tanganyika

Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.

View More On Wikipedia.org
  1. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Administrative Assistant at International School of Tanganyika

    Position: Administrative Assistant Category: (cf Policy 5.101) Administrative Management and Technical Support Reports to: Director of Teaching and Learning Department: Teaching and Learning Summary of the Role Reporting to the Director of Teaching and Learning, the Administrative Assistant...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aliyeshiriki kuchanganya udongo wa Tanganyika, Zanzibar afariki

    Khadija Abbas Rashid (74) miongoni mwa walioshiriki kuchanganya udongo wa iliyokuwa Tanganyika na Zanzibar amefariki dunia jana Jumanne Agosti 23, 2023 nyumbani kwake Rahaleo Mkoa wa Mjini Magharibi. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano ambapo wametoa...
  3. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Serikakili yaua tanganyika packers?

    Kati ya mwaka 1947 mpaka 1975 wakoloni waingereza walikuwa ni wamiliki wa kiwanda kilichokuwa kinaitwa TANGANYIKA PACKERS LTD (TPL). TANGANYIKA PACKERS LTD kiliajiri wafanyakazi zaidi ya 1200 na walikuwa wanafanya kazi kwa shift na walichukuliwa kwa mabasi ya kazini. Mwaka 1975 serikali...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mashujaa wa ziwa Tanganyika, Mashujaa FC

    Hii ndio timu pekee inayoshiriki ligivkuu kutoka mkoani Kigoma. Mashujaa FC ni timu inayomilikiwa na Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ, na msimu huu 2023/2024 wamepanda daraja baada ya kuifunga timu ya soka ya Mbeya City Fc kwenye mechi zote mbili. Mpaka sasa Mashujaa FC IMECHEZA mechi tatu...
  5. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari: Rais amkane Mwarabu, vinginevyo ni maslahi yake na sio ya Tanganyika

    Kuhusu mkataba wa kilaghai wa kuchukua Bandari zetu milele na kuwakabidhi Waarabu wa Dubai, kama si kwa maslahi yake na wajomba zake Waarabu, basi na awakane sasa hao waarabu ndio tujue ana nia njema na uko kuuza bandari za Tanganyika. Mama lazima aambiwe ukweli kwamba hata kama alikuwa na nia...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania 93.6% ya Watanzania wote walizaliwa baada ya Muungano

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Muungano wa Nchi mbili huru za Tanganyika na Zanzibar. Muungano huu ulioasisiwa na viongozi wakuu wa nchi hizo ambao ni Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyekuwa Rais wa kwanza Tanganyika na Sheikh Abeid Aman Karume aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar na...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kabla ya DP WORLD Tanzania ilikuwa imetulia, Sasa Tanganyika inalia😭

    Hili zimwi la Dp world ni la Dubai, lirudi Dubai. Bora amani kuliko hela za Mwarabu. Viongozi wasitumie vyeo vyao kufanikisha watakayo, kwa manufaa yao na familia yao na ndugu zao. Hili la Dubai ni mradi wa watu? Je, Tulio wakabidhi nchi wametusaliti? Amani na utulivu ni muhimu kiliko...
  8. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi amevunja rekodi za viongozi wote kutetea mali za umma, atalipwa wema hadi kizazi chake cha mwisho

    Wakili Boniface Mwabukusi yuko Mahabusu kwa siku kadhaa sasa kwa kosa la kupigania haki za Watanganyika kuzuia Bandari zake kuuzwa kwa Mwarabu. Mwabukusi anakuwa Mtanzania wa kwanza wa kizazi cha sasa kupinga mipango ya familia za watu wachache Serikalini kuuza mali asili za watanzania wote...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akifungua Jengo la Kitega Uchumi la Kanisa la Anglikana - Central Tanganyika Dodoma

    https://www.youtube.com/watch?v=Fzph9HC7EzU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua Jengo la Kitega Uchumi lenye Ukumbi wa Huduma za Jamii la Kanisa la Anglikana- Central Tanganyika Dodoma tarehe 15 Agosti, 2023 jijini Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  10. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alisimama kidete Sheria ya Kulinda Rasilimali za Tanganyika ikatungwa. Leo hii Mkataba wa Bandari upo kinyume na sheria hii

    Kifungu cha 11 cha National wealth and reources (permanent sovreignty) kinazua makampuni yatayoingia mkataba na nchi yetu kutumia rasilimali kufungua kesi nje ya nchi kwenye mahakama za kitaifa. IGA ya mwarabu imeenda kinyume na sheria za nchi. Ila ilipitishwa na ikabarikiwa na mahakama kuu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanufaika wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar tukutane hapa na kuutetea

