Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Ndugu zangu Watanzania,
Waziri Mkuu wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba maarufu kama Mr Clean kama ambavyo watanzania wengi hupenda kumwita .
Amepata na kupewa heshima ya kipekee kabisa ya kuwa Mshauri wa Kanisa la Anglikana Tanzania Baada ya...
baada
billion
dkt mwigulu nchemba
kanisa
kanisa la anglikana
mkuu
moja
mshauri
mwigulu
mwigulu nchemba
tanzania
uchapakazi
wake
waziri
waziri mkuu
zaidi ya
Katika mijadala ya kisiasa hapa kwetu, mara nyingi lawama zote hupelekwa moja kwa moja kwa chama tawala, CCM. Wengi husema chama hiki ndicho chanzo cha matatizo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii. Lakini kabla ya kufikia hitimisho hilo, ni muhimu kujiuliza: kwa nini tumefika hapa tulipo?
Je...
Ni vyama viwili tu vya upinzani ndio vimeweza kupenya kwenye ngome ngumu ya Tanzania visiwani yaani CUF na ACT wazalendo.
Hii inamaanisha ili wapinzani kushika dola wanapaswa kuungana dhidi ya CCM.
Mwaka 2015 walijaribu wakisaidiwa na EL lakini kwa kuwa muungano wao haukuwa na baraka za wananchi...
Na ni muhimu sana wadau wa Jf kufahamu hili. Tanzania kama nchi huru, kamwe haiwezi kubabaishwa na mabadiliko ya kidiplomasia au kimaendeleo na taifa ambalo haliheshimu uhuru wa mataifa mengine, mathalani Tanzania. Tanzania itaendelea kuheshimu uhuru wa mataifa mengine na kuendelea kua kisiwa...
Nyaraka rasmi kutoka Wizara ya Fedha ya Iraqi zinaonyesha kuwa Iraq iliidhinisha mikopo ya jumla ya dola milioni 191 kwa Tanzania. Takwimu hii ilithibitishwa Aprili 2026 na Mfuko wa Maendeleo ya Nje wa Iraq. Kwa jumla, vifurushi vya usaidizi wa kifedha vya Iraq vilifikia dola milioni 254, ambazo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mheshimiwa Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, wameshuhudia utiaji saini wa mikataba minne ya ushirikiano kati ya Jamhuri ya Muungano waTanzania na Jamhuri ya Namibia, hatua inayotarajiwa...
Tanzania inatajwa kuwa na deni kubwa zaidi miongoni mwa nchi zilizotajwa, ikidaiwa dola za kimarekani milioni
Mataifa mengine yaliyotajwa ni Uganda (dola milioni 15), Jamhuri ya Afrika ya Kati (dola milioni 7), na Niger (dola milioni 4),.
Washiriki wa mazungumzo hayo wanaonyesha mshangao na...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema Tanzania inashika nafasi ya tano barani Afrika kwa shughuli za kubeti na nafasi ya tatu kwa unywaji wa pombe, akieleza kuwa hali hiyo si sifa nzuri kwa taifa lenye idadi kubwa ya vijana. Ameitaka Serikali kuweka mazingira yatakayowasaidia vijana...
Nini kimetokea kuanzia JamiiForum, Facebook, Twitter na Instagram raia wengi wa Tanzania hasa vijana wanaposti visa au story nyingi mbalimbali za matukio ya uongo tu ya kutunga ya mahusiano, ndoa, uchawi n.k ?
Viongozi wa serikali, washirika wa maendeleo, wataalamu wa afya, asasi za kiraia pamoja na wawakilishi wa jamii wamekutana jijini Dodoma, Juni 18, 2026 katika kongamano la kujifunza lenye kaulimbiu “Kudumisha Mafanikio Yaliyopatikana katika Afya ya Uzazi na Jinsia”, kuadhimisha kufungwa rasmi...
Tanzania ina changamoto za ufisadi, rushwa na ubadhirifu wa mali za umma, kama zilivyo nchi nyingi duniani. Hata hivyo, ukubwa na aina ya matatizo hayo hutofautiana kati ya sekta na kipindi husika.
Baadhi ya viashiria na taarifa zinazothibitisha uwepo wa changamoto hizi ni:
Prevention and...
Kama kuna mtu aliye karibu na Greyson Msigwa amfikishie huu ujumbe.
====================
By Amani K. Mrope | Washington Bureau.
June 19, 2026.
The Issue Is Not Money. It Is Tanzania Being Written Into the Official Record.
There are times when a country loses money. And there are times when a...
Bendera ya maombolezo ya Imam Hussain (AS) kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu aliyeuwawa kikatili kuulinda, kuutetea na kuupigania uislam dhidi ya dhulma, uonevu na ukandamizaji imepandishwa rasmi juu nchini Tanzania ikiwa ni ishara ya kuanza kwa mwezi mtukufu wa Muharram...
Mahusiano ya kimataifa hujengwa kwa maslahi ya wananchi, si kwa kelele za mitandao. Tanzania na USA zimeendelea kuweka mbele biashara, uwekezaji na maendeleo.
Yaani Kila ukifungua redio utasikia, "hizi si mambo zangu", "mambo zako?" nk. Kibaya zaidi wanaozungumza haya ni vioo vya jamii na ni wasomi, kwamba lazima watakuwa wamesoma kipengele cha ngeli za nomino wakiwa O level.
Nawasihi watangazaji waache hii tabia mara moja tabia hii.
Sijajua bado, kwanini mtu licha ya kusoma sana lakini bado anakuwa na akili za kufikirika ambazo zimekosa mental autonomous,
Mtu anajua kabisa chadema hawana hoja za kwann wapigiwe kura lakini bado anaamini kuwa CHADEMA itakuja shinda uchaguzi hii si akili ya kawaida huu ni ujinga wa kushindwa...
The structure of the United Republic of Tanzania is uniquely complex, particularly regarding the distribution of power between Union and non-Union matters. In this setup, one state was completely absorbed into the Union, resulting in its original flagship name and identity being sidelined...
Bunge la Seneti la Marekani limefanya mabadiliko katika Muswada wa Mapitio ya Uhusiano wa Uwili kati ya Marekani na Tanzania kwa kulegeza masharti kuhusu hatua zinazotakiwa kuchukuliwa na Tanzania katika mageuzi ya mifumo ya uchaguzi na utawala.
Katika rasimu ya awali ya muswada huo, Tanzania...
Jinsi walivyo chafukwa kila kona kila pembe.
Wapo kwa lolote kumlipa hata katibu wa UN au watu wakubwa waoneshe dunia kuwa kulikuwa hakuna mauwaji wa utekaji na uhuru hupo tele.
Kwa sasa watu wanapiga pesa watakavyo wale wa kutrend,wasanii,vyombo vya habari,viongozi na n.k
Yani mpaka ma IT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.