tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Didask89

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jahazi la Elimu Tanzania

    Na Didas Patrick Rais wa kwanza wa Afrika Kusini Nelson Mandela aliwahi kusema, nanukuu, "Elimu ndio silaha pekee na yenye nguvu unayoweza kuitumia kuibadilisha dunia". Katika historia ya dunia sijapata kushuhudia mtu aliyeaminiwa na kupewa fursa ya kuilea jamii kuanzia utotoni mpaka ukubwani...
  2. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Teknolojia ndio sulushisho la mambo yote yanayotukabili hapa nchini Tanzania kuanzia ajira, afya, elimu nk.

    Suluhisho la kudumu kuhusu changamoto nyingi zinazotukumba hapa nchini zinaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa kwa kuwekeza kwenye teknolojia. Leo nitazungumzia teknolojia kwenye nyanja tofauti tofauti kama vile kwenye ajira, afya,kuleta nidhamu kazini,vyuoni,kuongeza mapato serikalini ,kupunguza...
  3. The Genius

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatia aibu huko Olympic

    Picha hizi mbili zimepigwa jana tarehe 23 Julai 2021 wakati wa tukio la ufunguzi wa michezo ya Olimpiki jijini Tokyo, Japan. Ki-utaratibu, kila nchi iliyopeleka wawakilishi inatajwa halafu wawakilishi wanapita mbele ya umati wakiwa na bendera ya taifa lao. Kutakuwa na jumla ya matukio 339, kwa...
  4. Jimytz

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mkulima wa Jembe la Mkono Tanzania

    TEGEMEO LA MKULIMA WA JEMBE LA MKONO Ni zama hizi hizi za karne ya 21 ambayo bado mkulima anatumia jembe la mkono katika kipande cha ardhi alichobakisha baada ya unyanganyi wa mabavu wa wawekezaji wakipewa nguvu na viongozi hawahawa tulio waamini na kuyaamini maneno yao, Tuachane na hayo maana...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

    Marekani imeipatia Serikali ya #Tanzania zaidi ya dozi milioni 1 za chanjo dhidi ya COVID-19, ukiwa ni msaada kupitia mpango wa usambazaji chanjo wa #COVAX kwa uratibu wa Umoja wa Afrika Upokeaji wa Chanjo hizo umefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
  6. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania CNN ni sehemu ya CIA: Mtazamo wao kuhusu Serikali yetu ni mtazamo wa Jumuiya ya Kimataifa. Tusiwapuuze!

    Nimejaribu kutafakari uchambuzi wa CNN kuhusu kushikiliwa kwa Freeman Mbowe, kuna kitu wanaongelea sana pale "timing of arrest". Nadhani exposure yao ni kubwa sana kwa siasa za mataifa mbalimbali ikiwemo siasa za bara la Africa. Tunafahamu katika tools za kupatia taarifa kwa mashirika ya...
  7. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya Tanzania: Usiyoyajua kuhusu chanjo ya COVID-19

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa maelezo kuhusu chanjo ya corona kama ifuatavyo, ambapo imewahakikishis wananchi kuwa chanjo iliyoletwa nchini ni salama kwani wataalamu wamejiridhisha.
  8. mshale21

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa vyama vingi Tanzania umefeli; ufutwe CCM watawale milele

    Habarini Wanabodi! Kulingana na hali halisi inayoendelea nchini; 1) CCM hawako tayari katika suala la Katiba mpya, badala yake wako tayarI kufunga, kubambikia kesi na kunyanyasa Vyama vingine kupitia polisi 2) CCM hawataki tume huru ya uchaguzi, na badala yake kuitumia Tume Kama fimbo ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa Tanzania kutolipa kodi ni uzalendo?

    Viongozi wa Tanzania kuanzia Bungeni wamekuwa wakipitisha sheria mbalimbali za kuipatia serikali mapato kupitia kodi. Lakini viongozi mbalimbali wao hawalipi kodi kupitia mishahara yao na posho. Je, viongozi wa aina hii ni wazalendo kwa nchi yao? Je, unaweza kuhimiza wengine wafanye kitu...
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania CWT waunga mkono uanzishwaji wa bodi ya kitaalam ya walimu Tanzania

    Nimefurahishwa CWT kukubalika Kwa zaidi ya wilaya 110 nchi kukubali wazo la uanzishwaji wa bodi ya kitaalamu ya walimu. Walimu wengi ambao ni wanachama wa CWT wametoa maoni yao kuwa asilimia 2 wanachama wanayokwatwa kwenye mishahara yao Kila mwezi ni kubwa kulinganisha na kiwango...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dunia yashangazwa na kubadilika ghafla kwa Rais Samia kutoka kuwa mtenda haki na kuanza uonevu

