tamthilia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Misiba ya watu weusi ni tamthilia tupu!

    Misiba yetu huwa ni event fupi yenye mambo mengi ya ajabu, yakuchekesha, kuhudhunisha na kustajaabisha. Misibani huwa ndio fursa nzuri kwa ajili ya wambea na wanafiki. Wanatunga stori kuhusu kifo na maisha ya familia yenye msiba. Unakuta kuna vikundi vikundi vya wakina mama, vya wakina baba...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kupata hii tamthilia ya Kiswahili

    Wakubwa nakuja tena kwenu kwa mara ya nne,naomba mtu anayejua mahala nakoweza kupata tamthiliya ya SIRI YA MTUNGI ikiwa imekamilika. Youtube kuna episodes chache tu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwa waliotazama tamthilia ya Jumong wataona Rais Samia ana mtazamo ule ule katika kujenga Tanzania yenye nguvu

    Tamthilia ya Jumong inaelezea mengi, magumu kwa mepesi ya kiongozi anayokutana naye anapotaka Kujenga nchi yenye nguvu. Na haya ni baadhi: I. Atakutana na kukosolewa vikali na kupingwa na hata walio karibu yako. Kwenye Jumong tunaona mtu wa karibu sana wa Jumong, Mfalme Geumwa alipoona nchi ya...
  4. Reptilia

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuzipata tamthilia za zamani za kibongo kama vile Taswira, Ngurumo, Radi na Safina?

    Mu hali gani wadau poleni na mchakato mzima wa DPW pamoja na TEC. Rejea kichwa cha habari hapo juu nataman sana kuzipata hizo tamthilia nimejaribu kuzitafta youtube na platform mbali mbali lakin siku hambulia chochote TASWIRA NGURUMO RADI SUNAMI dah kitambo sana nadhan miaka ya 2005 hivi,mwenye...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania "Fezco" Muigizaji wa Tamthilia ya Euphoria afariki dunia akiwa na miaka 25

    Cloud amefariki dunia akiwa na miaka 25 kwa kile kilichoelezwa na familia kuwa ni tatizo la Afya ya Akili ikiwa ni wiki 1 tangu atoke kwenye mazishi ya baba yake mzazi. Kupitia tamthilia za Euphoria inayotayarishwa na kampuni ya HBO, alifahamika kama Fezco ‘Fez’ O’Neill ambaye ni Muuza Dawa za...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Dogo Edu wa Tamthilia ya Pazia ndiye muigizaji Bora kijana atakayekuja kushika Bongomovie

    Habari Wakuu! Leo Kwa habari za Burudani na Sanaa, nimekuwa nikifuatilia Tamthilia za hapa na pale za bongo kama sehemu ya kusapoti na kuona kile wakifanyacho wenzetu katika Tasnia hiyo. Nikakutana na Dogo mmoja hivi ambaye ameigiza kwenye Tamthilia ya Pazia, namfahamu Kwa jina moja "EDU"...
  7. Kalpana

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya Unfaithfull Azam Tv ni ya moto

    Hii tamthilia bwana ni ya moto..imejua kuwaanika wanaume yani kiufupi ni tamthilia inayogusa maisha ya familia nyingi.. Kwa upande mwingine inafundisha wanawake kudandia waume za watu kunavyotokea puani... Nasikia wanaume hawaipendi kabisaaa. Wahusika wakuu ni Asia,,volkan,,na Derin Karibuni...
  8. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya Jua Kali ilipaswa iishe siku nyingi

    Kwa wale mnaofatilia tamthilia hii mtaungana nami kuwa director Lamata analazimisha kuongeza matukio ili ivutie lakini katika uhalisia ilipaswa iwe imeisha siku nyingi. Bill kashajua mama yake ni aunt Zai, Maria na Frank kila siku vitimbi kama ilivyo femi na luka kila siku drama za kufumaniana...
  9. Msanii

    JamiiForums Tanzania Chama cha wauguzi Tanzania (TANNA) na sakata la tamthilia ya Zahanati ya Kijiji. Ukimya wa Bodi ya Filamu unatoa mwanya wa unyanyasaji

    Chama cha Wauguzi TANNA wametoa waraka unaoelezea sakata lao na waandaaji wa thamthilia ya Zahanati ya Kijiji onayorushwa na kituo cha Azam TV. Wadau mbalimbali wa sanaa wameonesha kuchukizwa na mwenendo wa chama hiko cha wauguzo kuongilia taaluma ya sanaa hususani kuonesha dalili ya...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

    Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma). Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu (Othman) na Wakiristo (Waroma)! Mapigano...
  11. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Wanaume kuigiza nafasi za wanawake, sio promotion ya mambo yale yasiyofaa?

