tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania mercantile exchange: jambo zuri sana limeanzishwa

    Habari wakuu. Mimi si mtaalamu wa business lakini Tanzania tumeanzisha commodity exchange na nimesoma kuwa imeanza kazi mwaka jana mwezi wa kumi. Jambo zuri sana. Commodity exchange ni eneo au kampuni ambapo mauziano yanafanyika. Ni kama soko. Faida yake ni kuna kitu kinaitwa future contracts...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda zatajwa kushiriki majaribio ya chanjo ya HIV

    Tanzania na Uganda zimetajwa kuwa kati ya nchi nne za Afrika kushiriki kwenye majaribio ya chanjo ya virusi ya UKIMWI, ikiwa ni sehemu ya jaribio la kwanza barani Afrika kujaribu chanjo mbili mpya dhidi ya VVU. Imearifiwa kuwa tayari majaribio yameanza wiki hii nchini Uganda na Afrika Kusini...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Je Tanzania kuna Chama cha Wakemia

    Habarini za leo wakuu. Nahitaji kujua kama kuna chama cha wakemia Tanzania. Na kama kipo kazi zake ni zipi hapa nchini. Na kama hakipo kwanini hakipo wakati field ya kemia ipo hadi Kwenye katiba. Sote tunajua kuna mkemia mkuu wa serikali Tanzania. Je, yeye kama mkemia mkuu hana jukumu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini China imeanza kutajwa kwenye ufadhili miradi mikubwa na kimkakati ya Tanzania wakati walitaka kutuingiza chaka bandari ya Bagamoyo?

    China imejizolea umaarufu Kama Taifa lenye mahusiano makubwa na mazuri na Tanzania. Limeonekana kuwa moja ya Taifa lenye nia nzuri na Tanzania kiasi kwamba Rais wake alipewa fursa ya mazungumzo ya lisaa limoja na Rais Wetu. Ila Taifa la China lilipewa kujenga bandari ya Bagamoyo baadaye...
  5. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Nimeamini Tanzania tuna utawala wa sheria, kule Uganda Rais Museveni amesema ataongea na Jaji Mkuu dhamana kwa waandamanaji ifutwe!

    Kiukweli nimeamini na nimekubali kuwa katika ulimwengu wa siasa Tanzania inafuata utawala wa sheria. Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema ataongea na Jaji mkuu wa nchi hiyo ili kufuta dhamana kwa washtakiwa wote waliotenda kosa la kuandamana bila kibali. Museveni amesisitiza kuwa kama Jaji...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi Air Tanzania ni kweli ndege zenu zote za kuelekea Kilimanjaro zimejaa, au ni usanii tu?

    Wakuu, Toka last week nahaha kutafuta usafiri wa kunifikisha JRO ,lakini kila nikijaribu kufanya booking,naambiwa tarehe zote flight zimejaa. Hii ni kweli au kuna usanii unafanyika?
  7. JamiiForums Tanzania Watawala wa Tanzania, labda siku moja mtapenda mpewe haki ya kusikilizwa Mahakamani pia!

    Walioweka mfumo wa Mihimili 3 yaani Serikali, Mahakama na Bunge hawakuwa wajinga, walijua wanafanya nini na walikuwa na nguvu za Umungu lkn bado waliona umuhimu wa kuwa na Mahakama na Sheria kwamba kila Binadamu ana haki ya kusikilizwa na ndo maana hata wauwaji wanafikishwa Mahakamani na...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania ijiandae kupokea wakimbizi toka Ulaya na Marekani wanaokimbia CORONA kuja kuishi kwetu kusiko na Corona

    Jana nilikuwa pale Forodhani Zanzibar nikakutana na wazungu wakihoji taratibu za kutafuta hifadhi nchini kwani kwao kuna Corona hawataki kurudi walikuwa kama kumi hivi wakasema pesa za kuishi wanazo. Na wameona Tanzania ndio mahali salama kwao na familia zao kuliko makwao. Serikali ijipange...
  9. JamiiForums Tanzania Aliyekubali Switch za bwawa la umeme la Rusumo Tanzania zikawekwe Rwanda ametumia akili zake ipasavyo?

    Nimepata taarifa zisizo rasmi kwamba eti lile bwawa la umeme la Rusumo linalojengwa huko Ngara Tanzania, eti switch zake za kuwashia na kusambazi umeme zinafungwa Rwanda. Maana yake ni kwamba Tanzania itakuwa ikizalisha umeme, halafu huo umeme utasafiri hadi Rwanda, halafu Rwanda ndio itakua...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Vision ya Rais Dkt. Magufuli ni kuipeleka Tanzania mbele kupitia njia waliyopita Singapore

    Huwa ni kwa vile watu ni wagumu sana kuelewa. Vision ya Rais Dkt. Magufuli ni kuipeleka Tanzania mbele kupitia njia waliyopita Singapore. Singapore walikuwa masikini mara 3 ya Tanzania ya leo. Miaka ya mwanzo ya 70 walikuwa na GDP per capita $320. Sisi leo GDP per capita ni $930. Leo Singapore...
  11. JamiiForums Tanzania Landmarks za Tanzania na Majina ya Viongozi

