World Bank Vice President for E& S Africa anatumia vigezo gani kusema Tanzania imefanya "miracles" uchumi wake ni imara despite Ukraine

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,311
73,856
Nimeona akisema kuwa Tanzania imefanya vizuri katika uchumi wake, eti tanzania imeshinda mfumko wa bei. Nimepigwa na butwaa.
Mwigulu alikuwa anachekela as if ameuweza uchumi wa Tanzania kuwa first class wakati anawaibia watu , wizi kabisa wa fedha za watu kwa tozo! Ujambazi wa Tozo, eti ameweza uchumi!

Huyu Victoria Kwakwa, World Bank Vice President for Eastern and Southern Africa anatumia vigezo gani kusema :"ujinga" kama huo!
(mods, please insert "war" after Ukraini in the heading)
 
Huna hata fact moja ya kupinga aliyosema huyo Vice President wa WB for ESA bali utopolo mtupu. Wewe kila kitu unajua poyoyo mkubwa!!
 
Mnaotaka data; tuelezeni bei za bidhaa huko kwenu mwaka jana muda kama huu... Hii hata siyo rocket science.
 
Mnaotaka data; tuelezeni bei za bidhaa huko kwenu mwaka jana muda kama huu... Hii hata siyo rocket science.
Nilitaka nimjibu, bahati mbaya akaanza na matusi, nimeshindwa kuvumilia, nikamtukana kama alivyonitukana. Sikumkopesha! Inabidi nim block maana sina haja ya kusoma post/thread za mtu kama huyu hapa JF and anywhere else!
 
Bila kutumia shule
Screenshot_20221018_211116_com.huawei.browser.jpg
View attachment 2391385View attachment 2391386
 
Wanaopinga ni wazi wanaonyesha kuwa bado wanalelewa makwao though ni swala jepesi sana kupata data, kama upo jijini dar uliza nauli za city buses zilikuwa kiasi gani na mpaka sasa ni kiasi je zimeshuka au zimepanda, mchele ni kiasi bado nafaka nyingine mtwambie nyie mpo tz ipi mambo mengine mnababaika et kisa mtaalam wakati yupo zake huko wewe ndiyo upo kwenye uhalisia, punguzeni kubemenda akili.
 
Ni kweli uchumi umekua imara sana ,ni mafanikio ya awamu hii.
Si unaona mchele umepanda bei kutoka 1200 mwaka jana na kufikia 3000 mwaka huu.
 
World Bank ni Bank, Tanzania ni mteja mzuri wa Banksters au ulitegemea nini ? Mikopo yote, Tanzania imeweka kodi za wananchi kama guarantee na ndio maana ya tozo, tozo ni kwa ajili ya kulipa madeni, hivyo kusifiwa na benki siyo sifa bali ni kwamba wewe ni mteja nzuri na unawapatia faida kubwa huku ukinyonya wananchi ofcourse kuwalipa Banksters, unafikiri kwa nini Mwigulu anatembea na msafara na ving‘ora?
 
Back
Top Bottom