Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Wengi wetu tuna hii dhana kuwa Tanzania ni nchi ya kupokea misaada tu. La hasha! Kulikuwa na wakati Tanzania ilikuwa ikitoa misaada, tena ya kifedha!
Mwaka 1975 ulikuja ujumbe wa Vietnam ukakutana na rais wa wakati huo Julius Nyerere. Ujumbe huo ulikuwa unatembelea nchi za duniani kuomba msaada...
Inawezekana ikawa mfumo wa elimu Tanzania ni mzuri kwa wengine Ila kwangu mimi mfumo huu unamapungufu mengi Na ulinifanya niteseke kwa miaka 7 nikitafuta maisha.
Nitasimulia Hadithi ya maisha yangu .
Mimi nimezaliwa mkoa wa Kagera ,wilaya Ya Bukoba vijijini.Nimesoma Elimu ya msingi mwaka...
Ndugu zangu ,muunganiko wa Mh mama Samia suluhu Hassani Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania pamoja na Dr Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar umejenga Taswira ya kipekeee ya kiuongozi na namna ya kuongoza kwao,
Ndugu zangu, kwanza wote wawili Ni viongozi wanaoamini katika Maridhiano na...
Mimi kama Mtanzania Naomba kutoa ushauri mdogo Kwa Rais wangu na serikali Kwa ujumla
Kwanza mheshimiwa Rais anafanya kazi mzuri, anaonekana ana ndoto mzuri Kwa tanzania na vision mzuri ya kuleta maendeleo Kwa Sisi watanzania
Changamoto ambayo mm naiona na nataka kushauri ni kwenye upande wa...
Natafuta App moja yenye uwezo wa kununua vifurushi vyote vya mitandao ya simu, yaani nikitaka kununua kifurushi cha Tigo, Airtel, Vodacom, Halotel, TTCL, niweze kuvipata ndani ya App moja yenye package ya vyote.
Natanguliza shukrani, kama unaifahamu nijulishe tafadhali.
Marais Wastaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa Tanzania na Joaquim Chissano wa Msumbiji kwa pamoja wameungana na Timu mbalimbali za Kikanda na za Kimataifa za Waangalizi wa Uchaguzi wa Angola kutoa tamko kuhusu Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika tarehe 24 Agosti 2022
PANDE MBILI ZA TANZANIA YETU.
SEHEMU YA KWANZA: TANZANIA YETU KATIKA MAANDISHI NA PICHA.
SEHEMU YA PILI: WANANCHI NA UFUKARA, WATAWALA NA UKWASI.
TANZANIA YETU KATIKA MAANDISHI NA PICHA.
Chanzo cha picha: mtandaoni.(hawa ni vijana wa kitanzania waliovalia kiasili).
Tanzania ni nchi...
Habari wakuu,
Bila mengi, moja kwa moja naenda kwenye mada.
Ukiangalia kwa umakini, viongozi wetu wakubwa wanaoindesha serikali kwa wakati huu, wengi wao ni watu waliozaliwa miaka ya 1960's. Wapo mpaka wa 1950's huko....na wachache sana ni wa 1970's...hadi kufikia 1980's ni wa kubahatisha...
DENI LA TAIFA NA UNYONGOFU WA MFUMUKO WA BEI
Mikopo inatoa uwezo wa kununua baada ya ahadi ya kurejesha, ambapo deni linazaliwa. Uzuri wa deni au ubaya unaamuliwa kwa uzalishaji uliosimamiwa na mkopo huo pamoja na jinsi deni linavyo lipwa.
Mfano: Kukopa fedha kwa ajili ya elimu ambayo...
Habari wana jamvi, ni Chuo gani hapa kwetu chenye unafuu wa Ada kwa level ya Masters, hasahasa Masters of Business Administration.
Na kwa wenye uzoefu kozi hii inaugumu wowote katika usomaji kama kwenye Degree ulisoma kozi ingime tofauti na hii.
Nawasilisha kwa mrejesho zaidi.
Uhusiano wa Iran na Tanzania ya kisasa ni wa miaka arobaini hivi, tangu kufanikiwa kwa mapinduzi ya Kiislamu ya Iran mwaka 1979.
Lakini Waajemi walikuwa wanakuja pwani zetu tangu miaka elfu nyingi. Ni vizuri kuona Waziri wa Mambo ya nchi za Nje wa Iran, Abdullahian, akizuru Tanzania hivi sasa...
Nakumbuka kesi nyingi nzito Serikali ilikuwa inapigwa chini. Wakina Mtikila, Masumbuko Lamwai, Mabere Marando nk. kama wana hoja za msingi wanashinda kesi.
Siku hizi mbona vijikesi vidogo tu ni mwendo wa kuahirisha kwa week moja au ndiyo kusikilizia maamuzi kutoka juu?!
This is very sad and...
Uchumi unaweza kuelezwa kwa namna mbalimbali. Uchumi ni jumla au mjumuisho wa shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji katika nyanja zote za maisha ya jamii au taifa husika. Uchumi ni hasa uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo pamoja na kutolewa kwa...
Naomba kujuzwa suala hili?
Sisi machinga tunaomba mfumo wa risiti kwa ajili yetu ili na si tushiriki katika kujenga uchumi na taifa letu, Endapo mmetuondolea mfumo wa vibali vya elfu ishirini basi huku ambapo tupo rasmi tunaomba tutengenezewe mfumo rasmi wa utoaji risiti kwani hili litaongeza...
Natumai wazima humu, Msaada nahitaji IST 1290Cc iwe na conditions nzuri isiwe imerudiwa rangi bajeti yangu 10.5M.
Sitaki iwe kwa dalali ila awe mmiliki halali.
Ama kwa hakika.
Kizuri hakidumu.
Tanzania tunaendelea kumkumbuka Rais Bora kabisa tuliopewa na Mungu kama zawadi.
Ameacha alama ambayo Afrika na Dunia nzima bado wanaendelea kumuenzi.
Tunakukumbuka sana Mkuu.
Afrika ni bara la pili kwa ukubwa duniani na ni bara lililobarikiwa kuwa na utajiri mkubwa ulimwenguni. Afrika pia inatajwa kuwa ni bara muhimu la kimkakati katika maendeleo ya dunia, Lakini Afrika ina historia ambayo ni giza tupu na imejawa majonzi, manung’uniko,jasho na damu. Historia ambayo...
Unajiona sio mtu mwenye umuhimu tena kwenye haya maisha na hujui nini kimekukuta au wapi ulipokosea, unatamani kulia sana na upate mtu wa kumweleza unayoyapitia, umeamua kuwa mtu wa liwalo na liwe, sikia nafahamu maumivu uliyokuwa nayo unahisi watu hawajali kuhusu unayopitia siyo kweli fahamu...
Asante Samia kwa Sensa ya Kihistoria Tanzania
Na Mwandishi Maalum. Twende Pamoja. Dar es salaam
Hatimaye siku iliyokuwa ikingojewa sana na kila Mtanzania, iliwadia, ya tarehe 23 Agosti, 2022, na zoezi adhimu la Sensa likaanza nchini Tanzania. Zoezi hilo limejiri siku 170 tangu Mhe Rais Samia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.