tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. KERO TANESCO acheni ulaghai, kulikuwa na haja gani ya kusema mgawo umeisha huku watu wa Makongo Juu tukilala gizani siku 3 mfululizo?

    Nashindwa kuelewa kama TANESCO ni shirika linalosimamia maslahi ya umma, nini maana ya kutoa ahadi feki kila siku? Kwa masikitiko makubwa sana, shirika hili limegeuza kile kinachoitwa 'Mgawo wa umeme' kuwa 'Hitilafu za kiufundi' Ni siku 3 sasa watu wa Makongo Juu tunapata usumbufu mkubwa...
  2. Tanesco: Kumetokea hitilafu mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana huduma baadhi ya maeneo Bara na Zanzibar, tatizo linashughulikiwa

    TAARIFA KWA UMMA HITILAFU KWENYE MFUMO WA GRIDI YA TAIFA Jumatatu, 04 Machi 2024 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lina utaarifu umma kuwa kumetokea hitilafu katika mfumo wa Gridi ya Taifa na hivyo kusababisha ukosefu wa huduma ya umeme katika baadhi ya maeneo nchini pamoja na Zanzibar...
  3. S

    Dotto Biteko aambiwe ukweli. Kuzuia likizo za wafanyakazi wa TANESCO ni ukiukwaji wa sheria, na hakuleti umeme

    Tatizo la umeme hapa nchini ni la kimfumo, siyo la mtu (waziri). Ndiyo maana mawaziri wengi wanateuliwa na kutenguliwa lkn tatizo liko pale pale. Waziri Biteko naye kama wenzake waliopita hana jipya. Namuona amejaa maneno mengi ya vitisho na manyangaso kwa wafanyakazi wa TANESCO lkn tatizo la...
  4. J

    Rais Samia: Suluhu ya Umeme itapatikana Aprili 2024 baada ya kuanza uzalishaji wa Megawatt 470-500 katika Bwawa la Mwalimu Nyerere!

    Rais Samia amesema suluhu ya Tatizo la umeme itapatikana April 2024 baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kuzalisha umeme wa Megawatt.470-500 Mambo mazuri yanakuja tuwe na subira --- Rais Samia Suluhu Hassan amesema tatizo la upungufu wa umeme litakwenda kupata suluhu yake mwezi April mwaka huu...
  5. Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa

    Naibu Waziri Mkuu na waziri wa Nishati Dkt Dotto Biteko ameshuhudia uwashwaji wa mtambo namba tisa katika bwawa la kuzalisha umeme la Julis Nyerere JNHPP ambao umeanza kusambaza umeme megawat 235 katika gridi ya Taifa. Akishuhudia uwashwaji wa Mtambo huo wa kuzalisha umeme Dkt biteko amesema...
  6. Heche ataka Shirika la Tanesco livunjwe

    "Tatizo la umeme la nchi hii ni kufeli kwa uongozi wa nchi, kuna mambo mengi tumewahi kushauri, TANESCO inafanya mambo makubwa matatu ,uzalishaji, usafirishaji na usambazaji huwezi kuwa na kampuni inafanya kazi zote hizo peke yake". "Asilimia karibia 40 ya umeme wetu unapotea ukiwa...
  7. Biteko afuta likizo zote za Watumishi wa TANESCO

    Naibu Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko ametangaza kufuta likizo kwa watumishi wote wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) akiwataka wote wawe kazini kukabiliana na changamoto ya upungufu wa umeme. Amesema hakuna mtumishi wa Tanesco atatakiwa kwenda likizo wakati huu wa changamoto ya mgawo wa umeme...
  8. R

    Familia ya Mramba ni waajiriwa wa TANESCO au ni wanahisa?

    Kuna hawa wafu wanaitwa Mramba, kila likitokea tatizo la umeme lazima wajitokeze mbele na stori nyingi zisizobadilika. Ningependa kufahamu hawa ni wamiliki wa TANESCO au wanahisa au wamesomea sana umeme na kwamba bila wao umeme hautakuwepo Tanzania? Kuna siri gani kati ya familia ya Mramba na...
  9. C

    Mgao Wa Umeme ofisi za Tanesco

    Ingependekeza ofisi zote za Tanesco zisiwe na umeme kama vile wananchi wanavyoteseka kwa mgao wa umeme usiokwisha, labda hii itawafanya mabosi wa Tanesco watoke maofisini na kufanya kazi kuzuia mgao wa umeme usitokee. Wakati wananchi hawana umeme na biashara zao zinadorora wao Tanesco...
  10. A

    DOKEZO Nguzo za Umeme zimekatika Nyasaka (Mwanza), tumeripoti TANESCO hawatujali Wananchi

    Sisi Wananchi wa Mtaa wa Chamwenda, Kata ya Nyasaka, Wilaya ya Ilemela Mkoa wa Mwanza tunaomba hii kero yetu iwafikie TANESCO. Hili Shirika letu la Umeme tumeshtoa taarifa kwao kuhusu changamoto ya nguzo kukatika lakini hakuna hatua zilizochukuliwa. Tumeenda mbele na kuamua kuwapigia picha...
  11. N

