Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Kuendelea tu Kunyamaza Kwenu kama sehemu ya ( za ) Familia ni kutoa mwanya kwa Wazushi na Wambea ' Kutudanganya ' Watanzania na kuanza kuishi kwa Taharuki ( Wasiwasi ) kitu ambacho nakiona kama vile hakina Ustawi Kwetu.
Ila GENTAMYCINE huwa nikisia Taarifa za chini chini ( za Uzushi ) kuwa...
KUHUSU RANKING
Afrika ina nchi 54 lakini ni nchi 32 tu zipo kwenye CAF RANKING na TANZANIA ikiwemo, hii ina maana kwamba mataifa 22 ya Afrika hayamo na ni kwasababu timu za nchi hizo hazifanyi vizuri kwenye mashindano ya CAF.
Tanzania iliingia kwa mara ya kwanza kwenye CAF RANKING mwaka 2017...
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amesema Tanzania ina 'Double Standard' ambapo kuna baadhi ya maeneo maamuzi yanafanyika haraka, yapo ambayo maamuzi yanafanyika kwa kuangalia maslahi mapana ya Nchi na mengine maamuzi yanachelewa
Vilevile akiwa Bungeni leo wakati wa majadiliano ya Bajeti ya...
ELIMU YETU NDIYO MSINGI WA UKOLONI MAMBO LEO.
Na Elius Ndabila
0768239284
Msingi mkubwa wa Maendeleo Duniani kote ni elimu. Hapa tunazungumzia elimu rasimi na isiyo rasimi mhimu ni ile elimu inayosaidia kumuondolea mtu mwamvuri wa ujinga na kumjengea uwezo wa kutazama mambo kwa mawanda mapana...
Nimekuja tena kwenu wana jamvi naomba msaada wa kujua zipi ni faida za kusafirisha mzigo kama full container au Loose cargo kutoka China au Nchi za Wenzetu.
Moja kuhusu gharama za usafirishaji. Pili kuhusu mambo ya bandarini mzigo ukifika.
Nakukaribisha kwa mjadala.
CC Top leader
Wanajamii,
Unapoomba passport au ya ID, ni kawaida kuulizwa kwenye form Jina lako la Kwanza, la katikati na la Ukoo. Sasa Tatizo ni kwamba Passport au ID vikitolewa, kunakuwa hakuna utenganisho huu, bali Mambo ya Ndani na NIDA wanaamua kuunganisha jina lako la kwanza na la katikati kama jina...
Kwa kweli huyo mama anafanya yake.
=========
The government will ratify the Africa Continental Free Trade Area (AfCFTA) between June and October this year, it was heard in Dar es Salaam yesterday.
The document will be taken to Parliament for ratification upon getting the endorsement of the...
Habari wakuu,
Naomba msaada wa kimasomo kwa atakayeguswa ama anaefaham mashirika yanayotoa misaada ya kimasomo kwa ngazi ya cheti.
Natamani sana kuendelea na masomo ila hali ya kimaisha ndo changamoto kwangu nilifaulu kwenda form five nikasoma mpaka form six ila sikufanya mitihani yangu.
Kwa...
Kumekuwa na ubishi kuhusu kama kwa sasa Samia Suluhu anaongoza awamu ya tano au ya sita. Labda hilo sio jambo la maana. Jambo la msingi ni kwamba rais Samia Suluhu anaongoza awamu ambayo haitambuliki kikatiba kama ni awamu yake ya kwanza ya uongozi, bali amechukua madaraka ya uraisi kutokana na...
JOB VACANCIES
Click on each job position below to read more details and apply:
The following positions are stationed at Arusha, Tanzania
1. Director Customs- (1 Post)
2. Director Planning- (1 Post)
3. Director Social Sector- (1 Post)
4. Police Liason Officer- (1 Post)
5. Principal Human...
Wandugu hebu tufanye kucatalog maeneo yote inakopatikana na kuchimbwa dhahabu Tanzania. Nasikia kuwa sehemu nyingi zenye udongo mweusi(iron) na mwekundu (iron oxide) huwa ni rahisi kupatikana madini ya dhahabu. Sasa Tz kuna maeneo mengi sana yana dhahabu, tujuzane maeneo hayo na hali ya...
Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo.
Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na...
Habari 👋🏾
Kwa takribani siku tano nimekuwa katika mazungumzo na Dr. Dan Havlick, Bw. Medenne Stephenson na Prof. Sara Ramirez ambao ni wakurugenzi watendaji wa kikanda wanaosimamia maslahi ya makampuni ya mawasiliano ya AT&T, T-Mobile na Verizon kwa Kansas City, Toronto na jimbo la Bavaria...
Mbunge wa Viti Maalum, Nusrat Hanje amesema Taifa bado linalima kama Adam na Hawa walivyolima Eden. Ameeleza, "Tunalima Kilimo kinachotegemea Mvua na kudra za Mwenyezi Mungu katikati ya mabadiliko makubwa ya Sayansi na Teknolojia.
Vilevile Mbunge huyo amesema kauli ya "Kilimo ni Uti wa Mgongo...
Habari wadau!
Nimewaza sana baada ya kutangazwa zile ajira elfu tisa na za walimu na kada ya afya huku waliotuma maombi ni zaidi ya 80,000 inatia kinyaa sana kuona ajira elfu tisa tu zinajadiliwa mpaka bungeni.
Nilikuwa na mapendekezo kwamba ili tatizo la ajira linachagizwa na mambo mengi...
Dangote impressed by dramatic change in Tanzania's business environment
President Samia meets Nigerian businessman Aliko Dangote at State House, Dar es Salaam.
Dar es Salaam. President Samia Suluhu Hassan has on Monday May 24, met Africa’s richest man and Nigerian Billionaire Aliko Dangote at...
Tangu Serikali ya awamu ya Sita ianze rasmi kufanya kazi upepo wa siasa umebadilika kabisa na kuwa siasa za kistaarabu na za kushindana hoja kwa hoja.
Rais mstaafu Mh. Dkt. Jakaya Kikwete aliyasema hayo katika kumbukizi ya maadhimisho ya siku ya kumkumbuka Mwl. Nyerere kuwa hoja haipigwi rungu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amekutana na kufanya mazungumzo na Mfanyabiashara maarufu kutokea Nigeria Alhaji Aliko Dangote
Mazungumzo hayo muhimu yalifanyika leo Mei 24, 2021 Ikulu Jijini Dar es salaam
Alhaji Dangote ni mfanyabiashara mkubwa...
MBOLEA zinazotumika Katika kilimo ni moja ya kemikali zinazozalishwa kwa kuibadilisha GESI ASILIA kuwa MBOLEA katika nchi zilizo endelea. Hivyo kilimo cha Tanzania kinaweza kufaidika sana kama tukianzisha kiwanda kikubwa cha kubadilisha GESI ASILIA kuwa MBOLEA.
Kwa mujibu wa ripoti ya Benki...
Unakuta Kipindi fulani ni cha ama dakika 30 au Saa Moja tu lakini Watangazaji wake wote Watano wanataka Kuonesha Umahiri wao katika Kupiga Stori na hapo hapo tena Matangazo ya Biashara yanafululiza na Content husika iliyokufanya usikilize hicho Kipindi unakuja kuipata ndani ya dakika 5 tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.