Tanzania ijiandae kupokea wakimbizi toka Ulaya na Marekani wanaokimbia CORONA kuja kuishi kwetu kusiko na Corona

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,909
51,904
Jana nilikuwa pale Forodhani Zanzibar nikakutana na wazungu wakihoji taratibu za kutafuta hifadhi nchini kwani kwao kuna Corona hawataki kurudi walikuwa kama kumi hivi wakasema pesa za kuishi wanazo.

Na wameona Tanzania ndio mahali salama kwao na familia zao kuliko makwao.

Serikali ijipange kuna uwezekano mkubwa sana wa kuanza kupokea wakimbizi wa Corona wanaoikimbia corona Ulaya na Marekani kutafuta hifadhi Tanzania.

Shirika la wakimbizi nalo lijiandae kwa hili kutakuwa na new wave ya wakimbizi ambao hawakimbii vita bali ni wazima wa afya kwa vipimo vyote ila wanakimbia nchi zao Corona.
 
Hivi wale wachina waliomwagika wakati Corona inachanganya walirudi kwao?
 
Jana nilikuwa pale Forodhani Zanzibar nikakutana na wazungu wakihoji taratibu za kutafuta hifadhi nchini kwani kwao kuna Corona hawataki kurudi walikuwa kama kumi hivi wakasema [esa za kuishi wanazo...
Akili finyu so bure we jamaa
 
Hivi wale wachina waliomwagika wakati Corona inachanganya walirudi kwao.?
Sijui lakini walikuwa ni wengi matajiri wakubwa toka China walikimbia Corona kule waka book mahotel ya kifahari kukaa muda mrefu sijui miezi mitatu nk Mahoteli baadhi walivuna pesa hasa sijui kama walishaondoka au bado wapo lakini walibadili uchumi wa baadhi ya hoteli sana serikali nafikiri iliwapa extension
 
Jana nilikuwa pale Forodhani Zanzibar nikakutana na wazungu wakihoji taratibu za kutafuta hifadhi nchini kwani kwao kuna Corona hawataki kurudi walikuwa kama kumi hivi wakasema [esa za kuishi wanazo...
Waende Burundi, maana kule wakati ule wa kimbunga cha korona, alikufa mmoja tu
 
Labda wazungu wa iliyokuwa ulaya mashariki, lakini sio wazungu toka nchi zenye utawala bora na demokrasia ya kweli.
Marekani wameshaanza kuzalisha wakimbizi wa ndani ambao wanakimbia majimbo yenye Corona kwenda maeneo yasisyo na corona kwa mamilioni

Muda si mrefu maelfu wataanza kukimbia Marekani kuja Tanzania

 
Hahahaha

Nasikia wanasema kitonga alianza kukipenda toka enzi hizoo yakweli haya
Sio kweli, labda alivyofika tumaini dsm ndio alianza kupenda hizo mambo.
Lazima atakuwa anachepuka, yule wife ake havutiii, kama michellin
 
Kama korona inafuata ngozi nyeupe hapo ndo shida itaanzia, hata ukimbilie wapi...
 
Back
Top Bottom