    Hao ni CNN Na hao ni Aljazeera
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Wabunge tuanze kukatwa kodi kwenye Mishahara yetu

    Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa, amesema imefikia hatua Wabunge waanze kulipa kodi kupitia mishahara yao ili wapate uwezo wa kuwaambia Wananchi na wao walipe kodi. Silaa ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliowashirikisha wananchi wa Mzinga Ukonga jijini Dar es Salaam wakati akizungumzia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Serikali ifanye nini kukuza uchumi wa viwanda nchini na kutengeneza ajira

    Ili kukuza uchumi wa viwanda nchini na ili viwanda viendelee kuwepo, kuzalisha na kutengeneza ajira kwa watanzania ni lazma yafuatayo yatekelezwe; Kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji, kama chanzo cha malighafi za kwenda viwandani Tanzania ni nchi kubwa sana na sehemu isiyoishi watu (mapori)...
  14. Ndebile

    JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa Olympic Tokyo Japan: Bendera ya Tanzania imeingia peke yake

    Wakuu wenye uelewawa wa haya mambo, naona bendera ya nchi yetu ameibeba mzungu mmoja ambaye sina uhakika kama ni mwanamichezo au kiongozi wa Tanzania! Je huu ndio utaratibu mpya au ndio hivyo tumekosa watu wa kushiriki? Labda wanamichezo watafika kesho! Acha tuendelee kuwashangilia majirani zetu!
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Rally of Tanzania 2021 Ubena Zomozi

    Dave Sihoka, kulia, (mwenye mavazi rasmi ya mbio za magari) Zambian international rally navigator akiwa na Joab Ambukege Kakuyu, dereva wa Lori kutoka Rungwe Mbeya aliyefika DAR es Salaam kushuhudia ufunguzi wa mbio za magari. Mashindano yatafanyikia Ubena Zomozi
  16. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Nimeguswa na ubunifu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nawapongeza na kuwataka waongeze ubunifu

    Jumapili ijayo, klabu za Simba na Yanga zinapambana kwenye mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho almaarufu kama Azam Conf. Cup. Mchezo huo kabambe ambao unabeba tukio kubwa la kisoka nchini utapigwa kwenye uwanja wa Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma. Katika kuchagiza na kusherehesha mechi hiyo...
  17. technically

    JamiiForums Tanzania Athari za Tanzania kuwa nchi yenye ugaidi

    Najiuliza tu polisi wa Tanzania wameutangazia ulimwengu kwamba Tanzania kuna ugaidi na magaidi Tanzania. Sasa najiuliza Rais alikuwa anaita wawekezaji juzi hapa waje kuwekeza Tanzania? Je mwekezaji gani ataleta mitaji kwenye nchi ambayo ina hatari ki kiusalama? Hivi tuna mfumo wa ulinzi...
  18. ROJA MIRO

    JamiiForums Tanzania SoC01 Somo la Stadi za Kazi kwa Shule za Msingi unavyoweza kuzalisha ajira kwa watakaoshindwa kuendelea na Sekondari

    Kwa mujibu wa muhtasari wa somo la stadi za kazi kwa wanafunzi ambao umeadaliwa kutokana na mtaala wa elimu ya msingi kuanzia darasa la 3 hadi la 6 wa mwaka 2016 muhtasari ambao kwa sasa umefutwa,kupitia muhtasari huu mwanafunzi aligemewa kujenga stadi za usafi,mapishi tofauti,ujasiriamali,na...
  19. Nyamsusa JB

    JamiiForums Tanzania Ugaidi, Uhaini na Uhujumu uchumi ni kesi zitakazoshamiri sana kwa Wapinzani Tanzania

    Hizi ni kesi zisizokwepeka kwa Wapinzani Tanzania 1. Ugaidi 2. Uhujumu Uchumi 3. Uhaini Ukikoswakoswa na hizo basi utakutana na namba nne 4. Sio Raia wa Nchi. Safari bado ndefu.
  20. Matanga

    JamiiForums Tanzania Historia ya Vita ya Kagera 1978-1979

    Luteni wa jeshi la Uganda (UPDF) alivyo ziingiza vitani Tanzania na Uganda. #Sehemu #ya - 1 Kuanzia leo nitawaletea makala mfululizo zinazohusu Vita ya Kagera kati ya Tanzania na Uganda iliyodumu kwa miezi sita kati ya mwaka 1978 hadi 1979. Vita hiyo ilianzia mkoa wa Kagera unaopatikana...
Back
Top Bottom