hiram
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 266
- 393
KUHUSU RANKING
Afrika ina nchi 54 lakini ni nchi 32 tu zipo kwenye CAF RANKING na TANZANIA ikiwemo, hii ina maana kwamba mataifa 22 ya Afrika hayamo na ni kwasababu timu za nchi hizo hazifanyi vizuri kwenye mashindano ya CAF.
Tanzania iliingia kwa mara ya kwanza kwenye CAF RANKING mwaka 2017 baada ya kuwa na alama tano(5) zilizotokana na DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS kuingia GROUP STAGE ya CAF CONFEDERATION CUP alama hizo zilisababisha tanzania kuwa nafasi ya 16 kwenye RANK za CAF
Kipindi hicho Group Stage ilikuwa na Timu Nane tu afrika nzima
Hata hivyo kwa kuwa Yanga hawakuwa na usaidizi wa timu nyingine yoyote mwaka uliofuata 2018 point zikapungua na kuwa 2 nchi ikaporomoka hadi nafasi ya 24,
Mwaka 2019 YANGA wakapata usaidizi wa SIMBA TANZANIA ikawa na jumla ya alama 18 na kushika nafasi ya 12 na tukapeleka timu 4 kwenye mashindano ya CAF
Mgawanyo wa alama 18 ni kama ifuatavyo
MWAKA 2016 YANGA MAKUNDI SHIRIKISHO alama 0.5 x 2 jumla alama 1
MWAKA 2017 HAKUNA TIMU ILIYOINGIA MAKUNDI
MWAKA 2018 YANGA MAKUNDI SHIRIKISHO alama 0.5x 4 jumla alama 2
MWAKA 2019 SIMBA ROBO FAINALI KLABU BINGWA alama 3 x 5 jumla alama 15
jumla kuu alama 18
NILICHOGUNDUA
Kinyume na akina GENTAMYCINE wanachoamini kwamba Yanga miaka yote aliyoshiriki amevuna alama tatu kumbe aliwahi kuwa na alama 5 na kwa mara ya kwanza kuiingiza nchi katika RANKINGS za CAF kumbe alama hizi huwa zinapungua kadri miaka inavyoenda