Tanganyika na Tanzania ya ovyo ni zao la Hayati Mwalimu Nyerere

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,026
12,338
Hallo,

Moja kwa moja kwenye uzi, katika kumzungumzia J.K.Nyerere upande wake wa mazuri ndio unaotukuzwa sana kwa sifa kedekede hali hii imefanya upande wake mbovu kutokuzungumzwa.

Katika makosa makubwa aliyofanya huyu mzee ni kutengeneza taifa la kijinga, sio upande wa Tanganyika wala sio huu muungano uchwara wa kipuuzi aliouasisi mambo kote hovyo hovyo.

Nyerere aligeuza kikundi chake (wanasiasa) Tanganyika na Tanzania kuwa miungu watu, wao ndio sheria, amri na watafasiri haki kwa Watanganyika na Watanzania.

Nyerere alitengeneza Watanganyika kuwa mazezeta yake ya ndio mzee kwa kila uchafu utakaofikiriwa na kiongozi yeyote mwenye mamlaka hapa nchini. Hali hii imepelekea kutumiwa na Marais wote waliomfuata sioni ikikoma mbele bila jitihada stahiki kuchukuliwa.

Leo Tanganyika na Tanzania anaweza akaongoza nchi hata mtoto mdogo wa miaka miwili na hakuna reaction yoyote itafanyika. Hata jiwe linaweza kugeuzwa Rais na hakuna kitu chochote kitatokea nchini.

Mwalimu Nyerere alijenga taifa la kifala sana kuwahi kuliona duniani mpaka sasa kwa umri huu nilio nao.

Next thread nita zungumzia makosa yake katika vyombo vya ulinzi na usalama, vyama vya ushirika, vyama vya siasa.
 
Hallo!, Mmmhhh
Moja kwa moja kwenye uzi, katika kumzungumzia mchonga meno ( J.K.Nyerere ) upande wake wa mazuri ndio unao tukuzwa sana kwa sifa kedekede hali hii imefanya upande wake mbovu kuto kuzungumzwa.

Katika makosa makubwa aliyofanya huyu mzee ni kutengeneza taifa la kifala sio upande wa Tanganyika wala sio huu muungano uchwara wa kipuuzi alio uasisi mambo kote hovyo hovyo.

Huyu babu aligeuza kikundi chake( wanasiasa ) Tanganyika na Tanzania kuwa miungu watu wao ndio sheria, amri na watafasiri haki kwa Watanganyika na Watanzania.

Mchonga meno alitengeneza Watanganyika kuwa mataahira na mazezeta yake ya ndio mzee kwa kila uchafu utakao fikiriwa na kiongozi yoyote mwenye mamlaka hapa nchini hali hii imepelekea kutumiwa na marais wote walio mfuata sioni ikikoma mbele bila jitihada stahiki kuchukuliwa . Leo Tanganyika na Tanzania anaweza akaongoza nchi hata mtoto mdogo wa miaka miwili na hakuna reaction yoyote itafanyika hata jiwe lina weza kugeuzwa rais na hakuna kitu chochote kitatokea nchini.

Mchonga meno alijenga taifa la kifala sana kuwahi kuliona duniani mpaka sasa kwa umri huu nilio nao.

Next thread nita zungumzia makosa yake katika vyombo vya ulinzi na usalama, vyama vya ushirika, vyama vya siasa.......
Kama Nyerere anapopolewa hivi,basi Tanganyika haipo mbali
 
Karume aliuawa mwaka 1972, aliacha chama cha ASP kikiwa madarakani. Miaka mitano baadaye ASP ikauunganishwa na TANU kuunda CCM.
Natafakari tu kama Karume alitaka vyama navyo viunganishwe, ikawa sababu ya kuuawa. 💬 🤔
Swali fikirishi sana hili

🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Karume aliuawa mwaka 1972, aliacha chama cha ASP kikiwa madarakani. Miaka mitano baadaye ASP ikauunganishwa na TANU kuunda CCM.
Natafakari tu kama Karume alitaka vyama navyo viunganishwe, ikawa sababu ya kuuawa. 💬 🤔
swali hili ni mind blowing sana. Nawaza sana huenda pia nyerere alikuwa na mambo fulani fulani ya kiwaki na ndio maana alinusurika kupinduliwa mara kadhaa.
 
Hallo,

Moja kwa moja kwenye uzi, katika kumzungumzia J.K.Nyerere upande wake wa mazuri ndio unaotukuzwa sana kwa sifa kedekede hali hii imefanya upande wake mbovu kutokuzungumzwa.

