tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Upuuzi huu usiovumilika na uliovuka Kiwango unapatikana katika Soka la Tanzania tu duniani kote

    Kaimu Kocha wa Simba SC Selemani Matola mara baada ya Michuano ya Mapinduzi Cup alipohojiwa na Press alisema kuwa amewapa Wachezaji likizo mpaka Ijumaa ya Wiki hii (22 January 2021) kisha watarejea Mazoezini upesi sana ili kujiandaa kikamilifu kabisa na Michezo Klabu Bingwa ambayo inaanza mapema...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani lakanusha Mtwara kushika nafasi ya mwisho matokeo kidato cha nne, yataka wananchi kupuuza taarifa hizo

    Baraza la mitihani nchini NECTA limekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mkoa wa Mtwara umeshika nafasi ya mwisho matokeo ya kidato cha nne. Necta imewataka wananchi kupuuza taarifa hiyo kuwa shule 9 kati ya 10 zilizoshika nafasi za mwisho (umbwigi) zinatoka mkoani Mtwara. Source: ITV...
  3. JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa tumepata The Kadarshian Family Tanzania version

    Familia ya Kadarshian haiishi vituko , mara baba ameamua kuvaa magauni. Sasa ni wazi tuna version yetu Tanzania.
  4. JamiiForums Tanzania Air Tanzania ingeshusha viwango vya nauli, tungesafirisha Watanzania wengi ndani na nje ya nchi

    Salaam Great Thinkers, Tumeanza kutoa huduma ya kusafirisha abiria wanaotumia ndege kusafiri, iwe ni ndani ya nchi au kimataifa, kwa miaka kadhaa sasa. Uzoefu tulionao umepelekea tuzifahamu changamoto nyingi kupitia feedback tunazozipata kutoka kwa wateja/abiria. Miongoni mwa changamoto hizo...
  5. JamiiForums Tanzania Wale amabo wana "Pride" na Weusi wao, Utanzania, Uafrika, Uswahili yani "Nationalist": tujuane hapa kwani nahisi nipo peke yangu Tanzania nzima

    Yani ukipita instagram, kila mtu anauza dawa za kuchubua ngozi ili "kutakatisha ngozi" Muda huo huo tunasikia watu fulani wanasafilisha dada zetu kunyanyaswa nje ya nchi!! Tunasikia, ndani ya lugha ya kiswahili, ngozi ngeni zikisifiwa: "flani flani ana mzuri kweli kwani ana-asili ya kihindi"...
  6. JamiiForums Tanzania Wachaga ni moja ya kabila lenye dialects nyingi Tanzania

    Zifuatazo ni dialects za lugha ya Kichagga nyingine zinaendana Kirombo Kimarangu Ki-uru Kikibosho Kimachame Kisanya Lugha zifuatazo zinauhusiano mkubwa sana na lugha za kichaga japokua wanajihesabia sio Wachagga. Kimeru Kigweno Mfano: Msanya ni ngumu sana kumsema Mmeru, na Mmarangu ni ngumu...
  7. JamiiForums Tanzania Naanza kuiona Tanzania iliyobadilika. Watanzania hawasikilizi propaganda za uongo za Wapinzani

    Watanzania sio wajinga, ukija na hoja za kitoto wanakusikiliza kisa wanapima unachosema. Hakuna ubishi kuwa upinzani hapa Tanzani ulipata nguvu sababu ya makosa ya Ccm kama chama tawala kuruhusu ufisadi. Nani asiyekumbuka kuwa Lyatonga Mrema alipata kiki baada ya kuibua ufisadi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Ubabaishaji wa UNICEF Tanzania

    Salaam Watanzania! Nataka nishee na nyinyi kidogo kuhusu ili shirika la kimataifa linaloitwa UNICEF. Nilibahatika kupata nafasi ya kuwa volunteer wa UNICEF katika campaign ya kupambana na ugonjwa wa Covid19 na baadae kampeni ikaamia kwenye haki ya watoto. Kwenye hii kampeni tulitambulika...
  9. JamiiForums Tanzania Kiribati kisiwa nchi Pacific kitakachozama miaka hamsini

    Mzuqa wanaJF! Kiribati (wenyeji wanaitamka Kiribas) ni kisiwa nchi katikati ya Pacific. Mji wake mkuu ni Tarawa. Inahofiwa Kiribati itazama miaka ya karibuni. This island neshen will soon drown due to climate change and rising sea level. Tayari serikali ya Kiribati imeshanunua ardhi Fiji...
  10. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia kutoa dola za Kimarekani Mil 425, kuboresha Elimu ya Juu Tanzania ili kuleta Mabadiliko ya Kiuchumi

