Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 15,861
- 20,714
Swala la umeme nchini mwetu linafikirisha sana,ni mzigo mkubwa sana,ambao watanzania tulio wengi tunashindwa kuubeba.Jambo la kushangaza ni kwamba hakuna anayepaza sauti yake kuongelea swala la umeme,si Wabunge,viongozi wa vyama vya siasa au viongozi wa dini,kila mtu amefumba kinywa,kuna nini nyuma ya pazia?Ni kama TANESCO hawatawaliwi na Sheria yeyote ya nchi na hawapo chini ya mamlaka yeyote,wanawasha wanapo taka na wanazima wanapo taka. Wengi tunajiuliza hali hii mpaka lini.Ndio tumeshawahi kuwa na matatizo ya umeme lakini si kwa kiwango hiki, tena mvua zinanyesha kwa wingi kwa hiyo ni wazi mabwawa yamejaa maji.Hapa nyumbani kwangu kwa mfano sikuwa na umeme tangu jana usiku,umerudi only 5 minutes ago saa 9:25,na sasa hivi saa 9:31 umekatika,and this is the norm. This situation is unbearable,new and extremely saddening.Tatizo ni nini haijawahi kuwekwa wazi hasa, ni kama tatizo hili haliwaathiri na wala haliwahusu Watanzania.Hivi watawala wamesahau kwamba upatikanaji wa vitu vya msingi kama maji na chakula vinategemea umeme,bila kusahau huduma za afya na biashara mbali mbali nk.nk.?Ni kama watawala wamejitoa ufahamu hivii....!
Tulishuhudia Makamba akiondolewa Wizara ya Nishati akiletwa Biteko, tukadhani nia ilikuwa njema kuboresha upatikanaji wa umeme.Kumbe nia ilikuwa kuongeza tatizo!Sasa umeme umekuwa ni a luxury commodity kwa Watanzania.
Inashangaza kwamba hapajawahi kuwa na tamko lolote "la kueleweka" si kutoka TANESCO au Serikalini kwamba kiini cha ukosefu wa umeme nchini hasa ni nini.To them kutotoa maelezo ya kina ya kueleweka is fine and well for them. Sijawahi kuona katika nchi yetu hali kama hii,ni kama hatuna Rais vile....It is indeed a shame.Hivi kwa hali hii CCM na Serikali yake inategemea wananchi 2025 waende kupiga kura kweli?Lazima nikiri itakuwa muujiza possible only in Tanzania with CCM. Labda magical spell ya mwenge itafanya kazi?Sijui bwana ngoja tusubiri.
Lakini naomba watawala wakumbuke kwamba Mungu amewaweka ili waongoze watu wake kwa niaba Yake. Wanapofika mahali hawajali ya Mungu wanajali yao, wanaingiza nchi katika laana na hasira ya Mungu. Ni jambo la kutisha sana kukabiliana na hasira ya Mungu head-on.Samia na genge lake wageuke,watubie uovu wao na waongoze Watanzania kwa haki,ili waepuke hasira ya Mungu.Kwa jinsi mambo yalivyo sasa ni vigumu sana nchi yetu kuepuka hasira ya Mungu at some point.
Binafsi nimefika mahali sasa nikiona tangazo la TANESCO popote nasikia kichefu chefu.Eti "TANESCO tunaangaza maisha yako,"acheni unafiki,watu wapo gizani halafu mnasema mnaangaza maisha yao,unafiki mtupu,sitisheni tangazo hilo mara moja,linazidisha tu hazira ya Watanzania.Watanzania tunataka umeme,maelezo yeyote mtakayo-toa yana-expose tu your rottenness as a system,we are fed up.Infact Mimi binafsi nimekwenda mbali na kuwaza au watawala wa dunia NWO through the WEF wameshatoa orders kwa serikali za dunia zianze kutesa wananchi wao,because this is simply unprecedented.
-------------------------------
Oh,damn them.Watch this very recent terrifying revelation,so painful.

Loading…
www.jamiiforums.com