Tusameheni, tufikirieni, onesheni usomi wenu kisimbuzi cha Azam na TANESCO

lufungulo k

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
2,549
1,985
King'amuzi ninacholipia ni kile cha Tsh 25,000/= napenda sana kuangalia NBC PREMIER LEAGUE na vipindi vingine, lakini sasa huu mchuano mkali wa mgao wa umeme imebidi niombe Suluhu.

Wasomi wa Tanesco na wasomi wa Azam kaeni chini msugue BONGO zenu mje na suluhisho Tanesco mnanisaidia sana BILL ya umeme kipindi mmekata umeme haisomi.

Sasa wao AZAM wanahesabu siku zao uwe umeangalia vipindi au hukuangalia siku zikifika hakuna kuona vipindi. Yaani kwa mgao huu AZAM shusheni gharama au wekeni utaratibu wa matumizi kadiri unavyotumia .
 
Kwa kifupi iwe unalipia kadili unavyotumia... maana haiwezekani games nyingi huangalii ila ikifika tarehe basi kifurushi kinaisha huu ni wizi.
 
Back
Top Bottom