Jihadharini na utapeli wa hiki chuo wanajiita Tanzania Institute of Project Management, Serikali ichunguze hiki chuo

goldcall

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
394
535
Kichwa chajieleza,

HiKi chuo niliwai ku-apply postgraduate course, lakini katika kufatilia nikagundua wanatoa course ambazo hazijasajiliwa na NACTE wala TCU, nikajaribu kupeleleza kwa mmoja wa staff wao ambaye naye alionyesha kuto rithika na huduma za hapo TPIM kumbe wana madudu mengi, ambayo serikali haijayaona.

Kuweni makini na hivi vyuo vya uchochoroni
 
Kichwa chajieleza, hichi chuo. Niliwai apply postgraduate course, lakini katika kufatilia nikagundua wanatoa course ambazo hazijasajiliwa, na NACTE wala TCU, nikajaribu kupeleleza kwa mmoja wa staff wao ambaye naye alionyesha kuto rithika na huduma za hapo TPIM , kumbe wana madudu mengi, ambayo serikali haijayaona, kuweni makini na hivi vyuo vya uchocholoni,

Ridhika /rithika
 
Back
Top Bottom