tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fahari ya majina yetu ya asili Tanzania imekwenda wapi?

    Hivi sasa watanzania tulio wengi majina yetu hayana asili yoyote ya Tanzania, sana sana tumebakisha majina ya mwisho kuwa ya asili na yale ya mwanzo kuwa ya Kizungu ama Kiarabu. Mfano mzuri ni mimi hebu tizama jina langu hapo juu. Natambua fika kuwa majina haya tulio wengi tumepewa na wazazi...
  2. Ibun Mallik

    JamiiForums Tanzania SoC01 Sababu za tatizo la ajira kwa wasomi, madhara na ufumbuzi wake Tanzania

    SABABU ZA TATIZO LA AJIRA KWA WASOMI, MADHARA NA UFUMBUZI WAKE TANZANIA. Utangulizi Tatizo la ajira kwa wasomi ni janga la dunia mzima lakini limeathiri zaidi katika nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara. Tatizo hili linahusisha kuwa na idadi kubwa ya watu wenye ujuzi, maarifa na uwezi mzuri...
  3. H

    JamiiForums Tanzania SoC01 Sababu zinazochangia kuua elimu Tanzania

    Natumaini mnaendelea vema na shughuli za ujenzi wa familia zenu Leo napenda kuongelea sababu zinazochangia kuua elimu katika nchi yetu ya TANZANIA Nitaongelea sababu hizo kutokana na uzoefu wangu katika sekta ya elimu SHULE ZINAZOMILIKIWA NA WATU BINAFSI Shule ZINAZOMILIKIWA na watu binafsi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Nini Mbona Kuna Wimbi Kubwa Sana La Wahindi Wameingia Tanzania Katika Muda Mfupi?

    Kuna Wahindi wengi sana tena wale wa hali ya chini wameingia Tanzania katika siku mbili hizi wamejazana kwenye hotel/Guest za mitaani. Uhamiaji kuweni makini tujue ni wawekezaji au wamekuja kuchukua kazi za Watz wakawaida!!
  5. Richard

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania lazima iwatambue Watanzania wanaopokea fedha kutoka taasisi ya NED ya Marekani kuchagiza harakati za kisiasa

    Taasisi ya NED au National Endowment for Democracy ni taasisi ya kimarekani. Taasisi hii iliundwa kushughulikia harakati za kisiasa duniani baada ya shughuli hizo kuondolewa ndani ya idara ya ujasusi ya CIA. CIA imekuwa ikishughulikia harakati za kisiasa zenye malengo ya kuleta vurugu, au...
  6. Diocres Nestory

    JamiiForums Tanzania SoC01 Dira ya Tanzania yetu na suala la ajira kwa vijana wasomi

    DIRA YA TANZANIA YETU NA SUALA LA AJIRA KWA VIJANA WASOMI Ndugu wana JF habari. Kabla ya kuingia katika kiini cha habari hii nipende kutoa maana halisi ya maneno ya msingi yatakayotumika katika habari hii. Ndugu msomaji, ajira ni kazi zitolewazo au zifanywazo kwa malipo, inaweza kuwa katika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nashukuru sana job junction Tanzania kwa workshops na mafunzo wanayotoa kwajili ya interviewees skills

    Kwanza kabisa namshukuru mwenyenzi Mungu na then na washukuru Job Junction Tanzania kwa mafunzo ya interviewees skills na huduma zao wanazo toa. Mm kabla sijawatembelea Job Junction Tanzania ofisin kwao,Nilikuwa nafanya applications nyingi sana bila kuitwa kwajili interview .Sikujua kwann...
  8. Livingson1

    JamiiForums Tanzania Somo la ujasiriamali mali lipewe kipaumbele mashuleni pamoja na vyuoni nchini Tanzania ili kupunguza changamoto za ajira kwa vijana

    Ujasiriamali ni jinsi ya kubaini matatizo au changamoto zilizopo kwenye jamii husika na kuzitatua changamoto hizo kwa kubuni mbinu ama vitu ambavyo vitapunguza ama kumaliza kabisa changamoto hizo kwenye jamii mfano kuchimba visima kuanzisha kilimo cha umwagiliaji, ufugaji wa kuku, mbuzi , n.k...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Polisi Tanzania hawana weledi wa kufanya Uchunguzi wa eneo la tukio la uhalifu (Crime Scene)

    Nikiri kwamba andiko hili limepata nguvu kutokana na mauaji yaliyofanyika katika Bar ya Lemax, Sinza, kama yalivyoletwa na Tusker Bariiiidi. Kupitia taarifa ya ITV, ukichunguza kwa umakini utagundua kuna mhanga wa hili tukio, mwili wake umelala kwenye kiti, ingawa polisi wapo wakirandaranda kila...
  10. LellozWho

    JamiiForums Tanzania Nimechagua viongozi walewale walioahidi kurekebisha matatizo yaleyale

    Nilipokua mdogo naanza kupata ufahamu na kujitambua nilipitia haya: Umeme usio wa uhakika Maji yasio ya uhakika Elimu ya kusuasua Huduma bora ya afya kwa matabaka Miundombinu ya wasiwasi Ahadi za uongo kwa viongozi nk. SASA NINA MIAKA ZAIDI YA 30 Nimepata nafasi ya kupiga kura Kutathmini...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutatua tatizo la ajira Tanzania

    Naomba niongee kuhusu vijana wanaomaliza kidato cha sita na kupangiwa kwenda mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria, sikatai ni kweli wanaenda kufundishwa mafunzo ya awali ya ulinzi na usalama pamoja, uzalendo na uzalishaji mali lakini tija ya maarifa wanayoyapata vijana hawa imeshindwa kabisa...
  12. Abdoun

    JamiiForums Tanzania Nahitaji malori mengi yanayorejea Tanzania kubeba mzigo mkubwa hapa Zambia

    Habari, Niko Zambia hapa na nahitaji malori kama 50 hivi yanayorejea Tanzania kutokea DRC au Zambia. Kuna mzigo wa kubeba kuleta Dar-es-Salaam. Mawasiliano please PM me your phone number. Ahsante.
  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Utawala bora, uwajibikaji kwa Tanzania tunayoitaka

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoendelea duniani na iliyojaliwa rasilimali nyingi ambazo kama zikisimamiwa na kutumiwa vizuri zitakuza uchumi na kuleta maisha bora kwa wananchi. Ili ziweze kusimamiwa na kutumiwa vizuri na ili uchumi uweze kukua na kuleta maisha bora kwa...
  14. BakalemwaTz

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia 5 Bora za Kutatua Tatizo Kubwa la Ajira Kwa Vijana Nchini Tanzania

    Karibu katika andiko hili muhimu juu ya utatuzi wa tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana nchini Tanzania. Andiko hili pia limejumuhisha takwimu muhimu za ajira nchini, sababu za ukosefu wa ajira kwa vijana, athari za ukosefu wa ajira kwa vijana na njia muhimu za kutatua tatizo la ajira...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wamachinga hawasaidii Tanzania!

    Watanzania wengi hawajui kwamba Wamachinga hawasaidii nchi yetu badala yake wanatumika kwa siasa pekee. Watanzania wanashangilia wamachinga ambao hawalipi kodi halafu wanalalamika wenyewe kuongezewa kodi! 1. Hawalipi kodi yeyote ya maana na vibali vya machinga ni kama kukejeli Watanzania. 2...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto za Hayati Magufuli na Tanzania Mpya

    Hayati John Pombe Joseph Magufuli, ni mzaliwa wa chato mkoani Geita, pia alikuwa mbunge, naibu waziri na waziri katika nyakati tofauti, tofauti enzi la utawala wa Benjamin Mkapa na Rais mstaafu wa awamu ya nne Mh. Jakaya kikwete, hatimaye mnano mwaka 2015 alijitosa kugombea urais wa jamhuri ya...
  17. Sanaguofficial

    JamiiForums Tanzania Athari za Ongezeko la Tozo mpya za Miamala ya Simu kwa Watanzania

    Siku chache baada ya tozo za miamala ya simu kuongezeka kutoka makato ya awali wakati wa kutuma pesa au kutoa pesa mpaka Makato ya sasa amambayo yapo na yanatumika Nini athari zake kwa watanzania 1. KUDORORA KWA BIASHARA ZA MTANDAONI Biashara za mtandaoni zitapoteza wateja na kudorola hususani...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni ya kwetu sote

    Awali ya yote nipende kuwasalumu nyote! Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kutuchagua na kutufanya tuitwe watanzania. Ni nchi ya kipekee duniani hivyo tuna kila sababu ya kutembea vifua mbele na kujivunia utanzania. Baada ya kusema hayo niingie kwenye maada kwa kusema Tanzania ni nchi...
  19. Baraka21

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndugulile, tunaomba uruhusu akaunti ya PayPal Tanzania

    Mh. Waziri Ndugulile pamoja na Benki Kuu ya Tanzania sisi vijana tusio na ajira tunaomba mruhusu account za paypal ziweze kuruhusu kupokea pesa ili tujiajiri na kazi za mitandaoni. Tunakuomba sana mheshimiwa Waziri utusaidie. Huku mtaani hali ni mbaya sana. Natanguliza shukrani.
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Rwanda zakubaliana kukuza TEHAMA

    Tanzania na Rwanda zamekubaliana kushirikiana katika kukuza Sekta ya mawasiliano hasa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ili kuongeza tija katika mchango wa sekta hiyo katika maendeleo ya wananchi baina ya nchi hizo mbili. Hayo yamebainika Julai 16, 2021 wakati wa ziara ya Waziri wa Habari na...
Back
Top Bottom