tanganyika

Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Watu wanasema Tundu Lissu hana shukrani!Je Shukrani ni kutoa sadaka bandari za Tanganyika kwa Mwarabu?

    Shukrani kuangalia Wazanzibar wakitoa sadaka bandari za TANGANYIKA na miundombinu yake yote kwa wajomba zao DPW ??? Huku bandari zote nane za Zanzibar kule pemba na unguja zikiwa hazipo kwenye mkataba TATA kama kweli ni mzuri wema huo wa wazanzibar kwa Tanganyika umeanza lini ?? Yaani maendeleo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la kuuzwa bandari za Tanganyika limeipasua nchi kwa udini. Waislamu walalamikia Chadema kwa udini

  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania KWELI Mwami Theresa Ntare alikuwa Chifu na Mkuu wa Machifu pekee Mwanamke Tanganyika

    Huwa navutiwa sana Historia za wanamke shupavu ambao walifanya mambo ya kuacha alama kwenye jamii zao na kukumbukwa mpaka sasa. Katika pitapita zangu kwenye machapisho nikavutiwa na historia ya mtawala kutoka katika kabila la Waha wa Jamii ya Kitutsi, ukanda wa Kasulu sehemu za Heru Juu...
  4. SALIZAH

    JamiiForums Tanzania SoC03 Babu nimechoka kukariri nataka kuuelewa Muungano

    Shikamoo Babu. Babu nimesoma katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 ibara ya 2A inasema "Zanzibar ni miongoni mwa nchi mbili zinazounda jamhuri ya muungano wa Tanzania". Kweli naiona Zanzibar ipo kama nchi maana ina Rais wake, katiba na bendera yake. Nchi ya pili ambayo ni sehemu ya muungano hapa...
  5. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Tanganyika na Tanzania ya ovyo ni zao la Hayati Mwalimu Nyerere

    Hallo, Moja kwa moja kwenye uzi, katika kumzungumzia J.K.Nyerere upande wake wa mazuri ndio unaotukuzwa sana kwa sifa kedekede hali hii imefanya upande wake mbovu kutokuzungumzwa. Katika makosa makubwa aliyofanya huyu mzee ni kutengeneza taifa la kijinga, sio upande wa Tanganyika wala sio huu...
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Tanganyika ina wenyewe na wenyewe ndiyo sisi

    Maji tumeshayavulia, hatuna namna isipokuwa kuyaoga! Tanganyika ni nchi yetu, tuanaitaka! Tunaweza kwenda pande zote za dunia, lakini Tanganyika itasalia kuwa nyumbani, turejeshewe. Kwingineko kote tunaweza kuitwa wageni, lakini tuwapo Tanganyika tunajisikia kuwa nyumbani hata pasipokuambiwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yaridhia mwaka mpya wa kiislamu kuwa siku ya kitaifa

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza Siku ya Mwaka Mpya wa Kiislamu kuwa Sikukuu ya Kitaifa Zanzibar. Dkt. Mwinyi ametangaza siku ya Jumatano ya Julai 19, 2023 sawa na Mwezi Mosi Muharram kuwa siku ya mapumziko Kitaifa Zanzibar ili...
  8. Kigoma Region Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ndubu ni samaki wa ajabu anayepatikana Ziwa Tanganyika

    Samaki huyo mwenye mpomo au Komwe jina lake anaitwa NDUBU, ni samaki mwenye kuvutia kwa macho anapendeza mno akiwa kwenye maji. Samaki huyu ni moja ya kivutio cha watalii katika ziwa letu Tanganyika. Hutumika kama samaki wa kuliwa ni mtamu sana na mwenye ladha nzuri na pia hutumika kama samaki...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Baraza la Sanaa Zanzibar: Wanaume Wanaosukwa kama Wanawake kukamatwa, faini ni Tsh. Milioni 1 au kifungo cha Miezi 6

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
  10. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Naona wazi kabisa kukiwa na nchi ya Tanganyika Demokrasia itakuwa ni ndogo sana, nchi itaongozwa kimuseveni kwa mabavu zaidi

    Mzanibari pamoja na makando kando yake ila akiingia huwa kuna unafuu katika demokrwasia (hatujawai kuwa na demokrasia kamili) Tunapotoka kwenye awamu za uminyaji wa demokrasia basi mzanzibari akiingia ndio tunapata nafuu ya demokrasia kuanzia uhuru wa kutoa maoni, Vyama vya upinzani hupewa...
  11. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

