Siasa za Tanzania kwa kiasi kikubwa zimejengwa kwenye misingi ya utamaduni wa watu wa Pwani hasa Dar na maeneo ya pembezoni. Ni utamaduni wa sherehe nyingi, maneno mengi bila vitendo, ngono, uvivu, dhihaka na ku-relax muda wote. Pengine ni kwa sababu Dar ni kusanyiko la utawala wa nchi na makabila mengi.Baada ya uzinduzi wa kutakuwa na sheree ya mchana na usiku tutanuita msanii kuburudisha View attachment 3606768
Kama sijakosea, Haya yatakuwa 'matoroli' ya kubebea takaNini icho mi ndo naamk
Ungemalizia tu kusema waislam, lkn asilimia 90 ya watumishi wa umma ni makafiri wasomi wenye akilSiasa za Tanzania kwa kiasi kikubwa zimejengwa kwenye misingi ya utamaduni wa watu wa Pwani hasa Dar na maeneo ya pembezoni. Ni utamaduni wa sherehe nyingi, maneno mengi bila vitendo, ngono, uvivu, dhihaka na ku-relax muda wote. Pengine ni kwa sababu Dar ni kusanyiko la utawala wa nchi na makabila mengi.
Mkuu soma vizuri. 1. Utamaduni wa watu wa Pwani has nothing to do with Islam. Sherehe na ngoma ni utamaduni wa wakazi na siyo uislam. Hata uvivu na kupenda kuongea sana siyo Uislam. Nimesema hii tabia imeambukizwa kwa watanzania wote. Yaani kupitia uongozi wa CCM, tabia imesambaa na watu wengi wameikubali. Hakuna cha mwislam mtumishi wa umma, wala mkristo wala mpagani. Wote lao moja.Ungemalizia tu kusema waislam, lkn asilimia 90 ya watumishi wa umma ni makafiri wasomi wenye akil
Kweli mzee wa mabendera mengi na bango la mapenzi ni kama alionewa😃Mbona yule mzinduzi wa mapenzi walimkamata
yes 😁Dustbin?
Dustin Hizo Ila Mambo Yanatia KinyaaKama sijakosea, Haya yatakuwa 'matoroli' ya kubebea taka
Na sasa hatujui alipoKweli mzee wa mabendera mengi na bango la mapenzi ni kama alionewa😃