tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Wananchi wapo kidigital, katiba iko kianalogia

    Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile.. Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania.. 1. Rais wa Tanzania 2. Makamu wa Rais 3. Waziri Mkuu...
  2. The Boss

    JamiiForums Tanzania Hawa wote hawalipi KODI hapa Tanzania

    Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile.. Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania.. 1. Rais wa Tanzania 2. Makamu wa Rais 3. Waziri Mkuu...
  3. Mulokoz

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi ya kukuza Uchumi wa Tanzania kupitia Elimu Endelevu

    Naitwa Dickson Hynes natamani kusimulia safari yangu ya usomaji mpaka kufikia chuo kikuu. Nimezaliwa Tanzania mkoa wa Kagera halmashauri ya wilaya ya Bukoba tarafa Bugabo kata Kaagya. Nimesomea Kaagya Shule ya msingi kipindi ambapo Shule za kata zilianza kufanya kazi mikoa yote Tanzania...
  4. HENRY14

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa miji na majiji bora: Tufanye nini kuboresha majiji yetu hapa Tanzania?

    Habari zenu wanaJF na wadau wa jukwaa la ujenzi. Nimesoma mada nyingi humu kuhusu ujenzi wa makazi. Makazi yakizidi tunajikuta na miji na hatimaye majiji. Kama ilivyo kwa nyumba abayo ikipangiliwa vibaya 'livability' yake inakuwa ngumu, basi miji na majiji ni hivyo hivyo. Kama mkazi wa Dar na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni Taifa la sasa lililokosa viongozi na wasomi wa kuliendeleza kiuchumi

    Kuna wakati unawaza na kujiuliza mambo mengi tu bila hata kupata chembe ya jibu , sasa unajiuliza hawa watu wanaojiita Maprofesa , Madaktari wa kisomi, Engineers wanafanya nini katika hili taifa ukiacha hao mprofesa kuna taasisi zinazojigamba kila siku kuwa ni best katika uchumi mfano REPOA...
  6. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania 2018 - 2020 World Happiness report: Burundi ina furaha kuliko Tanzania

    Nchi zilizopo kwenye kumi bora kwa kuwa na furaha duniani kwa mwaka 2018 - 2020👇 Nchi zilizopo kwenye kumi bora kwa kukosa furaha duniani kwa mwaka 2021👇 Sources:Happiness, trust, and deaths under COVID-19
  7. K

    JamiiForums Tanzania HATARI: Hakuna Corona Tanzania linapokuja suala la mechi ya Simba na Yanga

    Nimefuatilia uhamasishaji wa mechi hizi za watani wa jadi (Ile iliyopita juzi juzi) na hii inayofanyika Jumapili hii kule Kigoma. Maswali ni mengi kuliko majibu linapokuja suala la jukumu la Serikali kupitia Wizara ya Afya/Habari na michezo/BMT/TFF kuhamasisha wananchi wajikinge na hili janga...
  8. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mimi, UKIMWI na tiba binafsi ya Uchanya

    UKIMWI ulikuwapo, upo na bado utaendelea kuwepo mpaka hapo mkono wa heri utakapofanyika tiba ili kukomesha janga hili. Kiufupi Ukimwi bado unayachukua maisha ya ndugu zetu makundi kwa makundi. Kwa ndugu zangu ambao ni waraibu wa ngono nakuaseni kwamba pindi tunapofanya basi tufanye kwa kinga na...
  9. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya betrays Tanzania again at UNESCO's delisting campaign on Selous GR!

    MY TAKE Kama kawaida snitches kutoka Kunyaland wametu-backstab!
  10. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania SoC01 Biashara ya upatu ilivyo hatarishi kwa vijana na Tanzania kiujumla

    Biashara ya upatu, ni uchangishaji fedha unaoweza kuendeshwa na mtu au kampuni kwa ahadi ya kuwapatia faida kubwa baada ya kipindi kifupi. Baadhi ya makampuni hujificha katika kivuli cha kuuza bidhaa fulani na mara nyingi huwa bidhaa za afya. Mwanachama hutakiwa kutoa kiasi fulani cha fedha...
  11. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Zile stori za Tanzania ina utajiri wa rasilimali nyingi ni uongo, au kuna shida mahali?