    WAKILI BONIFACE MWABUKUSI;KAMA HAMTATUSIKILIZA,TUTAZUNGUMZA LUGHA MTAKAYOTUSIKILIZA,HATUTARUHUSU MZANZIBARI KUFANYA MAMBO YA HOVYO KWENYE MALI ZA TANGANYIKA. "Wazee wangu wa Mbeya nipo hapa kuwahakikishia Tanganyika hailiwi tena,tutafuatilia hatua kwa hatua kwenye mikataba ya Mali zote za...
  12. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba kwasasa haieleweki huu Mungano wa Tanganyika na Zanzibari ni kwa faida ya nani

    Je ni kwa faida ya wazanzibari maana they are offering lesser if any than what they're gaining . Kumbuka hawa jamaa wana inchi yao, wizara zote, board yao mokopo chuo kikuu, rais wao, wana kila kitu kama serikali. It is very likely kwenye huu Mungano zanzibari wamechangia jina tu "zanzibari "...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli za Masauni, Tanganyika tumekuwa koloni la Zanzibar

    Anawaagiza polisi watushughulikie tunahaoji mkataba wa kuiuza tanganyika. Ni rasmi tanganyika tumekuwa koloni la Zanzbar. Polisi msikubali Tanganyika iuzwe na wazanzibari. Tumieni akili zenu vizuri.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Zakaria Kakobe Aungana na Tundu Lissu: Ni Kuhusu Tanganyika na Zanzibar. Afafanua kwa mapana

  15. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu mmoja auawa, Raila atangaza maandamano ya kuingia Nairobi Julai 12, 2023

    Chama cha Azimio La Umoja One Kenya Coalition Party kimetangaza kuwa kitaendelea na maandamano ya kupinga serikali nchini kote Jumatano wiki ijayo, kikiahidi kuzidisha maonyesho kutokana na kile kilichoshuhudiwa Ijumaa wakati wa Siku ya Saba Saba. Viongozi hao washirika wa upinzani wakiongozwa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Madaktari zaidi ya 300 hatarini kupoteza nafasi kufuatia maamuzi ya Baraza la Madaktari

    Hii inapelekewa na uwepo wa kitu kichoitwa "post internship examinations" Baraza la madakitari Tanganyika limeandaa utaratibu wa kufanyisha mitihani ya kusajili madakitari tangu mwaka 2021, lakini mtihani huo umujawa na sintofahamu kibao; 1. Zaidi ya vijana 200 wamemaliza mafunzo ya utarajali...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwamposa ni nani Tanzania hii hadi anaruhusiwa Kubomoa Uzio uliojengwa kwa Ajili ya Matamasha yake Tanganyika Packers Kawe?

    Tena akiwa na Matamasha yake Makubwa ( hasa ya Mkesha ) huwa anawaambia Watu wa NHC Wanaoendelea na Ujenzi wa Nyumba za Samia Housing Scheme kuwa anaomba abomoe Kuta na akimaliza anawaambia atajengea. Haya Mamlaka Mwamposa anayatoa wapi? Na kwanini au kwa Faida ipi? Je, Wengine nao wakiamua...
  18. tpaul

    JamiiForums Tanzania DNA za Uganda kuhamia Tanganyika?

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Huko nchini Uganda kimeuma sawasawa. Ndivyo unavyoweza kusema. Mashirika mbalimbali ya habari yakiwemo BBC na DW yameripoti kwamba kasi ya upimaji wa DNA kwa wanandoa wa kiume umepamba moto kwa siku za hivi karibuni na...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ukoloni unarudi Tanzania?

    Na Thadei Ole Mushi Miaka 60 ya Uhuru tumeshindwa kabisa kusimamia rasilimali zetu wenyewe. Migodi tumeitoa kwa Wazungu, Misitu tumeitoa kwa Mwarabu, Posta tumeitoa kwa Mwarabu, Misitu tumeitoa kwa mwarabu, Gesi tumeitoa kwa Mzungu, Uwanja wa ndege wa KIA nao tumeutoa, TPDC tumeitoa, Bandari...
  20. B

    JamiiForums Tanzania LIssu: Bandari zote bara, DP World kauziwa

    Hoja hupingwa kwa hoja: Bandari zote bara zimeuzwa! Kama ni kwa manufaa yetu, kwa nini siyo za Zenji?
Back
Top Bottom