    Ukiangalia 'origial comedy', Joti, Triple Funny, Steve Mweusi, kitimtim, na wengine wanaume kucheza character za wanawake kama Kiboga, sio promotion ya mapenzi ya 'kisasa' ya Ulaya na Marekani ambayo ni kinyume na mila, desturi, na tamaduni zetu? Kama wizara ya elimu ilivyopiga marufuku vile...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya kichina “The Knockout” yajizolea umaarufu mkubwa wakati China ikiendelea na vita dhidi ya ufisadi bila kusita

    Siku hizi, tamthilia ya kichina “The Knockout” inayosimulia vita kati ya uovu na uadilifu imendelea kupata umaarufu mkubwa, na hadi sasa idadi ya watazamaji wa tamthilia hiyo katika China bara pekee imezidi milioni 320. Utayarishaji bora na ustadi mkubwa wa waigizaji ndio sababu zinazofanya...
  13. aka2030

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya Siri ya mtungi (wahapahapa) ndio filamu bora kuwahi tokea Tz

    Niseme tu kwa upande wangu ile filamu ilikuwa bora sana. Waigizaje wake walivaaa uhusika vema pia director alijitahidi. Ile kwa mm ndio project na tamthilia bora toka nchini kwetu. Huwezi fananisha na uchafu wa saluni ya mama kimbo
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TCRA: 80% ya tamthilia zinazorushwa kwenye TV ni za nje

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevihimiza vyombo vya habari kuangalia uwezekano wa kutoa nafasi kwa tamthiliya, muziki na michezo zenye maudhui ya ndani ili kulinda utamaduni na nembo ya Taifa. Akizungumza kwenye mkutano wa wadau mbalimbali wa vyombo vya habari, sanaa na michezo...
  15. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Tamthilia na Mpira zinavyochangia migogoro ya ndoa

    Wanawake na wanaume wengi ni wapenzi tamthilia za vipindi vya maigizo na mechi za mpira na kuwa wakati wengine hujikuta wakisalia sebuleni au kuweka umakini kwenye TV na kuacha wenza wao wakitangulia kulala peke yao au kukosa wa kuzungumza nao mambo mengine ya kimaisha Vitendo hivyo vinafanya...
  16. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu maudhui ya tamthilia ya saloon ya mama Kimbo kwa kizazi kijacho anijuze

    Leo jioni nikiwa kwenye kijiwe/kidukabia cha Manka hapa mtaani hasa mida kama hii nalazimika kuangalia kile wanachoangalia wateja wengine. Basi bwana kikakuta tamthilia ya saluni ya mama Kimbo Ila kila nikiangalia sioni mafunzo chanya ya kizazi kijacho nikajiuliza hivi haka katoto kanachoigiza...
  17. luangalila

    JamiiForums Tanzania Ivi zile tamthilia zinazo onyweshwa ktk ma tv station zina downlodika ?

    Kuna tamthilia 2 ivi huwa nazikubali sana isivyo bahati siku pataga wasaa wa kuzimalizia na kuzifuatilia coz nilikuwa na muda finyuu sanaa alafu ilikuwa ni kitambo sanaa Sasa ivi i wiah nizione maana zitanikumbusha mbali pia tamthilia zenyewe ni hizi Rebeca hii ilikuwa inaonyweshwa Itv enzi...
  18. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tamthilia za Kibongo-Kugomba, Matusi, Uchawi & Kunyonyana

    Nikiwa home jioni unakuta familia inaangalia tamthilia za kibongo sijui "JUA KALI", LA FAMILIA" n.k yaan dakika 2 nyingi lazima usikie TUSI Kama sio KUNYONYANA NDIMI au mtu kageuka mbuzi (uchawi) hizo tamthilia hamnaga wahariri?
  19. Ofisho mlinzi

    JamiiForums Tanzania Ili niweze kuonesha michezo inahitajika mtaji wa Tsh ngapi?

    Naona ni fursa ya kujiajiri kupitia kutoa huduma ya kuonyesha mpira, masumbwi, tamthilia pamoja na michezo mingine pia hata matukio mbalimbali, Je mchanganuo wa mtaji wake upoje?
  20. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania La Candidate Tamthilia Bomba Sana Inayoonyeshwa na Azam One TV

    Ni Tamdhilia ya Mexico, inamagwiji wenyekujua uhusika wao kwa kiwango cha juu. Siasa, Misukosuko ya familia, Mahisiano hapa ndipo mahali pake. Gavana Alonso, Seneta Martnez, Mzee wa Mujini Romario, Tajiri Escalante, Seneta Regina Mke wa Gavana Alonso, Igancio,Xmina na Emiliano hawa waifanya...
Back
Top Bottom