Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 877
- 4,106
Kuna hawa wafu wanaitwa Mramba, kila likitokea tatizo la umeme lazima wajitokeze mbele na stori nyingi zisizobadilika.
Ningependa kufahamu hawa ni wamiliki wa TANESCO au wanahisa au wamesomea sana umeme na kwamba bila wao umeme hautakuwepo Tanzania?
Kuna siri gani kati ya familia ya Mramba na matatizo ya Nishati nchni? Are they problem creater or problem solver? Sometimes unaweza ukawa umesoma sana lakini huna bahati yakufanya jambo likafanikiwa. May be hawa watu wanaweza wakawa na uwezo mkubwa wa akili lakini hawana baraka na kipawa chakufanya mabadiliko ;