Katika makosa makubwa aliyofanya huyu mzee ni kutengeneza taifa la kijinga, sio upande wa Tanganyika wala sio huu muungano uchwara wa kipuuzi aliouasisi mambo kote hovyo hovyo.

Nyerere aligeuza kikundi chake (wanasiasa) Tanganyika na Tanzania kuwa miungu watu, wao ndio sheria, amri na watafasiri haki kwa Watanganyika na Watanzania.

Nyerere alitengeneza Watanganyika kuwa mazezeta yake ya ndio mzee kwa kila uchafu utakaofikiriwa na kiongozi yeyote mwenye mamlaka hapa nchini. Hali hii imepelekea kutumiwa na Marais wote waliomfuata sioni ikikoma mbele bila jitihada stahiki kuchukuliwa.

Leo Tanganyika na Tanzania anaweza akaongoza nchi hata mtoto mdogo wa miaka miwili na hakuna reaction yoyote itafanyika. Hata jiwe linaweza kugeuzwa Rais na hakuna kitu chochote kitatokea nchini.

Mwalimu Nyerere alijenga taifa la kifala sana kuwahi kuliona duniani mpaka sasa kwa umri huu nilio nao.

Next thread nita zungumzia makosa yake katika vyombo vya ulinzi na usalama, vyama vya ushirika, vyama vya siasa.
halafu mafala eti anataka kuwa mtakatifu! Stupid katoliki na CCM na wote wanaomshabikia Nyerere kuwa alikuwa mwema! Moja tu mbalo hakulifanya, HAKUIBA MALI YA UMMA NA KUJIPENDELEA KAMA MASHATANI YALIYOMFUATA
 
Hallo,

Moja kwa moja kwenye uzi, katika kumzungumzia J.K.Nyerere upande wake wa mazuri ndio unaotukuzwa sana kwa sifa kedekede hali hii imefanya upande wake mbovu kutokuzungumzwa.

Katika makosa makubwa aliyofanya huyu mzee ni kutengeneza taifa la kijinga, sio upande wa Tanganyika wala sio huu muungano uchwara wa kipuuzi aliouasisi mambo kote hovyo hovyo.

Nyerere aligeuza kikundi chake (wanasiasa) Tanganyika na Tanzania kuwa miungu watu, wao ndio sheria, amri na watafasiri haki kwa Watanganyika na Watanzania.

Nyerere alitengeneza Watanganyika kuwa mazezeta yake ya ndio mzee kwa kila uchafu utakaofikiriwa na kiongozi yeyote mwenye mamlaka hapa nchini. Hali hii imepelekea kutumiwa na Marais wote waliomfuata sioni ikikoma mbele bila jitihada stahiki kuchukuliwa.

Leo Tanganyika na Tanzania anaweza akaongoza nchi hata mtoto mdogo wa miaka miwili na hakuna reaction yoyote itafanyika. Hata jiwe linaweza kugeuzwa Rais na hakuna kitu chochote kitatokea nchini.

Mwalimu Nyerere alijenga taifa la kifala sana kuwahi kuliona duniani mpaka sasa kwa umri huu nilio nao.

Next thread nita zungumzia makosa yake katika vyombo vya ulinzi na usalama, vyama vya ushirika, vyama vya siasa.
NITAG NIWEZE KUKUFUATILIA MAANA UMETOA MADINI
 
Duh...!.
P
 
kutaifisha mali za watu na kufanya za serikali
Kwa kosa hili alilofanya Nyerere, ndiomaana hadi leo Migodi ya Almasi, Dhahabu si mali ya Watanzania, Inaendelea kulipa madeni ya mali zile zilizotaifishwa.

Kama Hamjui basi muelewe.

Dunia ya leo ukivunja mkataba au kudhulumu maliza watu kwa mintarafu ya kisiasa, utaingiza nchi katika kulipa deni hilo hadi ifilisike.

Hivi hatuoni ajabu sisi kuwa tUnachimba Dhahabu lakini umasikini unaendelea kukua?
kulikoni?
 
Karume aliuawa mwaka 1972, aliacha chama cha ASP kikiwa madarakani. Miaka mitano baadaye ASP ikauunganishwa na TANU kuunda CCM.
Natafakari tu kama Karume alitaka vyama navyo viunganishwe, ikawa sababu ya kuuawa. 💬 🤔
Mimi najiulizaga hata huo Muungano wa ASP + TANU = CCM.... yaani hapo hizo C, C na M wamezitoa wapi?
 
Back
Top Bottom