    Salaam Wakuu, Benki ya Dunia inatazamia kutoa Dola za Kimarekani Milioni 425 katika mpango wa miaka mitano wa uboreshaji wa elimu ya juu ili kwendana na Mabadiliko ya Kiuchumi Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (MoEST) kwa kushirikiana na Benki ya Dunia inaandaa mpango wa miaka mitano wa...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Yanayofanyika Chato yanafanyika kote Nchini Tanzania

    Yanayofanyika Chato; Yanafanyika Kote Nchini Tanzania Na: Mzalendo wa kweli (ellyskywilly) Serikali ya awamu ya tano imekuwa ikifanya kila liwezekanalo katika kuhakikisha Tanzania nzima inakuwa na maendeleo ya vitu na watu, hivi sasa kila ukipita kwenye maeneo mengi nchini utakutana na ama...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kampuni la kibeberu linajiandaa na kuleta kesi dhidi ya Serikali ya Tanzania

    Mbona haya makampuni yamekuwa mengi sana? Kampuni nyingine tena imepeleka GOT kwenye arbitration likidai pesa yake. Kampuni hii ilizuiwa kuchimba madini japo ilikuwa imepewa mining licence. ======== Montero secures US$2.32 million for battle with Government of Tanzania Jan 11, 2021 Montero has...
  13. JamiiForums Tanzania Mechi ya kirafiki: Tanzania na Jamhuri ya Kidemocrasia ya Kongo zimetoka sare ya kufungana 1 -1

    Pata updates za mechi hii ya friendly inayochezwa uwanja wa Taifa mapinduzi day 12/1/20121. === Both teams were using the game to prepare for the Chan competition to be held in Cameroon Tanzania and DR Congo settled to a 1-1 draw in an international friendly game played at the Benjamin Mkapa...
  14. JamiiForums Tanzania Pan-Africanist, Mapinduzi ya Zanzibar, Muungano wa Tanzania kuelekea Muungano wa Afrika

    PAN AFRICANIST,MAPINDUZI YA ZANZIBAR,MUUNGANO WA TANZANIA KUELEKEA MUUNGANO WA AFRIKA. Leo 13:00hrs 12/01/2021 Pan Afrikanist,Mwalimu Julius Nyerere, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika,na hatimaye Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ndiye Pan Afrikanist mbeba maono aliyebuni na...
  15. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Madini ya Montero kuishitaki Serikali ya Tanzania ikidai fidia kwa mradi wa Wigu Hill

    Naona Mabeberu yameingia kazini tena. Kampuni ya Montero imeazimia kuishitaki serikali ya Tanzania ikikusudia kudai fidia kutokana na kupoteza mradi wake wa utafiti wa madini wa Wigu Hill uliotokana na mabadiliko ya sheria ya madini ya mwaka 2010 iliyofuta baadhi ya leseni zilizokuwa zikitolewa...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Ni Sekta zipi katika Soko la Tanzania hazina perfect competition of market?

    Habari za leo wakuu, Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu njoo tujadili ni Sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market. Perfect competition ni hali ya kuwepo kwa ushindani Mkubwa katika soko usio na upendeleo. Na bei za sokoni zote hazi be controlled na wauzaji wala...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Ni sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market?

    Habari za leo wakuu, Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu njoo tujadili ni sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market. Perfect competition ni hali ya kuwepo kwa ushindani Mkubwa katika soko usio na upendeleo. Na bei za sokoni zote hazi be controlled na wauzaji wala...
  18. JamiiForums Tanzania Mfumo wa technologia wa KILAKONA SCHOOLS na faida zake katika elimu Tanzania

    toka kupata uhuru wa nchi yetu mwaka 1961 mpaka sasa kama nchi tumepitia mabadiliko makubwa sana kwenye swala la elimu, mabadiliko hayo yapo ambayo yamekuwa na faida kubwa na mengine yameleta hasara na kuporomosha elimu yetu kwa kiwango kikubwa, katika siku za hivi karibuni wahitimu wengi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi awasili Tanzania, aweka jiwe la msingi hospitali ya rufaa ya kanda Burigi, Chato

    Leo Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amewasili Chato mkoani Geita kwa ziara ya siku mbili kuimarisha uhusiano ambapo atakuwa na mwenyeji wake, Rais Magufuli. ======= Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji ameshawasili uwanja wa ndege wa Chato na kulakiwa na mwenyeji wake, Rais John Magufuli 05:34...
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: CHADEMA haina mamlaka kisheria kufungua kesi ICC kuhusiana na Uchaguzi 2020

    Aliyekuwa mgombea uchaguzi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHDEMA Tundu antipas Lissu amejitokeza na kutolea ufafanuzi kadha kuhusu kuwepo au kutokuwepo kwa kesi huko mahakama ya uhalifu ICC dhidi ya Serikali ya Tanzania baada ya uchaguzi mkuu 2020. ==== Dar es Salaam. Chadema Vice...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…