Bipolar
Member
- Apr 29, 2016
- 44
- 49
Haiwezekani mtu ulipie visa, ubalozi ukosee (mfano Jina au tarehe)katika kuandika visa, halafu ukiwaambia warekebishe wanasema ulipie upya. Huo ni utapeli na haileti taswira nzuri kwa nchi.
Kama ndiyo utaratibu wa Balozi zetu kulipisha watu mara mbili wakati kosa ni la ubalozi, mamlaka husika mlirekebishe hilo.
Kama ndiyo utaratibu wa Balozi zetu kulipisha watu mara mbili wakati kosa ni la ubalozi, mamlaka husika mlirekebishe hilo.