    Ufike wakati mtushawishi Kwa hoja hasa Kwa watu wa kawaida kabisa kwamba huu muungano umewanufaisha vipi au umekupa hasara Gani wewe binafsi. Binafsi Mimi muungano huu umenisaidia sana kutimiza ndoto yangu. Wakati Tanganyika singeweza kusajiliwa kuendesha biashara yangu nikaenda Zanzibar ambako...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yaani Watanganyika tuwaombee viongozi wanaofisadi na kuuza bandari za Tanganyika! Haya ni majaribu

    Tuwaombee ili wazidi kuiba na kuuza rasilimali za Tanganyika?
  13. R

    JamiiForums Tanzania CCM watashinda, lakini wajue hukumu hiyo itaamsha ari zaidi ya kudai Tanganyika na Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    Tunajua maelekezo lazima yawe yametolewa kwa majaji. CCM na Samia tunabashiri mtashinda kwa hila kama ilivyo ada na CJ ambaye umemuongezea muda kwa kuvunja katiba. Lakini mjue hukumu hii italeta haya 1. Kuizika kabisa independency of the Judiciary (uhuru wa mahakama) na kuua heshima ya mahakama...
  14. Termux

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa Muungano naomba ufafanuzi katika hili

    Maoni yenu wadau, Wajuzi wa muungano mimi hapa sijaelewa naomba ufafanuzi kidogo, Tanzania ni muunganiko wa ( tanganyika na zanzibar ) iweje zanzibar wana .... arafu tanganyika wapo empty, huu muungano ulikuwaje??????? Maana hapa inakuwa Tanzania na zanzibar inainyonya tanganyika katika huu...
  15. Unasemeje

    JamiiForums Tanzania Lugha ya Taifa ya Tanganyika iwe Kiingereza

    Baada ya Tanganyika kuhuishwa kwenye katiba mpya, lugha ya taifa iwe Kiingereza, Kiswahili kimetuchelewesha sana, ona sasa kila nchi unayoomba kwenda kusoma au kufanya kazi wanataka ufanye English test simply because lugha ya taifa lako si kiingereza. Tukirejesha Tanganyika yetu, Lugha ni...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Muungano ni kati ya nchi ya Tanganyika na Zanzibar, kama Zanzibar ipo Tanganyika ipo wapi?

    Mwaka 1964 nchi ya Tanganyika iliungana na nchi ya Zanzibar na kuzaa nchi ya Tanzania. Nilitarajia muungano ule ungezifuta nchi zote mbili yaani nchi ya Zanzibar na nchi ya Tanganyika ili kuwe na nchi moja tu ya Tanzania. Kinachoshangaza kwa muungano huu ni uwepo wa nchi ya Zanzibar na kutoweka...
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Tuwatambue wazalendo wa Tanganyika

    Ingawa Tanganyika bado haijarejerejeshewa hadhi yake stahiki, lakini hatua iliyofikiwa inatia moyo. Muda si mrefu, bendera ya Tanganyika itaanza kupepea. Tanganyika haitakufa tena. Lakini mpaka kufikia hatua hii, kuna Watanganyika waliosimama kidete kukataa Tanganyika kuzikwa. Ingawa baadhi yao...
  18. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Utausherekeaje uhuru wa Tanganyika huru?

    Hili swali linamuhusu Mtanganyika Mzalendo tu. Na Mtanganyika Mzalendo, kwa mujibu wa huu uzi, ni Mtanganyika yeyote anayeipenda nchi yake ya Tanganyika bila kujali anakoishi. Ikiwa wewe ni Mtanganyika Mzalendo, utausherekeaje uhuru wa Tanganyika huru? Uhuru upo karibu. Dalili zinaonesha kuwa...
  19. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa watawala: Wapeni Watanganyika Tanganyika yao

    Watanganyika wanaitaka Tanganyika yao! Msipowapa kwa hiari watajitwalia wenyewe kwa namna nyingine! Watanganyika wanaitaka Tanganyika yao! Msipowapa leo kwa heshima watajichukulia wenyewe kesho bila nyie kupenda! Uvumulivu una mwisho. Wa Watanganyika nao upo ukingoni. Hima! Jitunzieni...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa DP world na Tanganyika kutafsiriwa Kwa Kiswahili na kugawanywa bure kwa wananchi kupitia Chadema.

    Ni nini madhara ya Zoezi hili Iwapo Chadema watafanikisha Zoezi hilo? Tujadili Ili bila ushabiki.
Back
Top Bottom