TANESCO imetosha, tukutane mahakamani

majebsmafuru

JF-Expert Member
May 1, 2017
453
628
TANESCO enough is enough, tutakutana mahakamani baada ya kufanikiwa kupata wadau na kufungua kesi ya madai aina ya (class act)!

Fridge imekufa kwa ukataji umeme HOVYO!

Radio, ya kuchaji, tv, simu, vitoweo vimeoza mpaka tumeamua kununuwa na kula vya siku baada ya siku.

Kazi zangu na za mama watoto kudoda hasa zile za working from home, watoto kutokumaliza homework, kupiga pasi nk nk
Tumechoka.

Na liwe na liwalo!

ENOUGH IS ENOUGH

TANESCO !
 
Pesa ya Wakili ungenunuwa stabilizer na fridge guard wala usingetokwa na mapovu Saa hizi.
 
Hata usiposhinda, utaweka ufahamu kwa umma.

Hakikisha.
1. Jengo hilo lina kibali cha ujenzi.
2. Wiring ilifanywa na Fundi ambaye ni Authorized by Tanesco. i.e Uwe na Mkataba naye wa Kumpa kazi ya Wiring.
3. Wiring systems ni Up-to-date & Not Counterfeits.
4. Kifaa kilichoungua ni Genuine na kina Risiti ya EFD ya Manunuzi.

All the best!
 
2. Wiring ilifanywa na Fundi ambaye ni Authorized by Tanesco.
3. Wiring systems ni Up-to-date & Not Counterfeits.
4. Kifaa kilichoungua ni Genuine na kina Risiti ya EFD ya Manunuzi.

All the best!
KWa conditions hizi huyu hatoboi. Anadhani kushitaki ni suala rahisi rahisi tu.
 
Wabongo vichwa maji sana,sasa badala ya kumuunga mkono mleta uzi ktk kuiwajibisha Taasisi mbovu ya Serikali nyie mnamkatisha tamaa.Akifanikiwa ni manufaa kwa wote.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Umeona eeehh?!
Yale ya maji hayatoki DAWASA, chimba kisima!
Yale ya foleni barabarani tanuwa!
Yale ya elimu mbovu ya serikali, peleka private!
Yale ya huduma za afya mbovu, nenda private hospitals!
Yale ya hakuna traffic police, nenda speed au overtake HOVYO HOVYO!
Ndio akili zetu, badala kutaka wahusika wawajibike!
ChumaChakoMapema watafia madarakanj TZ!
 
Wabongo vichwa maji sana,sasa badala ya kumuunga mkono mleta uzi ktk kuiwajibisha Taasisi mbovu ya Serikali nyie mnamkatisha tamaa.Akifanikiwa ni manufaa kwa wote.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Ukisoma post yangu kwa utulivu, utagundua niko VERY POSITIVE na Move ya jamaa. Infact nimeonyesha faida ya kesi hii kuwa ITAAMSHA UFAHAMU KWA UMMA.

Hizo nilizompa ni hints tu za kuzingatia katika shauri lake hilo. Kama tafsiri yako ni kuwa nimemkatisha tamaa, it's very unfortunate!
 
TANESCO enough is enough, tutakutana mahakamani baada ya kufanikiwa kupata wadau na kufungua kesi ya madai aina ya (class act)!

Fridge imekufa kwa ukataji umeme HOVYO!

Radio, ya kuchaji, tv, simu, vitoweo vimeoza mpaka tumeamua kununuwa na kula vya siku baada ya siku.

Kazi zangu na za mama watoto kudoda hasa zile za working from home, watoto kutokumaliza homework, kupiga pasi nk nk
Tumechoka.

Na liwe na liwalo!

ENOUGH IS ENOUGH

TANESCO !
Mtanikumbuka hahaha ndiyo maana Makonda kavuma kama upepo wa kisulisuli hahahaha. Tuliwaambia Dkt Magufuli alikuwa kiongozi, umeme haukukatika mpaka majenereta yakakosa soko hahahaha
 
Hata usiposhinda, utaweka ufahamu kwa umma.

Hakikisha.
1. Jengo hilo lina kibali cha ujenzi.
2. Wiring ilifanywa na Fundi ambaye ni Authorized by Tanesco. i.e Uwe na Mkataba naye wa Kumpa kazi ya Wiring.
3. Wiring systems ni Up-to-date & Not Counterfeits.
4. Kifaa kilichoungua ni Genuine na kina Risiti ya EFD ya Manunuzi.

All the best!
mhhh hapo hatoboi !!
 
Wabongo vichwa maji sana,sasa badala ya kumuunga mkono mleta uzi ktk kuiwajibisha Taasisi mbovu ya Serikali nyie mnamkatisha tamaa.Akifanikiwa ni manufaa kwa wote.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Mimi nipo na mleta mada afungue kesi, kesi yake itatupa mwanga wengine, ni uthubutu wa Hali ya juu.

Kushinda au kushindwa kwake kuta kuwa ndio mwanzo wa kesi nyingine ya ushindi

Wahanga ni wengi sio rahisi kila mtu akakosa vigezo
 
20230929_221501.jpg
 
Hawajaja tu wenyewe
Wazee taja # ya mitaa,eneo,mtaa
Mjumbe wako

Ova
 
Back
Top Bottom