Jinsi matangazo ya kazi katika Halmashauri za Tanzania yanavyowanyima fursa vijana waishio vijijini

Jul 14, 2021
20
45
Tumaini langu mko salama, kunachangamoto kubwa sana kwa vijana wanaoishi kijiji kupoteza fursa za kazi ambazo Halmashauri huwa wanazitangaza, matangazo haya mara nyingi huwa hayawafikii vijana hawa mara nyingi fursa hizi ufaidika vijana waoshio makao makuu ya Halmashauri.

Hii kutoka na miundo mbinu yetu kuwa mibovu katika halmashauli zetu. Kwa hiyo namna ya kufikisha mabango ya matangazo inashindikana kwa hiyo mwisho wa siku wale vijana walio karibu na makao makuu ya Halmashauri ufaidika.

NAPENDEKEZA, kutoka na maendeleo ya technolojia , serikali ilazimishe kila halmashauli iwe na ukurasa wa mtandao wa kijamii kama facebook, instagram au twiter hili haya matangazo ya kazi au mafunzo yaweze kuwafikia vijana wote wa halmashauli na kwa wakati pia.

Natanguliza shukran.

Asanteni.
 

Chillah

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
5,954
2,000
Duuuh... Pendelea kutembelea websites za kila halmashauri na taasisi zingine za umma na binafsi, huwa wana toa matangazo yao ya ajira huko...

Hata kama miundo mbinu ya barabara ingekuwa rafiki nchi nzima, sizani kama unge weza kutoka kijijini kwako na kwenda kusoma ubao wa matangazo kila siku ili tu upate kuona ajira itakayo tangazwa...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom