tunzo za Tanzania Consumer's Choice Awards hapo tarehe 13 Disemba 2020 shirika letu la ndege limeibuka mshindi katika Category 2 (Most Preferred Domestic Airline) na MOST PREFERRED INTERNATIONAL AIRLINE)). Tujivunie vya kwetu #Uzalendo_Kwanza# NB: Hongereni Sana ATCL kwa Kasi...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

    Video hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu Lissu. Na katika video hii hapa chini Tundu Lissu akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tuzo...
  11. JamiiForums Tanzania Huduma za Google, kama Gmail na YouTube zimeonekana kusumbua kwa baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania na India

    Mtandao wa TechCrunch umeripoti kuwa huduma zinazotolewa na google kusumbua kwa baadhi ya nchi hasa nchi za Ulaya, Uingereza na India. Huduma za kampuni ya Google kama Gmail na Youtube zimeonekana kutofanya kazi. Hata hivyo imeripotiwa kuwa google wapo katika harakati za kurudisha mtandao huo...
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya waiuliza Google kuhusu Corona Tanzania

    Kampuni ya Google imetoa orodha ya maneno yaliyotafutwa zaidi katika nchi mbalimbali duniani mwaka 2020 ikiwemo Kenya. Orodha hiyo sio tu imeonesha mwelekeo unaopendelewa zaidi katika miezi 12 iliyopita, bali pia imeweka bayana matukio makubwa zaidi katika habari, siasa, michezo, burudani na...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wabunge chini ya Spika Ndugai na Naibu wake Tulia Ackson

    Kwa heshima kubwa naleta ushauri huu kwenu, nikiwa kama BUNGE ni chombo au ni sauti ya watanzania walio zaidi ya milioni 50. Bunge ni chombo kinachojitegemea ambacho kinatakiwa kuisimamia Serikali, hivyo Bunge lina nguvu yakikatiba kutetea wananchi wake ambao ni wakulima na wafanyakazi. Mwaka...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: China na Tanzania kuimarisha ushirikiano

    TAARIFA KWA UMMA CHINA NA TANZANIA KUIMARISHA ZAIDI USHIRIKIANO Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China Nchini Tanzania Bi. Wang Ke. Mazungumzo hayo yamelenga katika kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi...
  15. JamiiForums Tanzania Jihadharini na utapeli wa hiki chuo wanajiita Tanzania Institute of Project Management, Serikali ichunguze hiki chuo

    Kichwa chajieleza, HiKi chuo niliwai ku-apply postgraduate course, lakini katika kufatilia nikagundua wanatoa course ambazo hazijasajiliwa na NACTE wala TCU, nikajaribu kupeleleza kwa mmoja wa staff wao ambaye naye alionyesha kuto rithika na huduma za hapo TPIM kumbe wana madudu mengi, ambayo...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imeshindikana kabisa kwa bisahara za kwenye mitandao (e-commerce) kule Tanzania. Jumia, Tala, Brigter Monday wote walifungasha

    Sijui ni sera za kijamaa au nini husababisha Tanzania pawe pagumu kuingilika kibiashara, haswa kwa hizi za kwenye mitandao. Brighter Monday wamehama na kuamua kuendelea na huduma zao Nigeria, Ghana, Senegal, Kenya, Uganda, na Ethiopia. Sio hao tu, wengine wengi wamefungasha na kuhama, hawa...
  17. JamiiForums Tanzania Zanzibar yaambulia Manaibu Waziri 2 katika Baraza jipya la Mawaziri

    Nimeangalia kwa umakini baraza jipya la mawaziri sijaona hata jina moja la kutoka Zanzibar. Tunaenzi vipi muungano wetu? Labda aliyeteua ana majibu sahihi lakini kwa afya ya muungano naona kama hii sio sawa. Mawaziri wote ni kutoka Tanganyika wakati Baraza ni la muungano Ina maana wajumbe...
  18. JamiiForums Tanzania Tusiichafue Tanzania yetu kwa kumbatiza Lema ukimbizi wa kisiasa

    Najua kabisa umoja wa mataifa wanazo rekodi zao za uhakika kuwa Tanzania ambayo ndio kitovu cha kuhifadhi wakimbizi tangu miaka ya 1960's hajafikia hatua ya kutengeneza wakimbizi wa kisiasa kama Lema. Tungesikia UN wametoa ripoti juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu hapa Tanzania. Lakini mpaka...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Ufaransa Tanzania na kusisitiza kuendeleza Ushirikiano

    Viongozi hao walikutana Makao Makuu ya CCM Dodoma. Balozi huyo wa Ufaransa nchini Tanzania amesema Nchi yake itazidisha Ushirikiano na Serikali ya Tanzania kwani inafurahishwa na hali ya kisiasa Tanzania. Amesema Wamefurahishwa na hotuba aliyoitoa Rais Magufuli wakati wa ufunguzi wa Bunge la...
  20. JamiiForums Tanzania Arusha city Geneva ya Afrika imegeuka Mogadishu ya Tanzania

    Serikali yetu imechangia kuuwa mji wa Arusha, kwa nini walijenga ukumbi wa Nyerere Dar wakati tayari AICC ipo ? AICC ilikuwa ni chanzo kikubwa sana cha Uchumi wa Arusha City baada ya UN, sasa UN wameondoka, AICC Mikutano hakuna kwa maana yote inafanyikia Dar unajiuliza kwanini waliamua kujenga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…