TANESCO Bagamoyo imulikwe - ni hujuma au magendo?

BIN BOR

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
931
250
Kuna tabia imezuka kwa muda sasa, ikifika saa moja au mbili usiku wanakata umeme. Hakuna mvua au radi (ambavyo huwa visingizio vyao) au maelezo yoyote yanayotolewa na kisha baada ya lisaa hivi ndipo wanarudisha. Wiki imetokea hivi kila siku. Wakazi wa huku tunajiuliza kuna nini?

Zamani za magendo ya mafuta hali hii ilikuwa inatokea sana, na kwa sababu ilikuwa miaka ile ya mgao wengi walichukulia poa huku malori yakivusha magendo gizani. Je, hata wakati huu wa "juhudi" napo shirika linatuweka gizani ili kuvusha magendo?

Wenye kung'ata tafadhali imulikeni TANESCO Bagamoyo.
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,059
2,000
Toa taarifa acha umbea

Hebu angalia kauli hizi

“Kila ikifika saa 1 wanakata umeme”
“Kila ikifika saa 1 umeme unakatika”

Hizo taarifa ni sawa au tofauti??? Nani ananufaika na katizo hilo la umeme? Tanesco au wananchi

Maana Wananchi wanakosa umeme (Hasara)
Tanesco hawauzi umeme( Hasara)

sasa unadhani nani ananufaika kama kweli ni hujuma inafanyika.

Kwenye umeme kuna mambo mengi, Huo muda wa saa 1 jioni ni peak time may be transformer ya kwenu inazidiwa, May be Tanesco Bagamoyo nao wanapokea umeme mdogo inabidi waelekeze line muhimu nk.

Jikite kutafuta suluhu na sio kuzalisha tatizo jingine
 
Kmoryo

Member
Jul 2, 2020
10
45

Dah huu umeme jaman maana ata saivi tupo giza sjui utarudi sangapi
 
Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
7,074
2,000
Ukiona hivyo ujue kuna mnuororo wa rushwa umewafunga viongozi wakuu wa eneo lenu wakiwemo na TRA na vyombo vingine vinavyohusika. Umeme unazimwa ili kupunguza macho ya umbea. Amkeni.
 
BIN BOR

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
931
250
Toa taarifa acha umbea

Hebu angalia kauli hizi

“Kila ikifika saa 1 wanakata umeme”
“Kila ikifika saa 1 umeme unakatika”

Hizo taarifa ni sawa au tofauti??? Nani ananufaika na katizo hilo la umeme? Tanesco au wananchi

Maana Wananchi wanakosa umeme (Hasara)
Tanesco hawauzi umeme( Hasara)

sasa unadhani nani ananufaika kama kweli ni hujuma inafanyika.

Kwenye umeme kuna mambo mengi, Huo muda wa saa 1 jioni ni peak time may be transformer ya kwenu inazidiwa, May be Tanesco Bagamoyo nao wanapokea umeme mdogo inabidi waelekeze line muhimu nk.

Jikite kutafuta suluhu na sio kuzalisha tatizo jingine
Kenge wewe
Umbeya uko wapi?
Ndivyo mnavyojitetea? Tupeni taarifa kama mna sababu za kukutika na siyo utetezi wa kijinga kama huu
 
BIN BOR

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
931
250
Ukiona hivyo ujue kuna mnuororo wa rushwa umewafunga viongozi wakuu wa eneo lenu wakiwemo na TRA na vyombo vingine vinavyohusika. Umeme unazimwa ili kupunguza macho ya umbea. Amkeni.
Asante.
TAKUKURU mulika na ung'ate
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,059
2,000
Kenge wewe
Umbeya uko wapi?
Ndivyo mnavyojitetea? Tupeni taarifa kama mna sababu za kukutika na siyo utetezi wa kijinga kama huu
mtoto wa kiume umbea umbea kweli ww ni bagamoyo sina wasi na hilo, hamna tofauti na dada zenu wa pwani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom