Mgao Wa Umeme ofisi za Tanesco

Claude Henry

JF-Expert Member
May 25, 2017
308
332
Ingependekeza ofisi zote za Tanesco zisiwe na umeme kama vile wananchi wanavyoteseka kwa mgao wa umeme usiokwisha, labda hii itawafanya mabosi wa Tanesco watoke maofisini na kufanya kazi kuzuia mgao wa umeme usitokee. Wakati wananchi hawana umeme na biashara zao zinadorora wao Tanesco wanahakikisha ofisi zao zote haziguswi na mgao wa Umeme.
 
Hivi inakuaje tanesco inaongozwa na wanasiasa? Ambao hawajui hata umeme yaan Mambo ya kitaalamu yanaamrishwa na vilaza hovyo kabisa.
 
TANESCO ,
Hivi,mafundi wenu wanahitaji nini labda tuweze kupata umeme?

Haya, mgao,ni kawaida tumeanza kuzoea. Lakini,hata ukirudi. Kila mara lazima wapigiwe simu? Hamna spare za vitu vilivyoharibika? Kila kuchako,waunge miwaya, baada ya siku kadhaa,tatizo tena! Nini tufanye labda!?
Hili lipo Tabata/Kisiwani, Uwanja wa Twiga.
 
Kuanzia saidia fundi mpaka Engineer mkuu muda mrefu wanalewa kazini. Unategemea nini?
 
Back
Top Bottom