Ukweli ni kwamba kwasasa haieleweki huu Mungano wa Tanganyika na Zanzibari ni kwa faida ya nani

kagoshima

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
2,638
5,145
  • Je ni kwa faida ya wazanzibari maana they are offering lesser if any than what they're gaining . Kumbuka hawa jamaa wana inchi yao, wizara zote, board yao mokopo chuo kikuu, rais wao, wana kila kitu kama serikali.
  • It is very likely kwenye huu Mungano zanzibari wamechangia jina tu "zanzibari " kuunda Tanzania. Nothing more of significant. Wakati rais Magufuli ndo tukajua kwa mara ya Kwanza kwambar zanzibari walikua wanatumia u meme bila malipo na kulikua na tishio la wao kukatiwa umeme. Je ndo kwa namna hiyo na nyinginezo zenji hufaidika kwazo hivyo kuutaka muungano?
  • Wabara haturuhusiwi kumiliki ardhi zanzibari ila wao wananunua maeneo kila pembe ya inchi . Hii inaweza hawishi kwa wazanzibari kuutaka muungano udumishwe.
  • Kwamba mapato ya bandari za Tanganyika (dp world ) yatumike bara na visiwani ila mapato bandari za huko visiwani yutumike solely huko. Kwa hili kwanini wazenji wasiufurahie muungano?
  • Tanganyika inafaidika nini na Mungano ? Hakuna jibu la maana zaidi ya porojo za kisiasa. Kwamba wa Tanganyika raia wanafurahishwa na hii aina ya mungano definitely not.
  • Raslimali za Tanganyika zinanufaisha bara na visiwani. On the contrary, raslimali za visiwani zinanufaisha visiwani.
Je huu mungano ni kwa maslahi ya ccm ? Very likely kudumu madarakani.

Je ni kwa faida ya mabeberu? Very likely yes, kuzuia ugaidi hivyo Tanganyika tupende tusipende tunalazimishwa kuwa kwenye huu mungano controversial.

Maajabu. Kwa muonekano wa huu mungano, zanzibari kama inchi imeungana na inchi ambayo haipo kutengeneza jamhuri ya mungano wa Tanzanian.
 
Back
Top Bottom