    Wakati Nyerere akiwa hai alikuwa hapendi jina lake kutumika katika landmarks mbalimbali. Uwanja wa Nelson Mandela kule Sumbawanga ulikuwa umejengwa kama uwanja wa Nyerere lakini alipokwenda kuufungua akaubadilisha jina na kuuita Nelson Mandela. Siku za hivi karibuni kumekuwa na landmarks nyingi...
  12. JamiiForums Tanzania Gidabuday afunguka kuhusu kujiuzulu kwake na changamoto za Riadha Tanzania. Awasihi Mawaziri wapya wamulike hilo

    Nachukua nafasi hii kuwapongeza TOC kwa kufanya Uchaguzi wao kwa mujibu wa katiba yao. Pili, niwapongeze Shirikisho la Kenya (AK) kwa kutimiza miaka 70 tangu kuanzishwa kwake wakifikia mafanikio makubwa ya Riadha duniani. Shirikisho la Riadha la Kenya linasherehekea miaka 70 tangu kuanzishwa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni amteua mwanaye kuwa Kamanda wa Kikosi Maalum cha Jeshi kinachomlinda

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemteua mwanawe wa kiume Lt Gen Muhoozi Kainerugaba kuwa kamanda wa kikosi maalum cha jeshi SFC. Muhoozi, mwenye umri wa miaka 46, pia ni mshauri maalum war ais, nafasi ambayo aliteuliwa mwaka 2017. Uteuzi huo unafuatia mabadiliko ambayo rais Museveni amefanya...
  14. JamiiForums Tanzania Tafakuri Jadidi: Fukuto la Kongo, Kabila (Baba) alimwandaa Mwanaye Joseph tangu Kunduchi Mtongani, Tanzania

    Kwanini Kongo- Kinshasa Kunafukuta? - Ubia wa Kabila na Tchisekedi u-mashakani - Kuilewa Kongo- Kinshasa Lazima Uumize Kichwa - Kabila ( Baba) alimwandaa Mwanawe Joseph tangu Kunduchi Mtongani, Tanzania. Ndugu zangu, Mwezi Januari mwaka jana niliandaa mfululizo wa makala kuhusu Kongo-...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutoa pesa Neteller and Skrill to Tanzania mobile networks

    Habarin wana jamii forum nina pesa zangu zipo huko neteller ni dollar kadhaa na nina shida nazo nataka nizitoe fasta shida ni kwamba kwa tanzania ni only to bank hakuna mobile network. Na ubaya ni kwamba njia ya benk pesa inachukua mda mrefu kufika na pia makato ni makubwa kulinganisha na simu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania International Democratic Union yatoa maazimio kuhusu Tanzania

    Having regard to credible reports by multiple sources on the ill-treatment, intimidation, violence directed against CHADEMA leaders, candidates and members before, during and after the October 28th, 2020 generalelections; to the systematic and coordinated disqualification of its candidates...
  17. JamiiForums Tanzania Patel’s death robs Tanzania of sixth tycoon in just two years

    The demise of Subhash Patel yesterday is another blow for Tanzania, which has so far lost a total of six tycoons in just two years Tanzanians woke up yesterday to news of Mr Patel’s death, who was until his passing on the chairman of the Confederation of Tanzania Industry (CTI) and board...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania One wako wapi, wale walioongoza kitaifa Form Six na Form Four?

    Wako wapi vijana waliojichukulia ujiko wa zawadi na headlines magazetini na vyombo vya habari wako wapi kaka zetu na dada zetu waliotesa kwa ufaulu wa kutisha? Wako wapi jamani? Tusaidiane. Je, wapo chimbo wanajifua kuvunja record zao wenyewe? Je, wako wanasoma na kujiendelezakimataifa? Je...
  19. JamiiForums Tanzania Siasa za Umeme: Kwa vile Umeme wa Stigler's utatosha na ziada kuuza nje. Je, TANESCO kusaini PPA mpya 6 toka kwa 6 IPPs, sio ufisadi mpya wa kisasa?

    Wanabodi, Kwa vile hii ni mada technical, yaani ni mada ya kitaalam, naomba kuanza bandiko hili kwa elimu kidogo kwa members wenzangu ambao sio wataalam wa mambo ya power na energy. Watu wanadhani siasa ni kusimama tuu majukwaani na kupiga domo, issues yoyote yenye impact kubwa kwa taifa ni...
  20. JamiiForums Tanzania China kuisaidia Tanzania ujenzi wa SGR na mradi wa umeme Mto Rufiji

    China imesema itaangalia namna ya kushirikiana na Tanzania katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo reli ya kati kwa kiwango cha kisasa (standard gauge railway) na bwawa la kuzalisha megawati 2,115 za umeme katika mto Rufiji (Bwawa la Mwl. Nyerere). Hayo yamesemwa na Rais wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…