    Kigoma hatuna umeme kwa saa 20 zilizopita TANESCO wanatafuta sukari

    Toka tarehe 20/02/2024 saa 9 alasiri Hadi Leo Tarehe 21 saa 5 asubui haujarudi. Masaa 20 yamekatika hamna umeme huku sio kukata huku ni kuzima. Mtaani kwako ikoje huko? TANESCO
  12. Nadhani Mgawo wa umeme ni wa kutengeneza na TANESCO wahujumu uchumi

    MASWALI MAGUMU KWA TANESCO NA SERIKALI YA CCM. 1.Miaka 5 ya Magufuli umeme haukukatika hovyo hovyo kama sasa, hayati alitoa wapi umeme? 2.Hivi TANESCO na CCM hamkujua ya kwamba mpaka kufikia 2024 population ya Tanzani itakua watu milion 62 na matumizi ya umeme yataongezeka? Long term plans...
  13. S

    Tanesco Temeke: Umeme upo wa kutosha, shida miundombinu iliyopo haiwezi kutawanya umeme kwa wakati mmoja

    Kama ulikuwa unafikiria kwamba baada ya umeme wa bwawa na Nyerere kuanza kupatikana basi matatizo ya mgawo wa umeme yatakuwa yamekwisha, basi sasa ni wakati wa kubadili mawazo yako. Tanesco wanasema kwamba, mgawo wa umeme Tanzania kimsingi hautokani na ukosefu wa umeme wa kutosha, bali ni kwa...
  14. Naomba kufahamu solar itakayoweza kuchukua nafasi ya TANESCO nyumbani

    Hali ni tete, joto kali umeme hakuna, Naomba kufahamu badget inayotosha kupata umeme wa solar ambao unaweza kuchukua majukumu yote ya TANESCO 1. Taa 2. Feni tatu na AC 1, 3. Fridge 4. TV mbili 5. Computer mbili za desktop 6. Oven ila haitumik mara nyingi Yaweza ni cost kiasi gani?
  15. Tusameheni, tufikirieni, onesheni usomi wenu kisimbuzi cha Azam na TANESCO

    King'amuzi ninacholipia ni kile cha Tsh 25,000/= napenda sana kuangalia NBC PREMIER LEAGUE na vipindi vingine, lakini sasa huu mchuano mkali wa mgao wa umeme imebidi niombe Suluhu. Wasomi wa Tanesco na wasomi wa Azam kaeni chini msugue BONGO zenu mje na suluhisho Tanesco mnanisaidia sana BILL...
  16. S

    Meneja TANESCO Mkoa wa Arusha umempuuza Makonda kuhusu mgawo wa umeme?

    Alipokuja katibu wa NEC itikadi, uenezi na mafunzo wananchi wa Arusha walilalamika kuwa mgawo wa umeme unaoendelea siyo fair. Unakuta kuna eneo linakatwa umeme kila siku kuanzia asubuhi mpaka jioni, kuna eneo lenyewe lina umeme kila siku mchana wanakatiwa jioni, hawa kila siku jioni wanakuwa...
  17. Usiku wa deni haukawii kukucha, TANESCO tunawasubiri Februari 16, 2024

    Wasalaam, Zile mbilinge mbilinge, sarakasi na maigizo ya kuwachomoa wakina Maharage Chande na kina "kipara", matamko yasiyo kwisha na sababu lukuki zisizo za msingi za kukosekana kwa umeme wa uwakika katika nchi yetu ya "tanzagiza" yamefika ukingoni baada ya ahadi ya "mama Abduli" ya kumaliza...
  18. Anafanya kazi TANESCO?

    ANAFANYA kazi TANESCO?
  19. R

    Ni wajibu wa TANESCO kutoa fidia pale Tatizo la Umeme linaposababisha hasara, umewahi kudai fidia hiyo?

    Wakuu kwema? Kulingana na Mkataba wa Huduma kwa Wateja wa TANESCO, mteja ukipata hasara kutokana tatizo la umeme, TANESCO inatakiwa kumfidia mteja huyo. Kipengele hiki kinasema; "Kuwafidia wateja pale ambapo tatizo la umeme limesababisha uharibifu wa mali baada ya kuwa imehakikishwa kwamba...
  20. B

    KERO TANESCO na DAWASA mpaka mchukue roho zetu wakazi wa Mbezi Beach ndio mfurahi?

    Salaam kwenu wana JF, TANESCO na DAWASA mnatutaka nini wakazi wa Mbezi Beach? Umeme mnakata maji maji mmekata mnataka tuishije sisi? Mnaona raha watu tunavyosononeka na kutukana kila siku kwa hii dhulma mnatufanyia? Yaani hili fukuto ndani kukaa mateso nje huwezi kukaa mbu zikufanye chakula...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…