    Tokea tunakua tukisikia Tanzania tuna rasilimali nyingi sana, lakin tokea inchi imepata uhuru hizo rasilimali zimeshindwa kuwa msaada kwa wananchi Mfano nchi za kiarabu Kuna rasilimali ya mafuta tunaona jinsi gani zilivyowasaidia, nchi kama south Africa na Botswana tunaona dhahabu na almasi...
  12. muzi

    JamiiForums Tanzania Iko wapi Serikali ya wanyonge Tanzania?

    Nchi nyingi duniani zinajitahidi kurudisha uchumi ulioathiriwa na mlipuko wa Covid-19. Nchi nyingi zimepunguza kodi na kutoa motisha kufufua uchumi wa viwanda. Tanzania ndo nchi pekee duniani inayosema ni nchi wa wanyonge kumbe wanataka kuwaua kabisa raia wake kwa stress, pressure n.k. Just...
  13. malunde_mc

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kilimo ni nguzo mama kuelekea uchumi wa viwanda

    Kilimo ni uzalishaji wa mazao kwenye mashamba.Kilimo kina maana pana sana inayojumuisha uzalishaji wa mimea,ufugaji wa mifugo pamoja na uvuvi.Tanzania takribani 70% ya wakazi wake hujishughulisha na kilimo. Zifuatazo ni faida za kilimo. Kupatikana kwa chakula :-Kilimo kinawezesha kupatikana...
  14. Hamayser hamisi

    JamiiForums Tanzania Jinsi matangazo ya kazi katika Halmashauri za Tanzania yanavyowanyima fursa vijana waishio vijijini

    Tumaini langu mko salama, kunachangamoto kubwa sana kwa vijana wanaoishi kijiji kupoteza fursa za kazi ambazo Halmashauri huwa wanazitangaza, matangazo haya mara nyingi huwa hayawafikii vijana hawa mara nyingi fursa hizi ufaidika vijana waoshio makao makuu ya Halmashauri. Hii kutoka na miundo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna Chama cha Upinzani bali wachumia tumbo

    Wananchi wengi wa kawaida na hata viongozi wa kada ya chini ya vyama wanaamini kuwa wanaviongozi wa upinzani mbele yao kumbe wanawasindikiza wachumia tumbo sikuzote hapa Tanzania. Kwanini basi: Tangia kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini mwaka 1992 makanjanja kibao walitokea CCM na...
  16. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Mbunge Abbas Talimba: Tanzania inahitaji maendeleo ya haraka

    Akisifu na kupongeza maamuzi ya Rais Samia Suluhu kuhusu tozo za miamala. Akiwa kwenye mahojiano katika luninga, EATV kipindi cha joto la asubuhi alisema "Watanzania wataumia kidogo kuliko manufaa watakayo yapata kwenye tozo za miamala" Pamoja na mengi aliyozungumza ni pamoja kwanini serikali...
  17. Chani Mohamedi

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tanzania kuna mazingira mbalimbali ya kibiashara ambayo mtu anatakiwa kuyafahamu

    Mazingira ya biashara ni nini? Ni yale mambo yote ambayo yanaweza kuchochea biashara kukua au kudidimia katika muktadha tofauti tofauti. Katika suala zima la kujua ni yapi mazingira mazuri ya kibiashara ni vyema kujua kile...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania ni mzigo kwa nchi, ni hasara kwa nchi

    Naomba niseme haya ni maoni yangu binafsi, na ni mtizamo wangu binafsi, na ndivyo ilivyo. Bunge la Tanzania lililojaa utitiri wa wabunge hadi wabunge feki, ni mzigo kwa nchi ni hasara kwa nchi wala halina faida yoyote Utitiri wa wabunge wa majimbo, wabunge wa viti maalumu wabunge wa kuteuliwa...
  19. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Hivi Bunge la Tanzania linafanya kazi gani hasa?

    Tunapojiita kua tuna bunge badala ya kufanya kazi ya kuishauri na kuisimamia serikali badala yake linafanya kazi ya kuitetea serikali ni hasara kwa taifa kupoteza mabilioni ya shilingi kuwalipa mishahara. Mmekaa mnapitisha tozo ambazo ni maumivu kwa Watanzania tena kwa kishindo mnagonga meza...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania fuateni misingi ya utawala bora

    Misingi ya utawala bora kwa miaka kadhaa imekuwa ni adimu kupatikana miongoni mwa viongozi wengi, ambapo kwa kiasi kikumbwa imekuwa ikizorotesha maendeleo ya kiuchumi na kudhoofisha demokrasia nchini. Misingi ya utawala bora katika jamhuri ya Muungano inajumuisha, uadilifu, demokrasia, utawala...
Back
Top Bottom